biashara

  1. JamiiForums Tanzania Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako

    Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako: 👉Kwa wafanyabiashara wa Online 👉Freelancers 👉Service provider 👉Wanaouza products za afya 👉Wanaouza digital products 👉Wenye ofisi / kampuni Hizi ni njia za marketing zinazoleta matokeo kwa watu wengi Thread 👇👇 1. Target watu wengi kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu poleni na majukumu, nimekutana na hasara kwenye hii biashara yangu ya kuonyesha mpira

    Naombeni ushauri Tv zangu zote mbili zimepata changamoto kwa wakat mmoja Ni TV za Hisense 55inches zote!! Moja fundi anasema motherboard imekufa (hii muda wa warranty umeisha) Ya pili.. ni mpya hata mwaka haina...imepasuka kioo Nmejitokeza hapa kuomba ushauri wa namna ya kupata kioo kwaajili...
  3. JamiiForums Tanzania Karibu upate kuhifahamu Vizuri Biashara ya 'Car wash' Gharama za vifaa pamoja na faida kwa kila gari, ndogo, kubwa ,pikipiki na bajaji.

    Wakuu habari . Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari kufanya nae Kazi kwa makubaliano maalumu yenye tija kwa pande zote kwangu na kwake. Hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Wazo lako la biashara weka upate mwenye uzoefu na hiyo biashara

    Habari wana JamiiForums Karibuni tujadili mawazo ya biashara ambayo yaweze kukutanisha na watu ambao wanauzoefu na hiyo biashara kujadili kwa kina kama kupata uzoefu karibu tujadili
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mtindo huu wa ushindani wa biashara hatuwezi.

    Sasa kama ndio hivi mnafanya si mtashindwa na wachina biashara.
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread)

    Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread) Biashara nyingi zinashindwa kwa sababu mmiliki anafanya kila kitu mwenyewe. Huwezi kuwa CEO, marketer, mhasibu, na mfanyakazi kwa wakati mmoja. Unahitaji mfumo unaojiendesha hata ukiwa haupo. Siri ya biashara inayojiendesha ni...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wanakuja juu kwenye Biashara ila wanafeli Hapa

    Miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuja juu sana kwenye Biashara nimeshangaa mpaka ilala madada wanauza Autoparts ni jambo jema sababu wanatafuta namna ya kuchangia kwenye familia na kujiwezesha kiuchumi ila kuna changamoto zitafanya kamwe wanawake wasitoboe kwenye business tofauti na wanaume...
  8. JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KIUHASIBU NA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYA BIASHARA KWA MTINDO WA KUAGIZISHA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  9. JamiiForums Tanzania Changamoto za kiuhasibu na kodi kwa wafanyabiashara wanaofanya biashara kwa mtindo wa kuagizisha bidhaa kutoka nje ya nchi

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  10. JamiiForums Tanzania Muongozo biashara ya vyombo

    Salaam Wanajukwaa. Kama heading ijielezavyo, katika kuendelea na harakati, leo Wanajf nimekuja tena kuomba muongozo wa biashara ya vyombo kwa mwenye kuijua hata kwa uchache wake 1.Je kwa uchache at least mtaji uanzie kiasi gani. 2.Kama nitaanzia kwa mtaji mdogo bidhaa zipi sio za kukosa au za...
  11. JamiiForums Tanzania Shinyanga: mkuu Wa mkoa, mkuu Wa Wilaya na Viongozi Wa kata shinyanga mjini,Je mnataka kizazi Cha mabinti wote waingie kwenye biashara ya Ngono?!!

