biashara

  1. JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Awali ya yote Napenda Kushukuru na Kupongeza Jukwaa kwa Mawazo Elekezi. Naomba nielimishwe/nijulishwe juu ya Biashara ya Stationaries kwa ujumla, (Uuzaji wa Tonner, Karatasi, madaftari, peni, Office equipments, Photocopies) nakadhalika. Natamani kusikia kwa mtu anaefanya hii biashara, Mzigo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya kuagiza magari nje ya inchi

    Kama ujumbe unavyojieleza natafuta mtu mwenye wazo la biashara ya kuagiza magari mtandaon
  3. JamiiForums Tanzania Benki ya biashara Tanzania (TCB) kushirikiana na Serikali kupanua biashara nje ya nchi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Arusha, Agosti 30, 2024 - Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kupanua wigo wa uwekezaji nje ya mipaka ya nchi. Hayo yameelezwa wakati wa kikao kazi cha siku tatu kinachohitimishwa hivi leo jijini Arusha. Kikao hicho...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa kijana anayejitafuta kwa sasa ni bora ufugaji kuliko kilimo au biashara

    1. Biashara zimeandamwa na makodi ya mamlaka na fremu ilihali uwezo wa ununuaji umepungua 2. Kilimo kinaathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi na bei kuyumba 3. Mazao ya mifugo hutoa mbolea, nguvu kazi, chakula na bei yake haishuki daima hupanda mfano kuku bei ya 15000-20000 imedumu kwa miaka...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nipo Dar, biashara ipi inalipa kati ya kukaanga miguu ya kuku na kukaanga mihogo?

    Wakuu nimemaliza chuo mwaka huu hata joho bado sijavaaa yaani Sitaki kuwa kama graduates wengine kuendekeza aibu au kuwa na yale mawazo ya watu watanionaje hapana. Yaani bila kupoteza muda hapa Nnina wazo la biashara mbili. Biashara ya kwanza nataka nianze kukaanga mihogo. Nyingine nataka...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na Dar, kati ya biashara ya daladala na gari za kukodisha (special hire), ipi inafaa kwa anayeanza na kwa nini?

    Pia kipi bora kati kununua gari/Coaster mpya au used?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako. Wizi ni miongoni mwa vitu vyenye kurudisha sana nyuma Biashara zetu. Kuweza kudhibiti wizi kwenye Biashara sio kazi nyepesi kabisa. Lakini unatakiwa kupambana sana mpaka ukae sawa kwenye Biashara yako. La sivyo wewe utateseka kisha wafanyakazi wako...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kizuri kwa biashara kinauzwa wilaya ya Kigamboni,Dar es Salaam.

    Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi, kiwanda cha saruji(sementi), mahoteli, fukwe,vituo vya mafuta,viwanda vya matofali,n.k. Eneo lipo...
  9. JamiiForums Tanzania Flemu nyingi za biashara huku mitaani kwa asilimia kubwa zimejaa watu wa namna hii

    moja kwa moja... 1: Watu wanaofanya biashara kwa sababu hawana option nyingine ila wakiipata wanakimbia. 2: Ndugu za hao mabosi wamiliki wa hizo biashara. Ndugu mwema sio lazima awe mwema kwenye kusimamia mambo yako ya msingi. Ndugu hawa wengi hawana morali na hiyo kazi na wengine wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Napenda kufanya biashara muda wote ninashika pesa tofauti na kusubiri mshahara mwezi hadi mwezi

    Biashara yangu ndogo bado haijakua kiviile lakini vichange change mkononi haviishi hata kama ni vya rejesho la kila wiki lakini vipo mkononi. Vipi wewe mdau unaipendea nini biashara yako? Au kama ni muajiriwa unaipendea nini ajira yako?
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makampuni ya mikopo na matangazo yao ya biashara yanaingilia faragha zetu

    Kumekuwa na tabia ambayo imezidi kumea katika jamii yetu na nchi kwa ujumla kwa makampuni ya mikopo kutuma msg kwenye siku zetu wakitangaza huduma zao. Idara za masoko za makampuni ya kukopesha yamekua yakituma msg kwa wananchi kujitangaza ili kuoata wateja. Hofu yangu kubwa ni wapi wanapata...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ianze kutoza Kodi mapato ya makanisa maana imekuwa biashara sasa.

    Ukweli kwa sasa, dini hasa makanisa imekuwa kama chambo Cha kupiga fedha za watu, kibaya zaidi sasa hasa wanaojiita manabii wengine wanatoka hata nje kuja kupiga pesa kwa kulaghai raia na kujitwalia utajiri mkubwa na pesa nyingi ambazo hazilipiwi Kodi. Ni vyema tubadilike tuanze kufanya...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Viwanda vipya vingi vinakaribia kuanza uzalishaji, Serikali itoe ushirikiano na kuvilinda

    Kuna viwanda zaidi ya 3000 eneo la kisarawe two soon vitaanza uzalishaji, Vikindu kuna viwanda zaidi ya 1000 vikiwa katika hatua ya mwisho ya ujenzi, Kibaha kuna viwanda zaidi ya 500 vikiwa hatua ya mwisho ya ujenzi tayari kuanza uzalishaji. Niwakati sasa kwa serikali kuangalia labor force...
  14. JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao

    Wakuu habarini Nauza shamba la miti ya mbao ekari 4 lina jumla ya zaidi ya miti 2350 kwa bei ya kila mti 8,000 na midogo 6,000 kwaio jumla inakua 15milioni. Shamba lipo mafinga,Iringa.
  15. JamiiForums Tanzania Je, kumfungulia Biashara mkeo unaweza kuacha kutoa pesa ya matumizi nyumbani?

    Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata. Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya dagaa

    Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza nguo, uwakala, bajaji ipi inalipa?

    Wakubwa kwa mtu mwenye mtaji wa milion 10 biashara ipi ni ya uhakika Dar, 1. Uuzaji nguo, 2.uwakala(mpesa,tigo,banks), 3.usafirishaji abiria kwa bajaji
  18. W

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 10 nifanye biashara gani

    Habari wana jf Nina mtaji wa milioni 10 nifanye biashara gani ambayo inaingiza kipato kizuri kwa siku ambayo haitaniletea hasara?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kuanzisha biashara ya shule ya chekechea(daycare)

    Habari zenu ndugu zangu. Naombeni kwa anayefahamu chochote kuhusu biashara hii ya shule za watoto wadogo anipe muongozo japo kwa uchache kwa kuzangatia yafuatayo: 1. Utaratibu wa usajili wa kituo na kiasi cha pesa cha kusajili 2. Curriculum nzuri ya kutumia ambayo ni applicable 3. Faida na...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini biashara ya kitumwa ilichelewa kuharamishwa nchi za kiarabu na mpaka sasa inaendelea kimagendo ?

    Uingereza - 1833 Ufaransa - 1848 Marekani - 1865 Saudi Arabia na Yemen 1962, Oman 1970 Mauritania 1981 Hadi leo Biashara hizi zinaendelea kimagendo -Libya -Western Sahara Kwa nchi kama Saudi Arabia mpaka leo kuna unyanyasaji unaendelea kama kuporwa paspoti, vipigo, kubakwa, kulalishwa njaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…