biashara

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara Morogoro mjini

    Wanajukwaa habari za Asubuhi, Nina mtaji wa 3M nimehamia hivi karibuni Morogoro mjini hivyo nafikiria kuanzisha biashara. Sababu ya ugeni nimeona nisiwe na haraka kwanza bali niombe ushauri kwenu ni wazo gani la biashara naweza kuanzisha kwa hapa Moro kwa Mtaji huu? Wale Wa negative comments...
  2. L

    JamiiForums Tanzania CPA wa mchongo umeshindwa kweli kushauri Simba iwe na banda lake pale maonyesho ya Saba Saba ili mfanye biashara?

    Hili wazo najua Yanga wataiba mwakani, Simba nawashauri ingawa mnaniudh sana kwa kukosa ubunifu, anzisheni banda lenu pale sabasaba mwakani mtapiga hela sana, mtauza CD za mechi za zamani mlizowapiga yanga, mtauza jezi, soksi, fulana. Mtaweka makombe mashabiki wapige picha, wapelekeni wachezaji...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu Zaidi Kuhusu Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja JUNI 2024

    Land flipping (kununua na kuuza ardhi)ni mchakato wa kununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukiuza kwa bei ya juu baada ya muda mfupi ili kupata faida. Hii inaweza kufanyika kwa kuboresha ardhi kwa njia fulani. Njia za kuendeleza ardhi ni kama vile: ✓ Kuendeleza miundombinu, ✓ Kuomba...
  4. JamiiForums Tanzania Ipi tofauti ya kiwanja cha makazi na biashara na makazi pekee?

    Kwenye kumilikishwa viwanja kuna hati za aina mbili: 1. Makazi pekee. 2. Makazi na biashara. Na hata umilikishwaji wake una gharama tofauti cha biashara na makazi kina gharama zaidi per squre meter je? Tofauti ni ipi na faida ni zipi?
  5. JamiiForums Tanzania Uzinzi na biashara

    Naomba kuuliza eti pesa au biashara haviendani na uzinzi au kujaamiana na watu flani flani au kujamiiana na mtu flani specifically Je ni kweli pesa huwa inakimbia ukianza kufanya uzinzi Au ukiwa na mahusiano na watu flani flani? Binafsi nina ushuhuda Ukiwa msafi namaanisha haujamiiani mauzo na...
  6. 0

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wa mtandaoni bongo, mna shida sana

    Hivi ni nini huwasumbua hawa wafanyabiashara wa bongo ambao pia wanajihusisha na kutuma mizigo kwa wateja wa mikoani? Kabla hujawatumia hela wanakuwa na customer care nzuri saana. Wanajibu message kwa wakati, wanazielezea bidhaa zao vizuri hadi mteja unaridhika na kujisemea moyoni, hivi ndivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Banda la biashara Moshi Linahitajika

    Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta Banda la kununua Moshi mjini..Banda la bati linalohamishaika.....Mwenye nalo anicheki hata inbox
  8. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Biashara ya simu kwa mtaji mdogo

    Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi. Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia. Call or WhatsApp +255713861567
  9. JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma bora za graphic design kwa bei nafuu

    Je, unahitaji huduma bora za Graphic Design? Kama jawabu ni ndio! Basi hii ni sehemu sahihi ya kutatua haja yako. Tunatoa huduma bora za graphic design kwa bei nafuu: 🔹 Huduma ya Logo design zenye kuvutia na za kipekee. 🔹 Huduma ya business Card design. 🔹 Huduma ya Flyer 🔹 Huduma ya poster...
  10. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe Suala la Usajili wa Chama ni sehemu ya biashara yetu

    Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua wengi wanatamani kujua Chama ataonekanaje na jezi ya Yanga. Hapo ndipo tunalenga kuuza usajili huu"...
  11. JamiiForums Tanzania Unajilipa bei gani kwenye biashara yako?

    Wakuu habari Kwa wale mnaofanya biashara zenu wenyewe ambao hamtegemei mshahara kutoka kwenye ajira za Serikali au private company.. Haya naomba mtuambie hapa, wewe na hiyo biashara yako unajilipa mshahara bei gani Kwa mwezi? Na unafanya biashara gani? Tuambie Gross salary na net net salary...
  12. P

    JamiiForums Tanzania MKIAMBIWA SIASA NI BIASHARA MUWE MNAELEWA: MSIGWA HUYOOO CCM

    Siasa ni biashara nzuri sana. Binafsi naipenda. Msigwa baada ya kuona ugumu wa kufanya biashara CHADEMA ameamua kutimkia CCM. Nadhani wananchi maskini na wanyonge mna la kujifunza hapo.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya Studio za kuuza movie na game stations

    Habari zenu wadau? Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku. Mimi ni kijana mtafutaji. Tafadhali naomba ushauri kwa wale wenye ujuzi kuhusiana na suala la Studio za kuuza movie na game stations. Je ikiwa nina mtaji wa milion 3 itatosha kufungua ofisi ya kurusha movie na...
  14. JamiiForums Tanzania WAFANYA BIASHARA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA KUTOKA KENYA, KUTIMKIA TANZANIA KUKWEPA ATHARI ZA MAANDAMADO YASIYOKOMA KENYA.

    wanajipanga na kukusudia kuhamishia mitaji yao nchi jirani Africa Mashariki zenye amani ikiwa ni pamoja na Tanzania, kukwepa uharibifu wa uwekezaji woa huko kenya ambao baadhi yao kwa kiasi tayari wameathirika, kutokana na kukosekana usalama wa kutosha... Je, hii ni fursa muafaka ya kiuchumi na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania hii ni moja ya biashara yenye faida ndogo mno

    .
  16. JamiiForums Tanzania Leo nimefunga biashara yangu

    Wakuu wiki iliyopita nilienda TRA kufunga biashara yangu baada ya kuona makadirio niliyoandikiwa ni makubwa mno na hayaendani na biashara. Mwanzo Nilienda huko TRA kuomba kupunguziwa kodi tawi lao la chanika ilala. Kama kawaida wakamtuma afisa wao aje akague biashara yangu ili aone biashara hii...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali huwa haina bank yake ya biashara? Kuna logic gani serikali kutokuwa na bank hiyo ili kupungunza riba?

    The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo? Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
  18. L

    JamiiForums Tanzania Niwekeze kwenye kufuga nguruwe au nifanye biashara ya duka?

    Habari wana JF husika na mada tajwa hapo juu' Mimi ni kijana wa miaka 23 baada ya kupambana na vibarua nimejikusanya mpaka nimepata milioni 7 ambapo nilitoa milioni tatu nikanunua kiwanja milioni moja nikaweka dharura ya kiafya pamoja na kodi za nyumba wakati mapambano yanaendelea hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza jina la biashara kwenye TIN number

    Habari wakuu, Nimeenda Voda shop kusajili LIPA number yenye jina la biashara nikiwa na leseni yenye jina la biashara na TIN yangu ya biashara. Nikaelezwa ili nisajili LIPA namba ya namna hiyo inatakiwa nipate TIN number yenye jina la Biashara. Je kuna mwenye uzoefu aliyewahi kuongezea jina la...
  20. JamiiForums Tanzania Ujumbe Wangu kwa Rais Samia siku ya Leo kuhusu Wafanya Biashara

    Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam! Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi. Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili swala la wafanya biashara ujitokeze mwenyewe na iwe baada ya kupata ushauri wa kina. Kwa sasa ubebaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…