bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 bila Tanzania Institute Hospital, niliyoyasikia, kuyaona na kusimuliwa na miaka 9 bila gwiji wa moyo nchini Dr. Masau

    Tarehe 12 mwezi Aprili mwaka 2012 ukiwa usiku wa manene mithili ya mwizi anayevamia nyumba fulani ili kutimiza hadhima yake, hakika ilikuwa ni siku mbaya iliyoleta machungu makubwa sana kwa waliokuwa wafanyakazi wa Taasisi ya magonjwa moyo (THI) kupoteza ajira zao na vitu vyao binafsi baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ulichukuwa hatua gani ulipotambua unachukiwa bila sababu au unaonekana huna msaada wowote kwa waliokuzuguka?

    Hiko hivi, Nimepata masimulizi kutoka kwa jamaa yangu sana yanayomsibu. 1. Ni mtu wa moyo Safi, Ila atawale aliowasaidia wanamuona nonsense kwa sasa 2. Anasema wakati fulani anasaidia kutoa taarifa kwa marafiki chimbo wanapopata mzigo kea Bei rahisi Ila jamaa zake wakipata sehemu nafuu zaidi...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kama serikali ya kijiji ina mamlaka kisheria kugawa kiwanja cha mtu bila idhini yake

    Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho, tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya kijiji baada ya kuona hicho kiwanja hakiendelezwi. Tulipofungua kesi mtendaji anasema eti huyu...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi ilipo sasa: Mwanajeshi anakuwa Traffic Police, Taasisi zinajipangia faini zao bila utaratibu

    Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi? Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua...
  5. JamiiForums Tanzania Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

    Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa viongozi wanapata nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa ila ni sababu tu ya majina ya watoto wao. Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, Ridhwani Kikwete, Januari Makamba, Nape Nnauye n.k Anasema wao wapo hapo ukisema utafute walichofanya mpaka...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kilisababisha Magufuli kupiganiwa na makabila matatu ?

    nimekaa na wasukuma wanasema hayati alikuwa msukuma,nimekaa na waha wa Kakonko wanasema hayati alikuwa ni mtu wa kwao,nimezungumza na wazinza wa Butundwe(Lagos) wanasema hayati alikuwa mtu wao,ukizungumza na warongo,ukizungumza na wasubi wote wanasema hayati alikuwa mtu wao sasa najiuliza kisa...
  7. JamiiForums Tanzania Hakikisha kabla hujamuoa Ajue kuwa siku Akiku-cheat utamfukuza bila Mjadala

    Kwema Wakuu! Andiko hili linawahusu Vijana ambao hawajawahi pata kuishi na Wababa wenye tabia za Uanaume, ambao hawajawahi kushauriwa mambo ya kiumeni hasa katika kipengele cha Mahusiano na namna ya mwanaume kulinda heshima yake. Kabla sijafika mbali; moja ya kanuni ya kiumeni katika mfumo...
  8. JamiiForums Tanzania DAR: Mgonjwa atibiwa tatizo kwenye ubongo bila kufungua fuvu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Ramaiah India imeendesha kambi maalum ya uchunguzi na tiba ya mishipa ya damu kwenye ubongo bila kufungua fuvu kwa mbinu za kisasa. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Respicious Boniface amesema zaidi ya wagonjwa 160...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina amuunga mkono Rais Samia kuwabana Mawaziri

    TAARIFA YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) KWA UMMA, LEO TAREHE 6 APRILI, 2022 KUUNGA MKONO KAULI YA MH. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ALIYOITOA MACHI 30, 2022 KUHUSU BAADHI YA MAWAZIRI KUSHINDWA KUTOA MAJAWABU NA UFAFANUZI WA KINA...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote katika aina hii ya utapeli?

