"... Tuliingia Mkataba nanyi Wananchi kwenye Uchaguzi Mkuu baada ya Chama chetu (CCM) kuinadi Ilani ya uchaguzi kwenu. Mkatupa ridhaa, sasa ni wajibu wetu kutatua kero zinazowakabili bila kuchoka. Tunafanya hivyo ukiwa ni wajibu wetu kikatiba na kisheria ndio maana leo kwenye Kata yenu Tumefanya...