biashara

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ndugu zetu wasabato wasahau kutoboa kwenye biashara, Wakati wateja wengi wako sokoni Jumamosi, wao wamepumzika

    Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao wengine huamia maduka mengine. Kuwafungia duka wateja Jumamosi ni kama kusema “hatuwahitaji”, Na...
  2. JamiiForums Tanzania Anza Biashara Hizi kwa Mtaji Mdogo wa Chini ya 20,000/=

    Kama una chini ya Tsh 20,000, bado unaweza kuanza biashara halali na yenye faida. Hapa kuna mifano ya biashara kumi unazoweza kuanza leo, zikiwa na ushauri wa hatua kwa hatua. 1. Biashara ya Mikate na Vitafunwa Je, unajua kuwa kwa kutumia unga, sukari, mafuta na jiko la nyumbani tu unaweza...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tukuletee vitabu mtalaa

    Tutume nasi tunakuletea kwa haraka... Kazi ya uhakika, weka order ufurahie huduma zetu... Maisha yanakuwa rahisi unapokuwa na Trumark Stationery & Books Just call us 0765 76 76 96
  4. JamiiForums Tanzania Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

    Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram . Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
  5. JamiiForums Tanzania Biashara ya bucha au saloon?

    Wakuu nina 1,000,000 kati ya kuongeza salon ya pili na kufungua bucha la nyama ipi inaweza nilipa? asanteni
  6. JamiiForums Tanzania Biashara ya mtaani na biashara ya sokoni ipi ni bora ?

    Hivi kufanya biashara mtaani na sokoni au sehemu ya senta yenye vibanda vingi ipi ndio sehemu nzuri zaidi? ?!!
  7. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima biashara imeisha hiyo, tumia muda huu kutafuta ujasiriamali mwingine

    Friends and our Enemies, Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo... Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima.. Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kibiashara, mliwezaje kupambana na changamoto ya mtaji kukata/ kuisha?

    Wakuu mambo vipi, Hivi kwa wale ambao mmefanikiwa kwenye biashara zenu, hiki kiunzi cha kupambana na changamoto ya mtaji kukata mlikiruka vipi ndugu zangu. Ni njia gani mlizitumia ili na sisi ambao bado tunahangaika kuruka hiki kiunzi tuzitumie Kuna muda unaona kabisa, nikifanikiwa kuvuka...
  9. JamiiForums Tanzania Leseni ya Biashara Kundi A, na Jinsi ya Kuipata

    Njia rahisi za Kuomba Leseni ya Biashara Tanzania Je, unataka kuendesha biashara halali Tanzania? Kupata leseni ya biashara ni hatua ya lazima na sasa mchakato ni rahisi kuliko unavyofikiri. Fuata hatua hizi: Tembelea tovuti rasmi: www.business.go.tz Bonyeza sehemu iliyoandikwa “Huduma” Chagua...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu nna biashara nauza

    Habari za jioni wakubwa?Wakubwa nna biashara nauza,biashara hizo ni pamoja na,. (1)Focusrite Scarlett 18i20,hii ni soundcard for Professional recording studio naitakia 1,700,000. (2)Scarlett solo,hii ni kwa home studio naitakia 350,000 (3)Garmin Heart Rate Monitor,hii ni mikanda ya kuvaa...
  11. JamiiForums Tanzania Tambua Biashara Yako Inahitaji Leseni Gani

    Leseni Kundi A ni Kwa Biashara Kubwa Hili ni kundi la biashara zenye mtaji mkubwa na athari pana kwa uchumi. Zinafanyiwa tathmini na taasisi ya kitaifa (BRELA) na huhitaji maandalizi ya kina. Mifano ya biashara katika kundi hili ni: Biashara za kuuza bidhaa nje ya nchi (exporters) 2. Huduma...
  12. JamiiForums Tanzania Jitahidi uwe na uwekezaji pembeni hata kama umeajiriwa, Haswa katika vitu vigeni kwa mtu wa kawaida

    Kama hukubahatika kuzaliwa katika familia tajiri basi karata yako iliobaki ni kuwekeza katika nyanja mpya za kibiashara, hata kama haina hesabu za faida kwa saahv ila wewe wekeza, kwa mfano kuna mtu anaweza akawa na nia ya kufanya biashara basi wekeza chochote kwenye hio biashara huezi kuja ya...
  13. JamiiForums Tanzania Anzisha biashara Yako sasa ya sausage 🌭🌭 za nguruwe (pork sausage)

    Kutengeneza sausage ya nguruwe nyumbani ni rahisi ukiwa na viungo sahihi. Hii hapa ni njia rahisi: Viungo: 1 kg ya nyama ya nguruwe (mafuta na nyama, iliyo sagwa) 1 kijiko cha chai chumvi 1 kijiko cha chai pilipili manga 1 kijiko cha chai paprika (hiari) 1 kijiko cha thyme au oregano (hiari)...
  14. JamiiForums Tanzania VIGEZO VYA KUPATA LESENI YA BIASHARA

    Nyaraka Muhimu za Kuambatisha Unapoomba leseni ya biashara, utatakiwa: Kuwasilisha TIN (Taxpayer Identification Number) kutoka TRA ili kuthibitisha kuwa umejiandikisha kama mlipa kodi. Kama ni kampuni, jumuisha cheti cha usajili wa kampuni. Onyesha mkataba wa pango kama biashara ipo eneo la...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri kati ya biashara ya hardware au pharmacy wholesale

    Habari wandugu Je kwa mtaji wa 50-65 ml ni biashara gani nzuri kufanya kati ya pharmacy na hardware. Natakuliza shukrani
  16. JamiiForums Tanzania Nauza asali mbichi

    Habari waungwana. Nauza asali mbichi kwa bei ya jumla, kutoka mkoa wa Tabora. Lita 1 ni elfu kumi 10k Lita 5 ni elfu hamsini 50k. Lita 20 ni laki mbili mzigo wako. Baki salama.
  17. B

    JamiiForums Tanzania "Mo Dewji na Simba: Mapenzi au Biashara?"

    Habari.... Utangulizi Mo Dewji ni mmoja wa wafanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika. Alipoamua kuwekeza kwenye Simba SC, wengi walijiuliza kama uamuzi wake ulikuwa kwa sababu ya mapenzi ya timu au ni sehemu ya biashara yake. Ukweli ni kwamba, uhusiano wake na Simba unachanganya mapenzi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Leseni ya Biashara ya Duka la fremu

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja Inatambulisha biashara yako kama halali. 2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika. 3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali. 4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
  19. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa hizi bidhaa mjitafakari

    Habari wanajamii Kuna utitiri wa maduka mengi sana hapa bongo, mbaya zaidi mengi ya haya maduka yanauza bidhaa nyingi ambazo hazina manufaa kwa taifa! Kinachoniumiza ni kuona kutokuwepo wa Ubinadamu kila nikilinganisha thamani ya kinachouzwa na uzuri wa duka. Hii kwa wale wanauza Pombe kali...
  20. JamiiForums Tanzania Umetoka Dar mpaka Bukoba kuja kunitafuta au kuna biashara zako

    Simu yangu inaita ilikuwa saa saba mchana wa leo,kwa kuwa nilikuwa kwenye kikao kazi kuhusu uchaguzi sikupokea simu,niliacha iite coz ilikuwa namba ngeni Baada ya kuita mara kadhaa sms ikaingia "Naitwa R ulinipaga namba jf kipindi umekuja Dar,nipo Bukoba mjini naomba tuonane" Nimejibu"Niko bize...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…