bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini hukumu ya kesi ya Mwana FA dhidi ya TIGO imeripotiwa kwa makosa?

    Nimepitia vyombo karibia viwili vya habari vilivyoripoti hukumu ya Mahakama ya Rufaa katika kesi inayomuhusu Mwana FA na AY dhidi ya kampuni ya TIGO. Kwa jinsi maamuzi hayo yalivyoripotiwa ni kuwa Mwana FA na AY wameshinda kesi hiyo. Ukisoma vizuri mtiririko wa kesi zenyewe, utagundua uamuzi...
  2. JamiiForums Tanzania Hakika mafanikio hayaji bila maandalizi, Tazama video hii kisha utajua kwanini kuna timu kila mwisho wa msimu huambulia kombe la ranking

    Mafanikio = Serious Commitment ✅ Kujituma kwa moyo ✅ Njaa na kiu + hasira ✅
  3. JamiiForums Tanzania Wale Wanaopanga kumiliki magari used ya bei Nafuu: Tazama plan Yetu bila Riba

    Habari zenu wakuu. Baada ya kukutana na vijana kadhaa wanatamani wamiliki gari used kuwahi shughuli zao ila bajeti haitoshi, Yaani ni kazi kukusanya milioni 5 au 4 kwa pamoja. Naielewa vyema hali hiyo nami nilipitia nikianza maisha ya kujitafuta. Sasa nimekuja na plan kuwawezesha kutimiza...
  4. JamiiForums Tanzania Nikiongea nae anatabasamu tu bila kunijibu Chochote. Mpaka nilipoambiwa huyo ni Kiziwi, Hakusikii

    Wakuu, hivi ushawahi kukutana na mtu yuko poa sana ila tatizo lake ni moja tu hasikii. Mimi niimewahi kukutana na changamoto hii kama mara mbili hivi. Moja kuna Mama mmoja mtu mzima sana nilikua kila nikipita nyumbani kwake namkuta anashughulikia bustani yake ila kila nikipita nikimsalimia...
  5. JamiiForums Tanzania MACHIMBO YA FAIDA YAPO KARIKOO: Jinsi ya Kuagiza Bidhaa kwa Bei ya Jumla Bila Kufika Dukani

    Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida. nitakuonesha faida kuu za kuagiza bidhaa kutoka Kariakoo, hata bila kwenda mwenyewe dukani, na...
  6. JamiiForums Tanzania Bila Shaka wajumbe wa CCM wamefanya kazi kubwa kwa niaba ya watanzania!

    Nikiri katika mwaka huu wa kiuchaguzi wajumbe wa CCM wenye mamlaka ya kuchuja na kupendekeza majina ya wagombea ambao hatimaye ndio huchaguliwa kuwa wawakilishi wetu wamefanya kazi kubwa sana na ya kizalendo mno. Nawashukuru!
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Bila Agent - Hatua kwa Hatua (2025 Blueprint)

    Unataka kuanzisha biashara lakini huna mtaji mkubwa? Au umekuwa ukitafuta wauzaji wa jumla wenye bei nafuu bila mafanikio? Basi fahamu hili: China ndio mahali pa bidhaa bora kwa bei ya chini kabisa. Na unaweza kuagiza mwenyewe, bila kupitia agent wala kulizwa. 👇 Hizi ndizo hatua za msingi...
  8. JamiiForums Tanzania Shahidi wa Siri Bila Msingi: Uvunjifu wa Katiba, Sheria na Akili ya Haki

    Ni lazima tuseme kwa uwazi na kwa msisitizo: hakuna ushahidi wa ‘siri’ uliowahi kuwepo katika muktadha halali wa kisheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni uhalisia wa legal fact, na kinyume chake ni manufactured narrative inayokiuka misingi ya Katiba ya JMT, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Bila shaka Balozi Polepole anatafuta shari na huenda amejiandaa kwa shari

    Naomba nimnukuu kwenye maneno yake ya leo tarehe 03 August 2025 "...........WanaCCM wenzangu naomba tumuweke Mungu mbele, 2010 ni akina nani walitembeza fomu za mgombea Urais kama haikua familia ya Mgombea? Au hiki ni kitu nakosea kusema? Nazungumza kama mwanataaluma leo...... Natumia uhuru...
  10. JamiiForums Tanzania Wadada wanengua viuno vya uzazi majukwaani bila aibu .

    wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ? 😁😁😁ila wanajua daah au basi
  11. JamiiForums Tanzania MH Polepole atoboa Siri : Mwaka 2015 bila Mstaafu Mkapa kusimama kidete , Wahuni walitaka kumpachika MTU wao kama Rais!

    Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!. Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
  12. JamiiForums Tanzania Biashara yoyote haiwezi kukua bila wateja

    Wateja ndio damu ya biashara bila wao hakuna mauzo, hakuna faida, hakuna ukuaji. Ikiwa unataka kuipanua biashara yako na kuongeza mapato, kuna njia kuu nne za msingi ambazo kila mfanyabiashara anapaswa kuzitumia: 1. Pata Wateja Wapya Hii ndiyo njia ya kwanza ya kukuza biashara. Wateja wapya...
  13. JamiiForums Tanzania TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani

    TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani. Walichokifanya hao wa ubunge na udiwani ndio kile kile alichokifanya Samia, kama samia kwake sio rushwa basi hawa wengine nao sio rushwa. lakini kama kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi bila kukopa kopa pesa

    Panga bajeti ya mapato na matumizi. – Bajeti inakusaidia kujua unachopata na kutumia bila kupitiliza. Tumia pesa kwa vipaumbele, si kwa mazoea au tamaa. – Tofautisha kati ya mahitaji ya lazima na anasa au starehe. Epuka maisha ya kushindana na watu wengine. – Kuiga maisha ya wengine hupelekea...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbe ilikua inawezekana serikali kuwasiliana na X/Twitter wakazuia maudhui ya ngono yasionekane Tamzania bila kuifungia!.

    UK wamefanya hivyo bila kuigunga X, sasa ingawa sio sababu halisi ya kufungiwa kwa X, kwanini Jerry silaa wasiwasiliane na uongozi wa X wakazuia haya maudhui wanayosema hayafai kwa mlaji kuliko kuofungia kabisa?
  16. M

    JamiiForums Tanzania jerry spare parts and services yaja na zawadi ya ukaguzi wa gari bila malipo kwa wateja waliowahi kupata huduma kwetu!

    Kwa wateja wetu wote waliotufikia kwa huduma ya spare parts, matengenezo au ushauri wa kitaalamu – huu ni wakati wako wa kunufaika tena bila gharama yoyote! Tunatoa ukaguzi wa gari bure kama njia ya kuthamini uaminifu wako. Ni zawadi kutoka kwetu kwenda kwako, kuhakikisha gari lako linaendelea...
  17. JamiiForums Tanzania Jerry Spare Parts Wawazawadia Wateja Wao – Njoo Upate Engine Check na free car inspection Bila Malipo!

    Habari ndugu wanajamii, Katika kuhakikisha huduma bora na kuendeleza mahusiano na wateja wetu waaminifu, Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwajulisha kuhusu ofa maalum kwa wateja wote waliowahi kupata huduma kutoka kwetu! 📢 Ndiyo! Tunatoa Free Car Inspection na Engine Diagnosis bila...
  18. 3

    JamiiForums Tanzania Haya mambo 5 watu wa Dar wanayafanya bila aibu, ila kwa mikoa mingine ni mshangao au aibu tupu! Je, ni maendeleo au tunapotea?

    Wakuu niaje Nimekuwa Dar es Salaam kwa miezi kadhaa sasa, na kuna mambo nimeyaona ambayo kwa watu wa huku ni ya kawaida kabisa, lakini kwa sisi tuliokulia mikoani yanaweza kushangaza, kuchekesha au hata kuwa ya aibu. Je, haya ni maendeleo au tunapotea kimaadili? Hebu tujadili kwa uwazi lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Vijana wa Kiafrika Wana Nafasi Katika Mapinduzi ya AI Bila Kuhama Bara?

    Nimekutana na kauli nzito ya mjasiriamali wa teknolojia Isaya Yunge kuhusu changamoto wanazokutana nazo wabunifu wa Kiafrika katika zama mpya za Artificial Intelligence (AI). Amesisitiza kuwa AI ni fursa ya kizazi hiki – inaweza kuleta mageuzi katika uongozi, uchumi, usalama, na hata Universal...
  20. JamiiForums Tanzania Stanbic bank: Mkopo bila dhamana yoyote

    WAKUU kweli sisi ni NDUGU na tunaishi kama famila? Mbona hatuambiani madili kama haya. Inasemekana haitaji uwe na kiwanja au dhamana yoyote ni wewe na simu yako tu. Unavuta hadi milioni Tano, Na watu hata hamsemi imenisikitisha sana. Acheni roho mbaya tupeni utaratibu. Kwishaaaaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…