    Natangaza hali ya hatari Maana Viongozi Wa ngazi ya Mkoa, wilaya mpaka kata shinyanga mjini wamelala na wameamua kupuuzia suala la biashara ya Ngono inayoendelea shinyanga mjini mtaa wa JOMU. Pale kuna Dangulo Moja linalofahamika kama Maswa Guest lipo karibu kabisa na ofisi za Serikali ya mtaa...
  12. JamiiForums Tanzania Kila Mfanyabiashara aliye Makini na maono ya Biashara yake Anapaswa na ni Lazima kuwa na mambo haya

    Mfanyabiashara wa Tanzania anayechukulia biashara yake kwa umakini anapaswa kuwa na mambo yafuatayo: TIN Number (Taxpayer Identification Number) – Hii ni namba ya utambulisho wa mlipakodi kutoka TRA, inayomwezesha mfanyabiashara kulipa kodi rasmi. Leseni ya Biashara – Hutolewa na halmashauri...
  13. JamiiForums Tanzania Kama una matairi mabovu kabisa nanunua. Tupo dar mabibo mzambarauni karibu na chuo cha usafirishaji NIT. Piga namba hiyo tufanye biashara. 0715 494920

    Ndio, itakuwa na maana sana kama utakuwa nayo mengi, idadi yoyote nachukua. Yakuwa makubwa makubwa ndio hayahitaji zaidi.
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhia kufungwa shughuli za uvuvi Ziwa Tanganyika

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeridhia kupumzishwa kwa shughuli za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. Ziwa hilo linatarajiwa kufungwa kutokana na makubaliano ya nchi nne zinazotumia ziwa hilo huku baadhi ya wabunge wakionesha kutoridhika na hatua hiyo.
  15. JamiiForums Tanzania Biashara bora ya kuanzisha.?

    Biashara ipi ni nzuri na rahisi kuisimamia kati ya hizi. Bajaji ya abiria, cash point (uwakala), tofari za block, au stationary. Mazingira ya biashara ni mwanza.
  16. JamiiForums Tanzania Je, wajua umuhimu wa logo nzuri ya biashara?

    Wasiliana nasi leo Kwa WhatsApp no 0656965704 Tukusaidie kuipa Biashara Yako Maisha. Huduma Zetu ni: Logo design Poster design Flyers design Kadi za mialiko na Harusi Business card design Banners design Cv design Social media post template Karibu Tukuhudimie Leo..
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Ubunifu Bora ni Muhimu kwa Biashara Yako ! Wasiliana nasi leo GraphixPro Wakali wa Graphic designing Tanzania

    📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako? Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯 ✅ Unakutofautisha na washindani ✅ Inavutia wateja zaidi ✅ Inajenga uaminifu ✅ Inasaidia kuuza zaidi 🚀 GraphixPro tunakusaidia kuboresha chapa yako kwa ubunifu wa hali ya juu...
  18. JamiiForums Tanzania Sifa 10 za watu sahihi wa kushirikiana nao katika biashara ya ardhi na majengo hapa Tanzania

    Sifa 10 Za Watu Sahihi Wa Kushirikiana Nao Katika Biashara Ya Ardhi Na Majengo Hapa Tanzania Makundi Ubia katika biashara ya ardhi na majengo ni njia muhimu ya kushirikiana ili kufanikisha miradi mikubwa ambayo inaweza kuwa ngumu kuitekeleza peke yako. Kwa kushirikiana, wawekezaji huunganisha...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi!

    🔴 Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi! 🎯 Unauza huduma yako lakini hupati sales? 🎯 Unatangaza bidhaa zako, lakini hakuna anayenunua? 🎯 Unapost kila siku, watu wanaangalia tu lakini hawachukui hatua? 🎯 Unasema "We are open!"...
  20. JamiiForums Tanzania Yawezekana kuwaacha huru wachina wafungue biashara yoyote ni mkakati wa serikali kuwachangamsha wazawa

    -Nikiwa kongwa wilayani nilienda stationary moja iko hapo karibu na kwa DC. Nilichokutana nacho toka kwa mhudumu ina justify ngozi nyeusi ifundishwe business skills na wageni. Na sasa tuna hawa wachina. -mhudumu stationary unamuomba akupatie bahasha anakunja midomo. . Unamuomba aweke document...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…