bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Wahudumu wa bar bila kuvaa nguo fupi, biashara haiendi?

    Hili ndio swali ambalo siku zote huwa najiuliza. Nani aliwaambia wamiliki wa bar kuwa wanaume tunaenda bar kuangalia mapaja na sio kufuata huduma bora? Na hili tutasingizia wazungu au utandawazi? Vidada vingine hata miguu na mapaja havina, ila vinalazimika tu kujianika. Pumbafu kabisa.
  2. Muhimbili sasa ina teknolojia ya kuyeyusha damu (blood clots) kwa watu wenye stroke pia kutibu uvimbe kwa wanawake (Fibroids) bila kufanyiwa upasuaji

    MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo inatumia mtambo wa kuyeyusha damu iliyoganda kwa mtu aliyepata kiharusi. Profesa Janabi alisema hayo Dodoma jana na akasema kwa sasa kwa wanaopata ugonjwa huo wanatibiwa kwenye kifaa hicho...
  3. Elimu ya uumbaji binadamu bila kujamiiana

    ELIMU YA UUAMBAJI BINADAMU BILA KUJAMIIANA (CLONING) Mchakato wa uumbaji wa binadamu bila kujaamiana (Cloning) ulianza mwaka 1938 na wanajeshi wa Nazi chini ya kamanda Hitler. Ian Wilmut muasisi wa uuambaji wa kondoo aitwaye Dolly, raia wa London nchini Uingereza alipata upinzani mkali baada ya...
  4. Wapalestina 200,000 wabaki bila makazi, wanaishi kwa misaada ya Umoja wa Mataifa (UN)

    Huku Waarabu weusi wa Bongo wakiendelea kuchekelea na kufurahia uchokozi wa HAMAS kisa ni ndugu zao katika dini, ifahamike wahanga wa hii vita ni hao hao Wapalestina ambao mabomu yamelipua makazi yao na wameishia kwenda kuishi kwa misaada ya wazungu. Mataifa ya Waarabu na Iran wapo pembeni...
  5. A

    MADALE: Kero ya Kukatiwa maji bila maelezo na kijana wa DAWASCO

    Habari wana JF. Niende moja kwa moja kwenye kelo yangu juu ya Dawasco. Kumekuwa na changamoto ya kukatiwa maji mara kwa mara na baada ya kukata huyu kijana hatoi maelezo kwa mhusika. Akishakata huwa anadai 15000 kurejesha maji. Navyoelewa mteja anatakiwa kupewa taarifa ya mdomo kisha barua ya...
  6. SAUTI ya Watanzania na Maandamano ya Bila Kikomo - There is more Than one Way to Skin a Cat....

    Ushauri tu; Gandhi alivaa shuka sio sababu alikuwa hana pesa za Mavazi mengine na ingawa ilimfanya a-connect na masses (kuwa mmoja wao) bali huenda hii ilikuwa ishara ya Mgomo.... (Mgomo dhidi ya Viwanda vya Nguo vya Mkoloni); na impact yake ilikuwa ni kubwa na mpaka leo lile shuka limekuwa kama...
  7. Kama hujui English usiende kutibiwa The Aga Khan Hospital DSM bila mkalimani,utaumbuka!

    Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo fulani la kiafya. Baada ya kuzunguka hospitali nyingi bila nafuu,mwananzengo akaniambia niende Aga Khan. Kufika pale nskutana na specialist mwenye asili ya kiasia hajui kiswahili,nilijiuliza sana ingekueaje kama ningekuwa sijui kujieleza kiufasaha kwa lugha ya...
  8. Usikimbizane na 'mafanikio' maana hautayakamata utabaki tu kuyafuata. Mzunguko wa maisha hurudi mwanzo wake bila mwisho

    Ndivyo ilivyo sayansi ina mtindo wa kuadvansiiiiiiiiiii halafu inarudia vya mwanzo. Teknolojia pia huwa inaboreshwaaaaaa hadi inarudia vya mwanzo mifano; Tunaanza kwa kuwa na dawa za asili, baadaye viwanda vinaboresha vinaextract vinaunda sindano na vidonge. Watu wanahamia za kisasa halafu...
  9. Wakristo na sisi tukataze watoto wa nje, Matapeli wameanza kuiba mbegu za wanaume matajiri ili wapate watoto wa kurithi mali na pesa za kuwatunza

