biashara

  1. JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanya biashara ni wa kipuuzi kuwahi kutokea! Wao inawahusu nini mlaji akipandishiwa bei bidhaa? Wao ni wapeleka kodi tu anayelipa ni mlaji

    Naweza kusema kwamba, tunahatua kubwa sana kujifunza kutoka kwa majirani zetu Kenya! Kodi na ama ongezeko lolote la kikodi litokanazo na bidhaa, humlenga moja kwa moja mlaji na siyo mfanya biashara! Kwa upande mwingine, maandamano ya majirani zetu, ni sahihi na siyo haya ya wafanyabiashara wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Biashara

    Tanzania tumekuwa tukipata wakati mgumu namna ya kuimarisha uchumi wa taifa ambo ndio dira ya Taifa kwa jamii nzima Katika kukua kwa uchumi na kuachana na umasikini; Naitwa Raphael Edson mkazi wa mafinga iringa Tanzania tumekuwa tukifanya maendeleo ya macho na si mwendo kwa muda mrefu kwasababu...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wa Kariakoo wasipeleke maumivu kwa mtumiaji wa mwisho(mlaji)?

    Nipo napitia pitia vitabu vya biashara naona kama wafanya biashara wa Kariakoo wako against na sheria za Biashara hii ni maajabu kidogo. Kwa sababu kikawaida kama kodi iko juu anaye takiwa kulia ni mnunuaji wa mwisho yeye ndie anapaswa kulia na hata kuingia Barabarani. Sasa hii ya Kariakoo ni...
  4. JamiiForums Tanzania Kodi kubwa kwa umaskini na kuumiza biashara

    High tax rates hinder poor countries from growing their economies. The tax rates from sales tax to income tax are too high for our region where businesses need more and more capital to grow and reinvest and create employment but instead the government’s strategy of imposing higher taxes is...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji nitafute mimi, biashara nianzishe mimi, wewe uamke uje kunitishia , eti ni serikali, dunia ni kubwa sio lazima kukaa kariakoo

    Maneno ya rafiki yangu mkinga . Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu. Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Enzi za Hayati Magufuli Wafanyabiashara wasingejaribu kugoma. Imekuwaje leo?

    Enzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii! Maweee! Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta. Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi. Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Migomo Kariakoo: Serikali kuendelea kulea utamaduni wa kulinda wahalifu utakutokea puani

    Ni mara ya 2 wanaoitwa wafanyabiashara wa Kariakoo kugoma ndani ya muda mfupi. Baada ya ule mgomo wao wa kwanza tukaanza kuona migomo Iringa, Mwanza na maeneo mengine. Migomo yote ni wafanyabiashara kukataa maelekezo halali ya serikali ikiwa pamoja na kutotaka mfumo wa wazi unaobana wizi na...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuinua Biashara na Uwekezaji kwa Mustakabali Endelevu

    Utangulizi: Tanzania inakabiliwa na fursa kubwa ya kuboresha biashara na uwekezaji, hususan katika sekta za madini na miundombinu. Makampuni makubwa ya kimataifa kama vile Rio Tinto, BHP, na Vale yameonyesha nia kubwa katika sekta ya madini, huku miradi mikubwa kama Reli ya Kisasa (SGR) ikipata...
  9. JamiiForums Tanzania Chalamila awasili Kariakoo awaambia Wafanyabiashara “Fungueni maduka, Biashara sio Siasa”

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika soko la Kariakoo kutokana na Biashara kufungwa kuanzia leo Juni 24, 2024 na kuongea na wafanyabiashara. Chalamila amesema wafanyabiashara wako wa aina kadhaa ikiwemo walioshiba, kati na wachanga na iwapo wataigana kuna watakaojuta leo...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mapasheni

    Habari wana JF, Mimi ni mkazi wa Kisarawe Pwani. Natafuta soko la mapasheni ninayo mengi, kama yupo mtu tayari naomba tuwasiliane kwa namba 0620593183.
  11. JamiiForums Tanzania MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

    Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa. Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha...
  12. JamiiForums Tanzania Ni Nani anayumbisha Serikali, Nani alitoa go ya kumtukana mama, Nani anayetaka Bashe aanguke, Nani anataka biashara K koo isimame?Nani?

