bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sherehe za Muungano bila Amiri Jeshi Mkuu ni sawa?

    Kama ibara ya kwanza ya katiba ya JMT inavyotanabaisha ni kuwa Tanzania ni dola huru ambayo ni jamhuri ya muungano. Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 siku ya tarehe 26 mwezi wa nne. Ibara ya 33 ya katiba ya JMT inatanabisha wazi kuwa rais ndie mkuu wa nchi na amiri jeshi...
  2. JamiiForums Tanzania Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

    Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais. Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau. Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu! Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona. Sasa sijui...
  3. JamiiForums Tanzania Ramani ya fundi Maiko, inachorwa bila proportions lakini nyumba inasimama

  4. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kuitwa kwenye interview Sekretarieti ya Ajira bila 'ku-certify' vyeti?

    Habari wakuu, Kwa mliowahi kutuma maombi ajira portal ya sekretarieti ya ajira. Hivi unaweza kuitwa interview sekretarieti ya ajira bila kusatifai vyeti.
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuangalia video bila kutumia data

    Habari ndugu wataalamu. Mwaka jana katika pitapita zangu nilifanikia kudownlod application ya kielimu katika simu yangu, hiyo application ilikua na video mbali mbali za masomo ya shule ya sekondari. Ilikua ni app ya kulipia monthly subscription ulikua unalipia shiling elfu 10. Sasa ilikua...
  6. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Siasa; Hakuna Siasa bila uonevu

    Herehoa! Siasa zilianzishwa Kwa maslahi ya viongozi na watu wapendao utawala! Biashara zilianzishwa Kwa maslahi ya wafanyabiashara kujipatia faida! Mtu huanzisha kitu Kwa maslahi yake au kundi litakalomuunga Mkono! Mtu Fulani huweza kuamua kutaka kuongoza wengine na kupigania maslahi ya jamii...
  7. JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ana jamaa ambaye anashiriki naye mapenzi bila kumpa chochote

    Ukweli ndio huo. wWnawake wengi wana watu wao wanaoshiriki nao mapenzi bila kupewa hela ama zawadi yoyote. Anaweza kuwa kwenye relationship na wewe na bado penzi lake likawa linapelekwa sehemu nyingine kwa gharama zake mwenyewe (mwanamke) NB: Msiende kuchunguza simu za wapenzi wenu mtaanguka...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

    Hebu chukulia mfano yanayoendelea Ukraine, mtu unamkuta anaenda kutafuta hifadhi pamoja na mnyama wake, leo hii sitashangaa hapa kwetu mtu akihamia hata mtaa wa nne basi atamtelekeza mbwa wake. kuwatesa wanyama ni kumtemea mate usoni Mwenyezi Mungu alieumba viumbe vyote, kuna hizi tabia...
  9. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anakaribia kuoa kimyakimya bila wazazi na ndugu zake kujua

    Baada ya wazazi wake kumkataa binti ambaye alikuwa ana mipango ya kumuoa kwa sababu wazazi wanazozijua wenyewe. Jamaa yangu sasa anakaribia kuoa kimya kimya bila wazazi na wala ndugu zake kuwashirikisha wala hawajui chochote kama anaowa na amefanya hivi sababu wazazi wake wamekuwa kikwazo...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa “kula bila kuvimbiwa”

    Kwenye huu uzi nitakuwa naposti video pamoja na habari mbalimbali za kula bila ya kuvimbiwa pamoja na video na habari za kujipimia pia. Video zangu ni fupifupi ambazo zipo chini ya MB 1 ili hata akina sie ambao bando linasumbua sumbua baada ya serikali kupandisha gharama za bando tuweze...
  11. JamiiForums Tanzania Msiwe mnaumizana bure bila sababu wakati wa kujamiiana

    What is the refractory period? Reviewed by the medical professionals of the ISSM’s Communication Committee After orgasm, both men and women experience a resolution stage called the refractory period. At this time, their bodies “recover” from sexual excitement and return to their normal states...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

    Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli. Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao...
  13. JamiiForums Tanzania Tuacha upotoshaji wa kudhani kuteseka sana mwishowe huwa ni kufanikiwa, watu wengi huteseka mpaka kifo bila kufanikiwa.

    Utaskia.. "Diamond aliteseka sana leo kafanikiwa" - hapa mtu anasahau kwamba kwenye muziki kuna ma elfu ya wasanii wameanza kuimba 2005 huko ila mpaka leo bado wanteseka. "Bakhresa alianzia chini kwa kujiajiri leo katoboa" - katika kundi hili kuna watu wengi sanaaa waliojiajiri kila siku...
  14. JamiiForums Tanzania Siri yafichuka Kumbe marekani inamiliki Hypersonic bomb miaka kibao iliyopita bila Dunia kujua:Kremlin wasema

    Kremlin has a secret, undisclosed data repository that includes information collected about NATO and USA, on the issue of owning Hypersonic bomb many years before the world being aware of this KOMOVA said Thursday. While neither the USA nor NATO would disclose it
  15. JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea: Samia analiunga daraja la WAMI bila kelele, kutukanana na watu au kutafuta kiki. Kuongoza nchi ni sayansi

    Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa. Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa. #SHH2025/30 #MamaMaendeleo.
  16. JamiiForums Tanzania Polisi Njombe: Ukimuita mwenzio Mchawi unakwenda jela miaka 7 bila dhamana

    Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila ya kuwa na dhamana. Hayo yamebainishwa na Sajenti Thobias Nyagawa wakati Polisi na...
  17. JamiiForums Tanzania FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani

    Habari! Nawakumbusha tu Waislamu wenzangu kuwa tusifuturu kwa FUTARI walizopika vimada wetu hasa tunaoishi nao pamoja. Haijalishi tumezaa nao watoto wangapi, au tumeishi nao kwa miaka mingapi.
  18. JamiiForums Tanzania Irene mnigeria nisamehe Nimekupa mimba bila kutaka ni bahati mbaya

    Kama kawaida yetu wanaume! Kuna muda nilisema nimestaafu lakin mmm hakuna kustaafu Unakutana Na mtoto hadi unachanganyikiwa , Mwezi wa 2 nikiwa hapa jijini changi nikapita Hotel inaitwa Indulge Urbun Nikamuona demu Mrembo Sana yan ! Ni mnigeria nikaanza kumlia timing, Ilikuwa Jumapili...
  19. JamiiForums Tanzania Nchi zipi ambazo kwa passport ya Tanzania unaingia bila viza?

    Wana Jf nilisikia taarifa kuwa kuna nchi 68 ambazo ukiwa na passport ya Tanzania unaingia bila viza ila sijapata orodha ni zipi? Mwenye orodha aweke hapa nataka niuze vi asset vyangu vyote niangalie ka nchi kenye afadhali nikaanze maisha mengine,maana nchi inamilikiwa na mtu mmoja tu na genge...
  20. JamiiForums Tanzania Bila Marekani

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…