    Huu utapeli hakufanyika kwa Tamaa kama ilivyozoeleka na ndipo napopata mashaka. Ni ndugu yangu wa karibu naemwamini sana, nilimtumia pesa laki 6 anunue laptop kwajili ya chuoni. sasa nikawa nafatilia hio laptop naona ananipiga sana chenga, nikafikisha hii kero kwa mama yake ambae ni mamdogo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bila kuwasikiliza wananchi wako utakwama

    Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo. Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti. Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk. Mapungufu ya msingi yapo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Bila kusema ukweli kuhusu 2020 uchaguzi wa 2025 wengi watasusia

    Nimeona leo kwenye mkutano wa TDC wadau wengi wa vyama na haki. Haya yote ya vikosi kazi vyote havitasaiia chochote kama wadau watafukia yaliyopita bila kuongelea uchaguzi wa 2020. 1. Inabidi yote mabaya yaliyotokea yasemwe na wadau wote kwa uwazi 2. Inabidi wadau wote wakubaliane kurekebisha...
  13. B

    JamiiForums Tanzania TCD endapo mtaelewa kauli aliyoitoa George (Mkenya) mtatambua hakuna Tume bila Katiba na hakuna Katiba bila Tume Huru

    George amewaeleza wananchi mambo muhimu sana ambayo kwa historia ya Kenya kwenye mchakato wa Katiba hakuna tofauti na Tanzania. Kenya walikusanya maoni ya wananchi then chama tawala na Serikali wakayakataa hayo maoni yaliyokuwa na jina la BOMAS. Chama tawala wakaanzisha mchakato wao na...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Urusi : Huwezi kuwaangamiza mchwa bila kumuua Malikia wao, Mwenzako Japan alilijua hilo na akajaribu Bahati yake

    Tumeshuhudia Urusi ikiivamia Ukraine kijeshi , uvamizi huu ulikuwa na lengo la kuiweka Ukraine chini ya himaya ya Urusi ikiwa ni pamoja na kusimika utawala mpya ( Full scale millitary invasion), na hvyo kufagilia mbali malengo ya NATO pamoja na wahuni wa US kujibanza pale. Mambo hayajaenda...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia mwezi 8 ofisini bila mshahara, Wazambia kwanza

    Rais Hakainde Hichilema wa Zambia mwezi wa 8 sasa hajawahi kupokea mshahara. Kwake wazambia kwanza: Kwetu si mishahara yao na posho tu zilizo nona haswa, bali sisi kukamuliwa kweli kweli. "Kwetu ni self service." Nani anasema tatizo letu si katiba? Si kuwa tuna watu madarakani ambao...
  16. JamiiForums Tanzania Tunadekezwa, tunajua sote madhara ya deko

    Kuna Mmarekani Mmoja anaitwa Steve Harvey aliwahi kusema kuwa Success is the very uncomfortable process to attempt alimaanisha kuwa mafanikio yanahitaji hofu, yanahitaji pressure yanahitaji kukosa raha yanahitaji kila Aina ya internal and external forces. Binadamu yeyote anayejaribu kushusha...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anataka kumlinda Lissu bila Lissu mwenyewe kujua

    Ni hivi Lissu anataka Rais Samia kwenda hadharani na kumuhakikishia Lissu usalama wake ili aweze kurudi Tanzania. Rais Samia anasita ingawa si kwa kumuogopa Lissu au Usalama wa taifa lakini ni kwa kumkinga. Mama akitoka leo na kumuhakikishia usalama Lissu wapinzani wake Rais Samia watatumia...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Anna Makakala, Diaspora tumeona mabadiliko upokeaji maombi ya pasipoti ila Sasa maafisa wachache wamekalia maombi bila kutoa pasipoti

    Mara mwisho nikiwahi kuleta Uzi hapa kuishauri Uhamiaji iache kuwarudisha waombaji wa pasipoti bila kuwapokea Jambo lililopelekea vishoka nje ya ofisi zao kushirikiana na maafisa kushawishi ndipo maombi yapokelewe. Vijana wengi na watu wengi tulionao kwenye group la WhatsApp na tunaojadili nao...
  19. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Make ups kwa wanawake

    Hivi saluni zikipigwa marufuku sura za wanawake zitaonekanaje mfano sura ya Mfalme Zumaridi inatisha akiwa rumande bila make up
  20. JamiiForums Tanzania Faida Na Changamoto Za Kuuza Viwanja Au Nyumba Bila Kuwa Na Dalali

    Kuuza bila Dalali ni mauzo ya mashamba, viwanja na nyumba ambayo yanafanyika bila kuhusisha dalali kati ya mwenye nyumba na mnunuzi. Hivyo huwezi kulipia ada ya dalali wa nyumba na ardhi. Kwa kawaida, mauzo ya aina hii hufanyika kwa wawekezaji ambao wanaanza kuwekeza katika nyumba, viwanja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…