biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    TAL ni msindi kama ilivyonekana katika mistari mingi ya Biblia

    Sina la kuongea ila naomba msikilize nyimbo hizi kwa kutafakari https://youtu.be/svhRxk6J3Vo?si=K6_cTxNzUEWYrxAi https://youtu.be/SSEv7X-DBh8?si=j25N2QSMlmDdE8wV https://youtu.be/TcmH__P05zI?si=lzoYOXv4KJNTG9r1
  2. T

    Makonda asipotoshe umma, kwa mujibu wa biblia kiongozi wa dini hawapaswi kunyamazia maovu bila kujali kayatenda nani!.

    Namuona waziri wa michezo ndugu makonda amekomaa kutoa matamko eti Viongozi wa dini hawapaswi kuikosoa serikali bali kuiombea. Kama wana haki ya kuisifia lazima pia wawe na haki ya kuikemea inapofanya vibaya. Kuwa serikali haina maana kwamba mtapatia kila kitu na kukosolewa na kiongozi wa dini...
  3. Lycaon pictus

    Maneno magumu kutoka kwenye biblia.

    Hapa Mungu alikuwa amechoshwa sana na ujinga wa watu. Zekaria 11:9. ". . . . Atakayekufa na afe! Atakayeangamia na aangamie! Na wale watakaobaki na watafunane wao kwa wao.”
  4. Davidmmarista

    Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    Kila kona ya hiki kitabu ukikisoma vizuri utagundua kuna matatizo mengi mno ya kimantiki sasa sijui inatokea vipi mtu mdadisi, mwenye kufikiria kwa kina anakaa na kukubali tu kila neno lilipo binafsi naona ni kitabu ambacho kina stori tu na hamna kitu cha maana ukiangazia Dunia tuliyonayo Leo...
  5. Setfree

    Wajue wasomi hawa wenye IQ kubwa, wanaoamini kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

    Hawa ni wasomi/wanasayansi walio hai ambao wamekiri wazi imani yao katika Kristo: Francis S. Collins — PhD in Physical Chemistry; MD in Medicine Huyu aliongoza Human Genome Project. Human Genome Project (HGP) ulikuwa mradi mkubwa wa kimataifa wa kisayansi wa kuchora na kubaini mpangilio wa DNA...
  6. Yoda

    Kafara ya binadamu katika Biblia. Yeftha akimtoa binti yake sadaka ya kuteketezwa kwa mungu.

    Katika kitabu cha Waamuzi 11 kuna bwana mmoja alimtolea mungu nadhiri ahadi ya kwamba mungu akimsaidia akashinda vita dhidi ya maadui wake kiumbe chochote cha kitakachokuwa cha kwanza kuja kumpokea akiwa anatoka vitani atakitoa sadaka kwa moto wa kuteketezwa. Binti yake alikuwa wa kwanza...
  7. Yoda

    Biblia ya kweli ni ipi? Injili ya Wagnostiki ina nafasi gani kwenye Ukristo?

    Biblia ya kweli na sahihi kwa Wakristo ni ipi ? Je imakamilika au inaweza kuongezea vitabu vingine kadri vitakavyogunduliwa ? Kati ya biblia zifuatazo ipi sahihi 1. Ethiopian Orthodox-vitabu 81. 2.Eastern Orthodox-vitabu 76. 3. Catholic -vitabu 73. 4. Protestant -vitabu 66. Ipi nafasi ya...
  8. Ok9

    Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

    Kwanza tunaamin hiki kitabu kikiandikwa na MUNGU kupitia mkono wa binadam...na mara ya kwanza kilkuwa na vitabu vingi... lkn zinazochapwa kwa sasa zimenyimwa baadh ya vitabu... na wala sisikii vikitumika ktk mafundisho.... mf SIRA...BARUKU..SUSANA...BELI NA JOKA..WAMAKABAYO.. JE hii n kwan...
  9. Dennis Robert Shughuru

    Namna neno la Mungu kutoka kwenye Biblia linavyoweza kukupa MAARIFA kwenye maisha yako

    Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist 𝑺𝑰𝑵𝑨 𝑲𝑨𝑵𝑰𝑺𝑨 𝑯𝑼𝑫𝑼𝑴𝑨 𝒀𝑨𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑰 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬👉🏿 𝑵𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑬 𝑵𝑬𝑵𝑶 𝑳𝑨 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑻𝑼 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬 𝑳𝑰𝑾𝑬𝒁𝑬 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑷𝑨 𝑵𝑮𝑼𝑽𝑼 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑬𝑵𝑫𝑬𝑳𝑬𝑨 𝑲𝑼𝑷𝑨𝑴𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑾𝑬𝑵𝒀𝑬 𝑴𝑨𝑰𝑺𝑯𝑨, 𝑴𝑩𝑰𝑵𝑼 𝒁𝑨 𝑲𝑰𝑭𝑰𝑲𝑹𝑨 (𝑴𝑨𝑨𝑹𝑰𝑭𝑨) 𝑵𝑨 𝑴𝑰𝑼𝑱𝑰𝒁𝑨 𝙒𝙖𝙚𝙗𝙧𝙖𝙣𝙞𝙖 4:12 𝑀𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑁𝑒𝑛𝑜 𝑙𝑎 𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑙𝑖 ℎ𝑎𝑖, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑛𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢...
  10. Yoda

    Kwa nini mji wa Babeli ulipewa sifa mbaya sana na waandishi wa Biblia?