    Wakuu salaam! Naweza kupingana na mama sehemu nyingi ila kuna mambo ya kimaslahi kitaifa siwezi kupinga. Mama ana mapungufu yake ila??? Ila?? Nani anayetaka wafanyabiashara Kariakoo wagome na kwanini? Ni Nani huyo anayetaka kunyonga koo la uchumi wa nchi na kwanini? Wasukuma bwana! Hawajawahi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je leseni za biashara nchi nzima kukatwa toka wizarani?

    Nimewahi kumuona Mhe. Waziri wa Viwanda na Biashara akielezea utaratibu wa kupata leseni za biashara kwa mwaka 2024/25. Je leseni zitakatwa toka Wizarani au kuna utaratibu utakaotangazwa na Wizara?.
  14. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wafanyabiashara wa Kariakoo wajitafakari, migomo siyo suluhisho

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametoa tamko la kuwataka Wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Dar es salaam kujiepusha na migomo na kila mmoja kujitafakari, hii ni baada ya kusambaa kwa taarifa jana kuhusu Wafanyabiashara wa Dar es Salaam na Mikoa mingine kupanga kugoma. Akiongea...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Biashara endelevu: Nini nini mtumizi na tofauti kati ya Kampuni, Entreprises, Investiment, groups na Limited (Ltd)

    Ni nini tofauti kati ya Majina haya yanapotumika katika baiashara mbalimbali: Kampuni, Entreprises, Investiment, groups, Limited (Ltd) Nini Faida yake katika biashara Utaratibu wake wa usajili Utaratibu wake wa kikodi katika biashara Changamoto zake katika biashara
  16. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo. Kuendeleza uchumi wetu na biashara kama jinsi mama Rais

    Mimi mtazamo wangu, Tanzania tuitakayo kuweza kuifikia: 1. Kufanya Kazi Kwa bidii shambani na viwandani. 2. Kuwatafutia wakulima masoko ya nje ILI kuweza kuuza bidhaa zao. 3. Kusimamia vzr mapato ya serikali 4. Kukomesha rushwa kila kwenye mianya rushwa. 5. Kila mmoja awe mbunifu kutafuta njia...
  17. JamiiForums Tanzania TRA kuvunja rekodi dhidi vifo vya biashara na viwanda,tujitafakari na kujirekebisha

    Wafanyabiashara na wenye viwanda wanapaswa kulipa kodi stahili kwa uhai wa Taifa letu. Kodi zinazolipwa zinapaswa kutumika vema,Kulindwa na kusimamiwa vema na si kufujwa. Mchakato wa kukusanya kodi stahili unapaswa kufanyika kwa kuzingatia uhalisia wa kibiashara na kulinda mazingira bora ya...
  18. T

    JamiiForums Tanzania "Ni Tanzania tu utasikia biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi" Yerico Nyerere

    "Unaweza usiamini kwamba ni Tanzania tu inatokea kwa mara ya kwanza duniani, kwamba biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi. Yes amini Mwendokasi inakufa huku ongezeko la wateja ni kubwa sana na haina mpinzani ni wao tu Dar nzima. Hivi sisi ni akina nani? sisi ni MANYANI" Anasema Yerico...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kwa kina kuhusu biashara ya juice

    Habari Wiki ilioisha niliona mdau kaelezea kuhusu biashara ya juice sikumuelewa vizuri. Kama kuna MTU anaijua vizuri ajaribu kushare lolote na Mimi nataka kuijua changamoto yake, mahali unayoweza kuifanyia ani iwe na factors zip za muhimu pia faida ake
  20. JamiiForums Tanzania Kuna nchi nyingine inajenga Majengo ya Biashara ya Kibalozi ukitoa Tanazania?

    Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea. Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi zao?; Uwezo wanao ila hawafanyi hivyo kwa sababu sio malengo yao. Malengo yao ni kusaidia Raia wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…