biashara

  1. G

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Dk Kebwe kutumia ofisi ya umma kufanya biashara

    Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwa mliopo Mufindi na kwingineko, nataka nijitose kwenye biashara ya mbao, naombenini ushauri na uzoefu

    Wadau wa JF, Mada hapo imeeleweka bila shaka. Nataka nijitose katika biashara ya mbao baada ya kuhisi itanilipa kwa maoni yangu. Nataka ninunue kutoka mikoa ya Njombe na Iringa na kuzisafirisha kuuza mkoani Dodoma ambapo kuna fursa kubwa ya ujenzi hivi sasa. Ni mgeni katika biashara hii na...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    Salaam! Naomba anayejua kibali cha kuuza mkaa kinapatikanaje - wapi na kwa bei gani kwa muda gani (miezi 6 na mwaka). Pls help me with relevant info. Asante! ============================================== MAJIBU NA MCHANGANUO WA BIASHARA ===============================================
  4. JamiiForums Tanzania Ludewa, Njombe: RC asema wasiolima mazao ya biashara kuwekwa rumande

    Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsere ametangaza kumuweka lumande “Lock up” mwananchi yeyote atakayeshidwa kuwa na zao la biashara kutokana na uhamasishaji mkubwa unaoendelea wilayani humo ili kukuza uchumi wa wilaya na wananchi wa wilaya hiyo. Mkuu wa wilaya hiyo amesema uamuzi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Senene

    Hello ndugu, nawatafuta wafanyabiashara kutoka mikoa mbalimbali hapa Tanzania wanaonunua Senene kwa ajili ya biashara kutoka Bukoba, Kagera wanaolangua. Tafadhali tuwasiliane, tukutane uchukue Senene wazuri pure wa sasa hivi,napatikana Kagera. Karibu sana.
  6. JamiiForums Tanzania KPMG Consulting Limited inafunga biashara yake Tanzania?

    Nimeona tangazo kua kampuni ya ukaguzi na ushauri ya KPMG consulting company limited kua inafunga biashara(wind up) Je hii taarifa ni ya kweli?
  7. JamiiForums Tanzania Kodi ya biashara iko vipi Tanzania

    Nimefanya biashara ya vitenge kutoka Holland. Nilishirikiana na wenzangu mzigo ulishukia Ghana. Kwakuwa nilikuwa ninaanza, wateja walikuwa wananifuata nyumbani. Nimewasiliana na kiwandani watakuwa wananitumia mzigo bandari ya Dar. Mzigo ni mkubwa, ni mpango wa kufungua duka la wholesale...
  8. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mtaji

    Changamoto kubwa ya watu wengi katika kuanzisha biashara ni mtaji. Kuanza biashara kuna mambo mengi sana, kuna kufanikiwa na kushindwa hivyo kuchukua mkopo banki wakati ndio unaanza biashara sio busara hii ni kwa sababu unashauriwa kuwa kabla haujaweka fedha zako kwenye biashara yeyote ile ni...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki wa kike ambae huenda baadae akawa mke wangu. Sifa zangu ni: 1. Mtaratibu 2. Mkarimu 3.Mrefu wastani 4.Mwenye ya mungu 5.Mwenye heshima na upendo 6.Umri wangu miaka 23 Awe na sifa angalau kati ya hizi 1.Awe na hofu ya Mungu 2.Mwenye kuvalia kawaida 3.Mkarimu 4.Mwenye...
  10. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda na Jamhuri ya Demokrasia Kongo zafikia makubaliano ya kuboresha miundombinu baina ya nchi zao ili kurahisisha biashara

    Uganda na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo zimesaini mkataba wa kufanya maboresho ya miundombinu hasa barabara zinazounganisha nchi hizo mbili katika kipindi cha ndani ya miezi 24 kwa lengo la kukuza biashara na uwekezaji ndani ya nchi hizo mbili. Rais wa Uganda Mh. Yoweri Museven na Rais wa...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Nina mtaji wa laki 3 na nusu, wakati natafuta ajira nimeona nijiajiri niuze chips, vipi mtaji unatosha? Any idea ya how to make them in a way it suits me (kisomi)? Ushauri wenu unahitajika. --------------------------------------------------------------------------------------------------------...
  12. JamiiForums Tanzania Biashara ya nyumba ya wageni yenye kifungua kinywa

    Mahitaji ya nyumba ya kulala wageni yapo kila sehemu hasa kama kuna shughuli za uchumi mfano mgodi wa madini, kilimo hasa cha mazao ya biashara kama pamba na korosho. Hata shughuli za utalii zinaleta fursa kwa nyumba za wageni hasa kwa wale low budget tourist. Siku hizi Waafrika wanapenda...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi inayohusisha upishi

    Kwa yoyote ambaye angependa kuinvest au kuamua kufanya bishara nje na kazi anayofanya, biashara ya chakula iko poa. Mimi nipo tayari tufanye kazi pamoja.
  14. JamiiForums Tanzania Najaribu kubuni biashara ya kusupply matunda ofisini wakati wa lunch

    Naombeni kufahamu kwa wale wote wanaofanya kazi katika ofisi mbalimbali hasa katika makampuni, kwa plan kama yangu utaratibu unakuaje ili niweze kuwa nawaletea matunda ofisini kwenu?
  15. JamiiForums Tanzania Una mtaji ila hauna pesa ya kodi ya fremu? Zijue biashara zisizohitaji fremu

    Siku hizi watu wengi sana kinachowakwamisha sio kwamba hawana mitaji, wengi mitaji wanayo ila shida ni 1 tu inakuja kwenye suala la fremu wapi atapata pesa ya pango la chumba cha yeye kufanya biashara yake. Fremu tunajua kila mtu bei zake zilivyo na kadri frem inavyokua sehemu yenye wateja ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Mkoa huu wa Italia utakulipa $ 27K ya kuhamia huko, fungua biashara, uishi maisha yako mazuri

    Kanda ya Kusini ya Italia inatafuta kushawishi vijana au wanandoa walio na watoto wadogo, kwa matarajio ya kupunguza kupungua kwa idadi ya watu, lakini wapo wazi kwa mtu yeyote anayetaka kubadilisha mazingira na kuishi kwenye miji midogo anakaribishwa kwenda kuishi kwenye miji hiyo. Ili kuweza...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wenye biashara ya pombe na chakula, chumba cha mhudumu kwenye sehemu ya biashara ni muhimu

    Kama unajenga mgahawa, bar hata guest house, kumbuka kuweka chumba cha mhudumu pembeni. Ikiwezekana weka viwili cha wanawake na cha wanaume. Hii itakupunguzia stress za wafanyakazi kuchelewa kazini asubuhi kwani wale wapika supu na chapati wataamkia hapo hapo. Kama unaweza, unaweza kuweka...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara ya spea za magari madogo

    Habari, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa biashara ya Spea za Magari madogo ya kutembelea hasa Toyota (IST, Raum, Spacio, Carina, GX 100 n.k) anisaidie mambo muhimu ya kuzingatia kwa ninaetaka kuanzisha biashara hii. Mfano aina ya spea zinazotakiwa kwa sana, muuzaji...
  20. JamiiForums Tanzania Huduma ya Kuanzisha Biashara

    Je Unahitaji msaada katika kuanzisha biashara yako? KASI wanatoa huduma za uanzishaji wa Biashara ambazo zitakuwezesha kuanzisha biashara yako kitaalamu na kupata huduma ya mentorship katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo wa biashara yako.Huduma zinazotolewa ni pamoja na: Usajili wa Jina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…