    Tatizo la Babeli lilikuwa nini hasa hadi ukaandikwa kwenye maandiko ya Biblia kuwa ni mji wa mfano wa machukizo na uasi mpaka leo hii waamini wa Biblia wanaamini hivyo? Je hazikuwa bifu tu za kijamii kati ya WaIsrael na Wababeli waliowachukua utumwani ndio ikatengenezwa historia hii na...
  11. Yoda

    Kwa nini Biblia ya Kingereza ilitengeneza majina ya Kizungu kama Jesus, John, Luke, Mark na Mathews ?

    Lengo la wazungu lilikuwa nini hasa walipoyabadili majina ya mashariki ya kati kuyafanya ya Kizungu mfano Jesus, John, Mathew, Luke au Mark ? Kwa nini pia majina ya Biblia yakipelekwa kwenye lugha nyingine kama Kiswahili yanabadilishwa mfano kuwa Yesu, Mathayo, Luka, Marko au Yohana?
  12. J

    Biblia inavyosema kuhusu kiburi

    Biblia inavyosema kuhusu kiburi Kiburi siyo dhambi unayofanya kwa njia sawa na kuiba au kusema uwongo. Ni mtazamo wa moyo na njia ya kufikiria. Huwezi kuona upepo, lakini unaweza kuona athari za upepo, na ni sawa na kiburi. Huwezi kuona kiburi, lakini unaweza kuona matokeo yake. Kimsingi...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Mbinu 7 makini za kulea mtoto mazingira ya mjini

    MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa tamaduni, mitazamo, teknolojia, mitandao ya kijamii na makundi mbalimbali ya watu.Hii Tofauti na zamani...
  14. Infropreneur

    Logical contradictions zilizopo kwenye kitabu cha Mwanzo cha Biblia ambazo ni uthibitisho tosha kwamba, Biblia ni hadithi na hekaya za kutungwa tu!

    Biblia imejaa utata wa kimantiki (logical contradictions) nyingi sana kitu ambacho unaona wazi hizi ni hadithi zilizotungwa na watu tu, kufurahisha na kuburudisha watu tu. Biblia SIO NENO LA MUNGU! Bali ni hadithi kama zilivyo hadithi zingine za Mfalme Juha, Abunuwasi, Alfu Lela Ulela, Esopo...
  15. Ibilisi Mjalaana

    Unajiitaje msomi halafu unaamani biblia? Sidhani kama kuna Mwanasayansi aliiamini

    NB: Tanzania hakuna wasomi 1. Paulo: "Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu" 1 Wakorintho 15:3 "Maana nilikwisha kuwapa, kwanza kabisa, yale niliyopokea pia; ya kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama ilivyokuwa katika maandiko." 2. Yesu: "Mtafa kwa dhambi zenu wenyewe" Yohana...
  16. livingroom_espionage

    Je, Biblia ilitabiri ujio wa AI ?

    Wakuu salama. Mimi ni mkristo mzuri tu na imani yangu ipo kwa Mungu dhidi ya hizi dhana nyingine katika uumbaji wa Ulimwengu. Tunajua kwamba Biblia ndio msingi wa imani ya kikristo na pia ndio kitabu inasemekana kimeficha kwa mafumbo mambo mengi sana. Na pia sisi wakristo tunashauriwa...
  17. Binadamu Mtakatifu

    Soma Tenzi za rohoni, Nyimbo za wokovu na biblia kwenye website au pakua app ya Wakristo yenye kila kitu Offline

    Habari nilileta ile uzi wa kwanza lakini sababu nimeshindws kiedit heading sasa nimetengeneza mwingine modes nisaidieni kuufuta ule wa kwanza Nimetengeneza app kwa ajili ya android, ios na web Ambapo mtu anaweza kusoma tenzi za rohoni, nyimbo za wokovu na biblia (kote) akiwa na app anaweza...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je ni sahihi fungu la kumi kununulia divai/ kileo kama Biblia ilivyoagiza?

    Katika Sheria ya Musa kwenye Biblia (Kumbukumbu la Torati 14:26), Waisraeli waliambiwa kutumia fedha za fungu lao la kumi kununua chochote kilichotamaniwa na roho zao, kutia ndani ng'ombe, kondoo, divai, au kileo, ili wakule na kufurahi mbele za Bwana Kumbukumbu la Torati 14:22 [22]Usiache...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini muujiza wa kwanza wa Yesu ulikuwa kubadilisha maji kuwa divai na sio kutengeneza Biblia?

    Kama pombe ni mbaya kwanini Yesu aliitengeneza kwanza na hakutengeneza Biblia? Nawakaribisha wana zuoni mliokomaa katika mjadala huu.
  20. H

    Kama biblia na quruan ni vitabu vya Mungu vilivyoshushwa je Mungu ndiye aliyefanya hayo marekebisho?

    Tujitafari, Biblia na quruan kwa akili ya kawaida ya Waafrika wengi waliofirisika kifikira wanaamini ni vitabu vya Mungu hadi kudai vimeshushwa na Mungu duniani. Sasa kama ni Mungu aliyeviandaa kwanini nyie watu wa duniani mnavichapisha upya katika matoleo mbalimbali hapa duniani badala Mungu...
Back
Top Bottom