Kama kukosolewa ni nongwa, na burudani ya moyo wa mfalume ipo kwenye kusifiwa, na kusifiwa huko kunasababishwa na mkono wenye kugawa vinono, basi utambue unajisumbua tu, wakosoaji hujikita katika kuangazia kile umeitendea Tanzania kama kiongozi mkuu
Ukiona agenda yao imeungwa mkono na walio...