bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

    Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, Karibu tena uraiani,Sisi Watanzania kwa sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili. Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Abnormal menstrual bleeding: Je nini chanzo na ni kwa namna gani tunaweza kutibu tatizo la kutokwa damu ukeni (kipindi cha hedhi) bila kukata?

    Habari za wakati huu wana JF! Ni matumaini yangu kuwa mko wazima na bukheri wa afya. Naomba kuuliza , ni nini chanzo cha kutokwa na damu ukeni (menstrual bleeding) kwa muda mrefu bila kukoma tukiangalia sanasana kwenye mazingira yetu ya kitanzania, na je tiba yake ni ipi? Mwenye kufahamu...
  3. JamiiForums Tanzania Hatimaye chanel za ndani zaanza kuonekana kwenye kisimbuzi cha DSTV bila kifurushi chochote

    Wapenda bure kilio chetu kimesikika na hatimaye chanel za ndani zimeanza kupatikana/kuonekana bila kujali una kifurushi au la. Mimi kwangu nabadili tu chanel mara clouds sijakaa sawa chanel ten kidogo eatv nk Nipeni mrejesho Wapenda bure wenzangu Uzi tayari
  4. JamiiForums Tanzania Lini mtakomaa kisiasa na kuwa na uwezo wa kudadavua mambo? Kila mara mnadandia matukio bila faida

    Kila tukio la kisiasa likitokea hapa nchini kwetu lazima mtalidandia na kulishupalia kana kwamba nyie mtanufaika nalo. Mbaya zaidi mkidandia tukio mnasahau kabisa matatizo yenu na madhira yenu. Sasa mnashindwa kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ili mjue ni tukio gani linaweza kuwa na mashiko...
  5. JamiiForums Tanzania Miamala kwa njia ya simu inatufilisi bila kujua

    Kusaidiana ni njia mojawapo ya Kudumisha Upendo Baina yetu sisi na watu wengine ikiwemo ndugu zetu, jamaa na Marafiki. Kukua na kuongezea kwa matumizi ya Huduma za Kifedha kwa njia ya simu imesaidia na kurahisisha kwa kiwango Kikubwa sana ndugu, jamaa na marafiki kutumiana fedha pindi...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa Kuwa Spy bila kupitia Jeshi??

    Habari za wakati huu wakuu? Natamani kujua, maana kuna Watu unaweza kudokezewa kuwa ni pandikizi but ukiwaangalia hawako strong,yaani ni wa kawaida tu kama mtu ambae hajapitia mafunzo. Je,kuna uwezekano wa kuifanya Kazi Hii bila kupitia mafunzo ya Jeshi?? Hasahasa kwa hawa informers?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Watanzania wengi hawafahamu matumizi ya smartphone kiasi cha bando kutafunwa bila kutambua?

    Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hii ishu. Maana hata kama watu huwa wanajisahau na kuacha hotspot on ndio kusema watu wote wanajisahau? Au ndio kusema simu zote huwa zina app zinazofanya kazi nyuma ya pazia kimyakimya? Bando zinayeyuka kama barafu.
  8. JamiiForums Tanzania V.A.R inawezekana Tanzania bila gharama wanazozitaja wao

    Wadau habari zenu, Nimekua nikifatilia mijadala hasa inayohusisha waamuzi wa soka na maamuzi yao tata either kuwanyima au kuwapendelea baadhi ya vilabu vya mpira wa miguu hapa Tz nakupelekea mijadalla hii kifika mbali hadi serikali kutaka kuweka var ili kuepusha mapungufu hayo ya waamuzi...
  9. JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa Shaffih Dauda ni udikteta, nimeambatanisha post ya Shaffih iliyowatibua madikteta

    Binafsi ni shabiki wa Yanga na linapokuja imapokujaga ishu ya kumtathmini Shaffih huwa hauhitaji degree kujua kwamba ni shabiki wa Simba na mapenzi yake ya simba yanaleta mgongano wa maslahi katika kazi yake ya uchambuzi, mzani wake katika uchambuzi unapoegemea upande flani hapo ndipo anapotoka...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umenifurahisha sana kwa maamuzi makubwa uliyofanya kwa maslahi mapana ya Taifa