    Navyoona ukristo haukuwahi kudhania kama dunia itakuja kufikia zama za sasa, leo hii inawezekana kabisa mwanaume alie marekani kusafirishia mbegu za kutunga mimba kwa mwanmke alie Tanzania. Pengine Mungu alikataza watoto wa nje kurithi mali huko dini nyingine kwa kujua tutafikia zama hizi za...
  10. J

    Makundi ya CAFCL yatamalizika kama yalivyopangwa.... CAF ni kama wameshavujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua

    Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila...
  11. A

    Zanzibar bila Tanganyika

    Zanzibar imejaa fursa lukuki 1. UTALII 2. GESI 3. MAFUTA 4. KARAFUU 5. MWANI Ila ndio koti la Muungano linatubana. i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika, ii. Pesa inaliwa Tanganyika. iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
  12. W

    KWELI Mende anaweza kuishi kwa siku kadhaa akiwa amekatwa kichwa chake

    Mende ni maarufu kwa ukakamavu wao, na mara nyingi hutajwa kuwa ndio walionusurika zaidi katika vita vya nyuklia. Wengine hata wanadai kwamba wanaweza kuishi bila vichwa vyao. Suala la mende kuendelea kushi hata baada ya kukatwa kichwa lipoje?
  13. Wanaume wasiishi bila mweza, inapunguza unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Wanaume walio single wengi wanaishi wenyewe au wamepanga mtaani ndio wanaongoza kuwarubuni vijana au watoto kuwaingilia kinyume na maumbile. Wanawadanganya kwa pesa au simu. Wanawaonesha video za ngono na kuanza kuwashika shika sehemu zao za siri. Ndio maana sehemu nyingine hawapendi kuona...
  14. Maisha ya dunia bila shetani yasingenoga

    Dunia kuna nguvu kuu mbili, umepewa free will uamue, uwe kwa shetani au Mungu. Shetani ndie mungu wa ulimwengu huu kwa wasio na Mungu. Matatizo shida vurugu kila kitu kibaya chanzo ni shetani. Kila lolote lililo baya lina uzuri ndani yake. Maendeleo ya dunia ni matokeo ya shida, shida ndio...
  15. Fikra potofu kuhusu watu weusi (Afrika) ambazo sisi wenyewe tunaziamini bila kutafakari kwa kina

    Habari wadau wote wa JF Hakuna kitu kibaya kama kumwacha mtu akufafanue au kukuelezea kama vile ww mwenyew hujijui. Don't let anyone define you and don't let anyone define your beliefs. Kuna baadhi ya mambo waafrika tunakua tunajiaminisha na kujilaumu bila kutafakari kama "je haya mambo...
  16. R

    Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

    Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali. ================== Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa...
  17. R

    Kama kwenye mitandao ya kijamii wanapiga kelele matukio haya yangefanikiwa bila uwepo wa Mitandao ya Kijamii?

    Wakuu, Waziri Nape alitoa kauli hivi karibuni akisema watu waliokuwa kwenye mitandao ya kijamii wanapiga kelele tu na kwamba wapiga kura na wale wanaojielewa wanafanya mambo mengiine mtandaoni lakini sio kutumia mitandao ya kijamii. Haya ni baadhi ya matukio ambayo mitandao ya kijamii...
  18. Leo Natimiza Miaka 2 Bila Kuangalia TBC 1

    Ni miaka 2 mfululizo sijakaa chini serious kuangalia TBC 1. Maisha yamekuwa mazuri na yenye furaha tele. Naamini maisha yatakuwa bora zaidi 2025 pale chama changu pendwa kitakapo kata jina na kutuwekea chuma toka Cuba.
  19. M

    Muda TANESCO mnakata umeme sio rafiki. Mnatesa Wananchi bila sababu

    Hivi TANESCO ndio tumekubali kuna shida lakini mkikata umeme saa 8.00 am mkarudisha 5.00 pm. Mnaona wananchi watafaidi sana. Kwa nini mkate saa 6.00 am watu wanajianda kwenda makazini na shuleni. Waoneeni huruma Wananchi ata kama ni upigaji sio kutesa wengine.
  20. Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

    Naandika kwa masikitiko sana Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara Mpaka napata kichefuchefu Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…