Mwanzo aliwatisha wale watakaoisaidia Ukraine kwenye vita kua watakiona cha mtema kuni na atawageuza kuni, ila mpaka leo yupo kimya na Ukraine inasaidiwa mpaka na majirani zake kama Poland, Lithuania, Germany and ect.
Juzi anasema ataipiga mahakama ya ICC pale the hague kwa hypersonic...