biashara

  1. G

    JamiiForums Tanzania Side hustle: natengeneza laki 1+ kila wiki kwa kuwauzia electronics ndogo watu wa vijijini na mikoa ya karibu, nawe unaweza

    Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive. Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu...
  2. JamiiForums Tanzania Siasa ni biashara kama ilivyo biashara zingine

    Kwa Afrika siasa ni biashara kama biashara zingine. Akili kichwani kwenu watumiwa/watumika. Binafsi nilinufaishwa na CCM kwa mambo yangu kwa upande wangu na ndiyo maana naendelea kusema ASANTE CCM.
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya barafu

    Soko limekaa vipi kwa jiji la Dar? Mabonge ya barafu kwa wauza maji wauza samaki n.k. Kuna jamaa anataka kufunga machine za kufyatulia barafu.
  4. JamiiForums Tanzania Biashara ya duka na vitimbwi vya taasisi

    Ni tarehe 12 mwezi wa nane, Je una duka la vifaa vya ujenzi? Ulishawahi kukopwa mzigo mkubwa na mtu,kikundi cha watu,au taasisi? Vipi ulilipwa kwa wakati? Na wakati unadai pesa yako,ilikuwaje? Natamani hata nifunge duka nibadilishe biashara maana nimechoka kudai, Halafu sipewi majibu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Je, milioni nane inaweza tosha kufungua grocery kwa Dar es salaam?

    Habari? Naomba kupata muongozo. Je, milioni nane inaweza tosha kufungua grocery kwa Dar es salaam? (Pombe+soda+maji)
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini biashara za mtu mweusi akifa mwanzilishi na biashara hufa

    Habari zenu wana jamvi, hivi ni kwa nini biashara za bongo hasa hasa zinazomilikiwa na watz weusi huwa haivuki kizazi zaidi ya kimoja? Yaani unakuta anapokufa muanzishaji wa ile biashara basi umaskini unapiga hodi kwenye hiyo nyumba ,,kwa ni hatuwezi kurithisha biashara kutoka kizazi kimoja...
  7. JamiiForums Tanzania Prediction: In The Near Future All Tanzanian Billionaires Will Be Vendors of Junky Chinese Bevarages and Snacks

    Tanzanian billionaires, like those in many developing countries, often invest in industries like beverages due to several key factors: 1. Established Market Demand: The beverage industry, especially for affordable and mass-market products, has a consistent and growing demand. The consumer base...
  8. B

    JamiiForums Tanzania MATI Super Brands yadhamini maonesho ya Tanzanite Manyara Trade fair 2024

    Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi kupitia kinywaji chake pendwa cha Tanzanite Premium Vodka imedhamini Maonesho ya 3 ya Biashara, Viwanda, Madini na Kilimo ya Tanzanite Premium Vodka yatakayofanyika katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Stedium Octoba 20-30...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya kibiashara ya Marekani yawezesha uwazi na biashara kati ya China na kanda ya magharibi

    Biashara ya nje ya China imeendelea kukua licha ya vitendo vya nchi za Magharibi vya kujilinda kibiashara, hususan vita ya kibiashara ya China iliyoanzishwa na Marekani. Kuna mambo kadhaa ambayo yamechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa biashara hiyo. Chini ya shinikizo la Marekani na baadhi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Benki ya biashara tanzania (TCB) yaendelea kuchochea maendeleo ya kiuchumi kwa kutoa ushirikiano katika miradi ya miundombinu

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Akihutubia katika uzinduzi huo jijini Dodoma, Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliuelezea mradi huo kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya Hardware kwa Mtaji wa Milioni kumi (10m)

    Habari wanajukwaa, Tukiwa kwenye sherehe za wakulima leo tarehe 08/08/2024 nimepata wazo la kuanza biashara ya hardware kwa mtaji mdogo wa milioni 10, hapa nimelenga kugusa karibu kila sector katika ujenzi kwa kuanza na hivi vifaa 👇🏻 Electrical items Insulation tape Bulb enery savers...
  12. JamiiForums Tanzania Biashara ya Makeup inahitaji vitu gani vya Msingi?

