biashara

  1. JamiiForums Tanzania Nimeacha kazi: Nianzie wapi kwenye biashara?

    Habari zenu wana jamvi, Nimeacha ajira kwa hasira. Nimefanya maamuzi ya kipuuzi? sijui! Ngoja nianzie mbali kidogo kuwasimulia: Nilihitimu Shahada yangu ya Uhandisi mwaka jana na baada ya kukaa mtaani kwa miezi mitatu tu nilifanikiwa kupata ajira. Nilipata ajira kama fundi mchundo (Technician)...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kozi nzuri za biashara

    Wadau, Kwanza pole na kazi. Naombeni ushauri. Nataka nijiendeleze kimasomo kwa sasa nina Bachelor of Arts in Economics. Nichukue Masters ipi ambayo itaendana na kasi ya ajira kwa sasa? Nahisi kutaka kubadili kozi au kusoma diploma as an added advantage. Naomben ushauri.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Joseph Kasheku (Musukuma): Nitapeleka hoja binafsi bungeni kudai kila mkoa ununue ndege zake za kufanya biashara

    Mbunge wa Geita Vijijini mh Joseph aka Musukuma amesema atapeleka hoja binafsi Bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara. Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na...
  5. JamiiForums Tanzania Wakamatwa kwa kufanya biashara ya kubadili fedha bila leseni

    Polisi Mkoani Mbeya inawashikilia watu 14 kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya kubadilisha fedha za kigeni bila kuwa na leseni kutoka Benki Kuu (BoT) kwenye mpaka wa Tanzania na Malawi, Kasumulu Wilayani Kyela Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Eurich Matei, amesema watuhumiwa hao walikamatwa jana...
  6. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Vikwazo 12 vya kufanya biashara Tanzania

    LICHA ya serikali kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini, Ripoti ya Benki ya Dunia (WB) imetaja vikwazo 12 vya ufanyaji biashara nchini. Katika ripoti hiyo ya mwaka 2019/20 imeonyesha kuwa Tanzania imeboresha baadhi ya mambo kiasi ya kuifanya kushika nafasi ya 141 kati ya 190 mwaka huu...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya branding na marketing agency

    Wakuu napenda wenye kuijua hii biashara ya branding na marketing agency/promotions. Tupeane ujuzi maana ni biashara ninayotaka kuifanya maana makampuni mengi yana outsource marketing/ promotion ya bidhaa zao au uzinduzi wa chupa mpya na ukipata makampuni makubwa unavuta pesa ndefu. Tupeane...
  8. JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  9. JamiiForums Tanzania Kitabu: Biashara ndani ya ajira, toleo la pili, Oktoba 2019

    Rafiki yangu mpendwa, Mwezi Oktoba mwaka 2016 nilitoa toleo la kwanza la kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA. Kitabu ambacho kilikuwa na maarifa na mwongozo sahihi kwa yeyote anayetaka kuingia kwenye biashara lakini kazi inakuwa kikwazo kwao. Nilitoa kitabu hiki baada ya kujifunza kwa wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Pesa binafsi, usimamizi wa pesa, biashara na utajiri

    Nimesoma hii makala sehemu moja huko kwenye intaneti nikasema sio mbaya kama nikiitafsiri ili iweze kueleweka kwa wote, pia nimebadilisha baadhi ya mifano kuendana na mazingira yetu, maana imenigusa kwa namna fulani. Nimeambatanisha PDF ya nakala zote mbili ya kiingereza na kiswahili...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara Hizi ukianzisha utafanikiwa haraka

    moja kwa moja kwenye point........... 1 BIASHARA YA DAWA YA NGUVU ZA KIUME hii biashara utaiuza sehemu yoyote ile haiitaji ufanye uatafiti au ukanunue dawa .we nenda porini angali majani mbuzi anakula majani uwo mti sio sumu kata vipande au sagasaga waambie wachemshe wanywe wasifanye ngono...
  12. JamiiForums Tanzania Biashara ya madini ya dhahabu

    Hello natumai wote ni wazima kabisa na wa afya iliyo bora kabisa, Jamani mimi nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1? Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza.
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta partner tufanye biashara ya zao la ufuta

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Naishi Rufiji Bungu, ni eneo linalo jishughulisha sana na shughuli za kilimo hasa mihogo, ufuta na korosho. Kipindi hiki nikipindi ambacho ufuta unavunwa kwa hiyo wakulima wanauza ufuta kwa watu wenye mitaji kwa tsh 2000/= kwa kilo Na serikali inatarajia...
  14. JamiiForums Tanzania Mfahamu Jacob Mushi

    Jacob Mushi ni Mwandishi (Author), Kocha wa Mafanikio(Success Coach), na Mjasiriamali. Kiu yake kubwa ni kuona wewe unakuwa mtu bora, unatimiza ndoto zako na unaishi Maisha ya mafanikio. Kwa kupitia Kazi Zake Maisha ya wengi yamekuwa bora na kufanikiwa. Kwa kupitia kazi yake ya Uandishi pekee...
  15. D

    JamiiForums Tanzania MADEREVA WA UBER ,TAXIFY NA ROVA.

    Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva kupitia Email hapo...
  16. JamiiForums Tanzania Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

    Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?! Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa. Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
  17. JamiiForums Tanzania Kiwanja pembezoni mwa barabara cha biashara

    Wapendwa, Kinahitajika kiwanja kinacho face barabara ya lami hapa Dar es salaam. Ukubwa ni wowote Ila ni vema kuwe na mpaka unaojulikana wa barabara ili kuepuka kubomolewa. Bajeti iliyopo ni 20m.
  18. JamiiForums Tanzania NAHITAJI ENGINE YA LANDROVER 110 - 300 SERIES MILIONI 1.5 CASH MEZANI

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu (1,500,000/=) Shukrani.
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya asali kutoka Tabora kuleta Dar es Salaam

    Salamu Waungwana wa Ukumbi huu adhimu. Kuna visenti nimevipata mahali natafuta namna ya kuviongeza. Ninafikiria kufanya biashara ya Asali kwa kuanzia niende Tabora na kununua japo dumu mbili za lita ishirini ishirini za Asali mbichi ambapo nimeambiwa bei ya dumu la lita 5 ni kati ya shs Alfu 45...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza katika viwanda ni kumuenzi Baba wa taifa-Samia

    Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuwekeza katika viwanda kuwezesha taifa kurudi katika uchumi wa kutegemea uzalishaji unaotokana na bidhaa za viwandani. Samia ametoa ushauri huo katika uzinduzi wa wiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…