bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

    Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
  2. JamiiForums Tanzania Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je hawa wanawake wangetembea nusu uchi?

    Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je wangetembea nusu uchi??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Double Standard bila soni: Mbatia kutojihusisha na NCCR hadi itakapoamuliwa vinginevyo, Wabunge 19 kujihusisha hadi itakapoamuliwa vinginevyo

    Msajili wa vyama vya siasa amebariki uamuzi wa Mbatia na Sekretarieti yake yote KUTOJIHUSISHA na siasa ndani ya NCCR Mageuzi hadi itakapoamuliwa vinginevyo (yaani endapo wataenda mahakamani), Lakini tukija upande wa wabunge wa Covid 19, wenyewe wataendelea KUJIHUSISHA na siasa ndani ya CHADEMA...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani. Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani. SIFA ZAKE Awe smart kichwani...
  5. JamiiForums Tanzania Je, mtu unaweza kupokea Ekaristi Takatifu bila kula kile kipande cha ngano?

    Mantiki ya swali langu inalengo la kufahamu, je, Ekaristi ni kitu ‘Spiritual’ au ni kitu ‘physical’? Meaning, mtu anaweza kupokea Ekaristi bila kula kile kioande cha mkate? Spiritually tu kwa kuamini? ========================= 20/08/2026...
  6. JamiiForums Tanzania Bila huu utamaduni basi ni wazi mdogo wangu angefika miaka 25 hajawahi kulala na mwanamke, nguvu ya ziada ilibidi niitumie kumuokoa

    deleted
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

    Kwema Wakuu! Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii, Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa nachelea kusema Wanawake wengi yaani 95% bila ya urembo hawavutii na wala hawaonekani kuwa wazuri...
  8. JamiiForums Tanzania Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

    Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham. Wamevaa tishert zenye rangi za kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga. Wapo wengi tu...
  9. JamiiForums Tanzania namba ya NIDA kutumika kusajili line nyingi bila muhusika kujua kinachoendelea.

    HABARINI ZA WEEKEND WA NDUGU! TCRA mnipe ufafanuzi inakuwaje namba ya NIDA nimeihangaikia kwa kupanga lifoleeeeni kubwa na kutumia ma finger print yangu hadi picha mkanipiga ili nipate kitambulisho kwaajili ya matumizi yangu binafsi. kwa jinsi mlivyotuelimisha zile finger print ni kama...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Matajiri Wahindi na Waarabu watufundishe weusi kuhusu mirathi na mali kugawana bila ugomvi. Yasijirudie ya Mengi na Mama Lwakatare mbeleni

    Habari wadau. Hivi wahindi na waarabu wanatumia mbinu gani ya kumaliza mirathi zao bila ugomvi na huku watoto wanazaa wengi na waarab wanaoa wake wengi. Vifo vya mabilionea wa kitanzania wenye asili ya kihindi na kiarab ni vingi ila hatusikii wakigombea mali zao Ila sisi weusi kila tajiri...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni. Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu. Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...
  12. JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania bila mambo haya itabaki ushabiki Vima wa Simba na Yanga

    Hakika nawasalimu. Mimi si mpenda soka Sana. Kwa mtazamo wa kitaaluma, soka ni zaidi ya watu wengi tunavyofikiri. Vijana wanapenda Sana soka, wengine Kwa ajili ya kubet tuu baasi. Miaka kadhaa nyuma ni nadra Sana kumkuta mwanamke anashabikia soka, lkn hivi Leo wanacheza na kuimba kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Bila kututajia mwaka, tuambie ulimaliza form four mwaka gani?

    Mimi nilimaliza mwaka ambao mitihani ilifutwa tukarudia tena. Wakongwe najua watakuwa wameng'amua... Kwa upande wako, ulimaliza mwaka gani bila kututajia mwaka?
  14. JamiiForums Tanzania Yang Vs Dodoma Mji. Tukifungwa au kutoa Draw sisi Yanga nipigwe Ban ya Week na pia nitatembea bila Kinga

    Hii mechi tulishashinda kitambo. Leo Mayele lazima atupie hata 2 kuondoa Gundu mlilomtupia nyie Simba. Hii team yetu kabisa.... Dodoma hawawezi kutukamia... Yanga tumejipanga hasa msimu huu kuchukua Makombe yote. Na nasema hapa tusipochukua Kombe nipigwe Ban ya Mwezi mzima. Sioni wa kutuzuia...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini huwa serikali inaingia mikataba bila kuishirikisha Bunge kama kweli kazi ya Bunge ni kuisimamia na kuishauri serikali?

    Nauliza tu maana sielewi vizuri sana maana mambo ya kiwa hovyo huwa naona bunge linasema iundwe tume kuchunguza jambo fulani.
  16. JamiiForums Tanzania Maktaba ya ujanani: Mbinu niliyofanikiwa kunasa ma ex wawili bila kukataliwa

    Hii ni maktaba nayowaletea kwenu nikijikumbushia mbinu kadhaa nilizowahi kuzifanyia practical. Njia hii ilikuwa ni kwamba ni lazima kuwe na mabinti wawili marafiki, nachofanya nawalinganisha, namchangamkia saa yule wa kawaida, yule mrembo nakuwa sina time nae kivile, baada ya hapo ntaomba namba...
  17. JamiiForums Tanzania Simu zimechangia kuupoteza umuhimu wa kujuana kabla ya mahusiano; siku hizi mapenzi mengi huanza ndani ya siku hiyohiyo bila kujuana vizuri

    Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano. Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna haja ya kumwambia mpenzi wako kuwa upo off mood bila ya kumpa sababu yoyote ya msingi?

    Hii tabia naona inataka. Kuota mizizi kwa mpenzi wangu, Mara nyingi ninapompigia kumjulia Hali, maana tunaishi mikoa tofauti amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi. Nashindwa kumuelewa kwamba anakuwa anamaaniaha Nini?kwamba nisimsemeshe au ni Nini? mwenye uelewa...
  19. JamiiForums Tanzania Riziki Shahari: Hakuna Elimu Bila Walimu, Serikali Imalize Ukosefu wa Walimu

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA ELIMU ACT WAZALENDO NDG. RIZIKI S. MNGWALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023 Utangulizi: Ndugu Waandishi wa Habari, Jana tarehe 10 Mei 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipokea na kuanza...
  20. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…