bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kupita bila kupingwa, Kuna wenzenu hawana aibu kabisa

    Kuna mtu hawazi Wala kufikiria watu watasema nini mtoto na mwanawe kupita bila kupingwa katikati ya watanzania 65,000,000. Hata kama unasema hujui lakini hii inaweza kukulazimisha kujua. Baada ya baba wa taifa kufa, nani amebakia kutuambia acheni kufanya hivi?
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Vigogo wa CCM Waliopita bila Kuwa na Wagombea wenza ndani ya chama au bila kupingwa mchujo wa kuwania Ubunge uchaguzi mkuu 2025

    Hawa ndiyo Wabunge waliopitishwa bila kupingwa kuwania kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa hawakuwa na wapinzani wowote kutoka ndani ya chama hicho. Wamepitishwa moja kwa moja kutokana na kukosekana kwa wagombea wengine waliotia nia katika...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Onesmo Mushi: Manabii Mwamposa, Gwajima, et al na concept ya "mapenzi" ya Mungu vinavyowasaidia WATAWALA kutawala bila WATAWALIWA kuhoji haki zao

    Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc TUAMKE...
  4. JamiiForums Tanzania Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

    Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk Bila hela hutoboi.. Mwisho wa uchambuzi.
  5. JamiiForums Tanzania Pesa ya Online: Jinsi ya Kutengeneza Kipato Bila Kuwa na Duka, Mtaji Mkubwa au ‘Connection’”

    Zamani, kupata pesa ilihitaji uanze na mtaji mkubwa, duka la mtaa au hata leseni ya biashara. Sasa sivyo tena. Dunia imebadilika. Leo, unaweza kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa nyumbani — hata kwa kutumia simu yako tu. Watu wengi Tanzania wanapata maelfu hadi mamilioni kila mwezi kupitia simu...
  6. JamiiForums Tanzania Kipindi cha yesu kulikuwa na siku ya sabato bila dhehebu la usabato, hivi leo kuna siku na dhehebu

    Siku ya sabato mwanzilishi ni mungu mwenyewe kulingana na maandiko, na inatambulika na ushahidi wa maandiko upo. Dhehebu la usabato mwanzilishi ni Ellen G White halitambuliki na biblia na hakuna kielelezo chochote kuhusiana nalo kwenye biblia zaidi ya maelezo ya kujitegemea ya Ellen G White...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna matamko huyategemei toka kwa Jaji wa Rufaa, anatoa haki Mahakamani! 37 millions wamejiandikisha kweli?

    Judge mzima huna aibu unasema 37 wamejiandikisha......... By all intent and purposes haiwezekani watu wote wajaiandikisha........ duniani haijawahi kutokea. Nchi za Ulaya, particularly Western, ambazo database za watu wake ziko perfect 100% unaweza ku quote data hizo ukazifaya automatically that...
  8. JamiiForums Tanzania 💰 Jinsi ya Kutengeneza Tsh 300,000 kwa Mwezi Ukiwa Mtandaoni (Hata Bila Mtaji Mkubwa)

    Kama umewahi kujiuliza, “Nawezaje kupata kipato cha uhakika mtandaoni?” — basi makala hii ni kwa ajili yako. Watu wengi hufikiri lazima uwe na kompyuta kubwa, ujuzi mgumu au uwe na mtaji wa mamilioni ili kupata pesa mtandaoni. Sio kweli. Leo nakufundisha njia rahisi kabisa utakayoweza kutumia...
  9. JamiiForums Tanzania CCM haitaanguka bila kusaidiwa

    Shalom! CCM haitaanguka yenyewe, Bila kusaidiwa kuanguka. Tusipowasaidia, wataendelea kutawala. Na kwa uzoefu tulionao, hawajali watu wanawaza nini ili washinde. Watafanya watakacho ili waendelee kushika dola. Walivyoweza kujipanga kwa nguvu baada ya sakata la Lowassa mwaka 2015, tulipaswa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo kesho wanaachia X? Maana walisema hawajaifunga let us wait and see

    Wanakana hawajafunfa tweeter, ngoja tuone kama kesho tutaipata bila VPN! Proof ni moja: Ikipatikana bila VPN ujue walikuwa wameifunga
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Bila kujua CCM wanaenda kufanya reforms ndogo chamani huku wakigomea reforms za taifa.