    1.Mhe Rais naomba kuchukua Nafasi hii binafsi kukushukuru Kwa maamuzi makubwa uliyofanya Kwa maslahi mapana ya Taifa. Mimi ni mwana Chadema na siku zote msimamo wangu utabaki kuungana na wanaotenda haki na wanaostawisha Taifa na Dunia. 2. Mhe. Rais nina watoto na wajukuu, naamini wewe pia una...
  11. JamiiForums Tanzania Proved: Bongo bila kukata kamba hutoboi

    Wakuu huu ukweli uwaweke huru. "Bongo bila kukata kamba hutoboi"
  12. JamiiForums Tanzania Mara: Bibi kizimbani kwa tuhuma za kumuua mjukuu kwa kutumia Tsh. 2,000 bila ruhusa

    Nkwandu Kayenze (76) Mkazi wa Kijiji cha Natta Wilayani Serengeti mkoani Mara amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya mauaji ya mjukuu wake Matoja Deus (11) ambaye anadaiwa kumpiga hadi kufa baada ya kutumia Shilingi 2,000 bila idhini yake. ITV
  13. K

    JamiiForums Tanzania Napingana na Mahakama kuzungumza na Mbowe peke yake bila watuhumiwa wengine, watuhumiwa watatu wanatetewa na Mbowe Kwenye Haki yao ya Kula?

    Askari ma gereza wamemfuata FREEMAN Mbowe, anahitajika ofisini kwa Jaji katika kikao cha pamoja na mawakili wa pande zote (serikali na utetezi), Washtakiwa wengine watatu bado wamebakia kizimbani. Hapa Kuna utata na mahakama imeshindwa kabisa kusimamia Haki, ushahidi wa Upande wa utetezi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bila Upelelezi kukamilika hakuna kukamata, ukiachiwa na Mahakama hakuna kukamatwa tena

    Tunaposema kila Mtanzania amuunge mkono Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan tunamaanisha mambo kama haya, Niwe mkweli tu tangu Uhuru Mama huyu ni watofauti sana hebu ona alichofanya kwenye magazeti na hii, === Bunge limepitisha Mabadiliko muhimu ya Sheria kupitia muswada wa mabadiliko...
  15. JamiiForums Tanzania Uchawi wa kukatwa na vitu vyenye ncha kali bila kujeruhika

    Uchawi huu uko sana Kigoma, pia majambazi wengi huutumia
  16. JamiiForums Tanzania Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

    Guys, Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali. Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua. Kisha nakaa pembeni...
  17. JamiiForums Tanzania Bila VAR timu ndogo gomeeni ligi round ya pili.

    Ziko timu ambazo zitashuka daraja kwa kupokwa ushindi na waamuzi dhidi ya timu kubwa nchini. Round ya pili hata kama hakutakuwa na VAR lakini iwepo TV inayoweza kutumika watu kuangalia slow motion za matukio tata viwanjani.
  18. JamiiForums Tanzania Mzee Wassira: Ujenzi wa Hospitali ya kumbukumbu ya Mwl. Nyerere sifa wapewe wananchi wa Mara na siyo Serikali

    Mzee Wassira ni mmoja kati ya wazee ambao huwa haonyeshi kucheka cheka pale anapoongelea jambo, mfano aliongelea jambo urais ambao wengi wanaonyesha nia wkt huu na kusema muda wao bado na hata yeye aliwahi kuutaka ila kwa sababu ya muda basi muda wake umepita na hawezi tena. Mimi ni mmoja kati...
  19. JamiiForums Tanzania Inawezekana kupona enka iliyoteguka (ankle sprain grade3 au 4) bila kwenda Hospitali?

    Je, ni wakati gani nitahitaji kumuona Dokta kama nitaona maumivu makali yamepungua kutoka siku ya kwanza ya kupata ajali ya enka?. Vipi kama nitaamua kufuata tu taratibu za kujiuguza nyumbani mpaka Mguu/enka itengemae? Ni ipi hatari inayoweza kumpata Mtu asipoonwa na kushauriwa na Daktari juu...
  20. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo

    Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo ya Utarajali Tamko hili Limekuja baada ya Wanafunzi kulalamika kupitia JamiiForums kwamba utaratibu wa kusubiri miezi nane ndipo warudiE mitihani inawauimiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…