    Wakuu naombeni ushauri mzuri wa kufanya hii Biashara nataka kufungua sasa. 1. Wapi ntapata makeup set nzuri kwa gharama nafuu. 2. Vitu gani niweke ili kunogesha Biashara yangu? Mimi ndo kwanza naingia sokoni kuanza hiyo Biashara.
  13. JamiiForums Tanzania Yanga biashara wanaijua kama ilivyo mpira

    Ukiangalia Simba day na Yanga day Kwa umakini sana. Utagundua Yanga day watu wengi sana walivaa Jezi mpya kuliko Simba day, hii inamanisha Yanga Msimu huu wamepiga Vibaya mnoo kwenye Soko la Mauzo ya Jezi, (biashara ya jezi ime booom) faida kubwa Bila Unafiki tunatakiwa kuwapa pongezi Sheria...
  14. JamiiForums Tanzania PBZ Bank mbona biashara imewashinda mapema mno?

    Binafsi baada ya kuona mnajinadi nikajua mkombozi amepatikana dah! Kumbe zilikuwa mbwembwe tu, Sasa yapata mwezi na kitu baada ya kufanya mchakato wa kuwakopa na nilikamilisha vigezo vyoote na wakaniambia ndani ya masaa 48 mzigo utakuwa umeiva. Hayo masaa 48, imefika mwezi na ushee Sasa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania FCC yataka Wajasiriamali na Wafanyabiashara kufungasha bidhaa zao kwa ubora

    Mkurugenzi Mkuu wa FCC William Erio akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Wakulima,Wafugaji pamoja na Wavuvi kutumia Pembejeo zenye wakati alipotembelea Mabanda mbalimbali kwenye Maonesho ya Kilimo Kitaifa Nane Nane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma. Mkurugenzi...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi hali imekuwa ngumu kwangu tu kwenye biashara ama ni pote

    Hivi Wadau haka kaupepo kwenye biashara ni mimi tu ama na kwa Wengine, Hali imekuwa ngumu sana wateja hawaonekani. Mwezi huu tangu uanze hali imekuwa tofauti sana kupita Maelezo, wateja wanaulizia tu hawanunui, Share na mimi mawazo yako.
  17. JamiiForums Tanzania Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja

    Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo na wa Kati. Bi. Mtali ana uzoefu wa miaka 26 katika sekta ya huduma ya kifedha akibobea katika usimamizi na uongozi wa huduma za biashara za wateja wateja wadogo, wa kati na wakubwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji aliyoyaweka Rais Samia kuna haja kweli ya kuajiriwa?

    Nashangaa vijana wengi bado wanatembeza bahasha mtaani kitafuta ajira ambazo ki ukweli ni utumwa. Kwa nini msifikirie kutumia hii golden chance ya uwepo wa mama madarakani kujitafutia vya kwenu. Mama ameweka mazingira mazuri kiasi ambacho biashara zimeshamili kila kona. Hata muuza karanga tu...
  19. JamiiForums Tanzania Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

    Haya kama mlivyosoma ni kweli Hakuna biashara ina hela kama mapapai Na hakuna biashara rahisi kama papai Papai moja shamba linauzwa tsh 1500 moja Mtaani wanauza tsh 3000 moja Kilimo chake rahisi sana ila usilime wakati wa mvua, papai inataka maji kidogo tu kwa siku Mbolea sio sana mche wa...
  20. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya 5G Tanzania: Jinsi Teknolojia Hii Inavyobadilisha Mawasiliano, Afya, na Biashara

    5G Technology: Teknolojia ya 5G ni kizazi cha tano cha teknolojia ya mawasiliano ya simu, ikiahidi kuleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya simu na huduma za data. Kabla ya 5G, teknolojia za 3G na 4G zilikuwa zimeleta maendeleo makubwa, lakini 5G inatoa uwezo wa juu zaidi kwa kasi, uwezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…