    Wameitisha online conference meeting, lengo wabadilishe baadhi ya vipengele vya katiba yao kuelekea uchaguzi mkuu 2025 huku wakigomea mabadiliko ya sheria za uchaguzi mkuu ziweze ku suit vyama vyote kwa usawa
  12. JamiiForums Tanzania KIOO CHA SIMU ZA ANDROID KUWEKA UFA BILA SABABU

    Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake. Ukiangalia maduka mengi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Binadamu pekee aliye nyoosha mkono juu kwa miaka zaidi ya 52 bila kuushusha

    Amar Bharati ni raia wa India aliyeweza kuunyosha mkono wake juu bila kushusha toka mwaka 1973 kwa kuashiria kumtukuza mungu Shiva. Ameweka nadhiri hii kwa lengo la kusafisha na kutakasa nafsi yake na kuonyesha Imani thabiti kwa Shiva. Kwa miaka Mingi mkono wake umekuwa juu na kutengeneza...
  14. JamiiForums Tanzania Mbinu za Kisasa za Kugundua Matatizo ya Magari Bila Kuondoa Sehemu

    Katika zama za sasa, teknolojia imeleta mapinduzi makubwa katika utengenezaji na matengenezo ya magari. Moja ya maendeleo makubwa ni mbinu za kisasa zinazowezesha mafundi kugundua matatizo ya magari bila haja ya kuondoa sehemu za gari, jambo linalookoa muda, gharama, na hata kuzuia uharibifu...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi dunia nzima kuna mhindi anayemiliki timu na anatoa pesa fresh tu bila malalamiko?

    Si kwa ubaya, ila sisi wahindi especially wa jamii ya ponjoro, tunajulikana zaidi kwa kuchezesha kamari, kutumikiaha watu kwa ujira kidogo na kulalamika tunapata hasara. Hiyo ni jadi yetu na hakuna wa kutubadilisha. #SijamtajaMtu.
  16. JamiiForums Tanzania Rasmi nimemaliza chuo, bila mshahara wa milioni moja sifanyi kazi. Tumshauri au tumuache!

    KWEMA WAKUU NA WAKURUGENZI, mambo nadhani yanaenda fresh. Kuna wale hujanasibu pindi wanapomaliza chuo kuwa bila kiasi fulani hapigi kazi, bora asikilizie deal lingine. Una lipi la kuwashauri wahitimu wa design hii? Courtesy: MwananchiNews
  17. N

    JamiiForums Tanzania Sijaona waziri anaeshirikiana na jamii kwa moyo wa kujitolea bila makamera kumzidi Dkt Dorothy Gwajima, Her Responsibility exceeds her power

    EDIT: Sio waziri tu, ni viongozi wakiwemo mawaziri, maspika, wakuu wa mikoa, wabunge, n.k. Kujua matatizo ya wananchi kwa ukaribu ni msingi wa utatuzi wa kweli. Ni muhimu kwa viongozi kuwa karibu na waathirika moja kwa moja badala ya kutegemea tu ripoti kutoka kwa viongozi wa chini. Mara...
  18. JamiiForums Tanzania UNAWEZA UKAJENGA NYUMBA NZURI BILA LANDSCAPE NZURI INAPOTEZA MVUTO KARIBU TUKUPE DESIGN NZURI NA UTEKELEZAJI PIA 0624004650

    WE DO DESIGN AND BUILD CALL/WHATSAP +255624004650
  19. I

    JamiiForums Tanzania Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA!

    Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA! Katika zama hizi za kidijitali, kila swipe, kila app unayofungua, na kila sekunde unayotumia kwenye simu yako inaweza kurekodiwa — si kwa nia mbaya kila wakati, bali kwa ajili ya uchambuzi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama unamuda wa kusali huna muda wa kusikiliza mrejesho wa Mungu unapoteza muda bure

    Kusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu. Mazungumzo huwa ni ya pande mbili. Kwa bahati mbaya dini zimewafundisha watu kuongea na kupiga kelele kisha kuondoka. Hayo maombi yanakosa uhalisia wa mazungumzo. Baada ya kuomba tulia kidogo sikilizia kama utapokea maelekezo au maagizo yoyote kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…