biashara

  1. JamiiForums Tanzania Msanii T.I na Mkewe watuhumiwa kwa kufanya Biashara haramu ya kusafirisha Binadamu

    Wanawake takriban 15 wamejitokeza na kudai kuwahi kufanyiwa vitendo vya kikatili na T.I. pamoja na mkewe Tiny Harris. Wanawake hao wamejitokeza kupitia ukurasa wa mwanadada Sabrina Peterson ambaye wiki hii aliibuka kupitia Instagram na kudai T.I. aliwahi kumtishia bastola. Baadaye rapa huyo...
  2. JamiiForums Tanzania Equinor yapanga kuzungumza na Serikali ya Tanzania ili kurekebisha mazingira ya biashara, sheria na fedha ili kupata faida

    Thamani ya mradi wa TLGN yapungua kwa $milioni 982. Equinor kampuni ambayo inajihusisha na nishati hasa gesi, ilikuwa na mradi wa Liquefied Natural Gas (LNG) nchini Tanzania ambao leo kampuni ya Equinor imeamui kushisha thamani ya mradi huo kwa $Milioni 982. Punguzo hilo la thamani linaakisi...
  3. JamiiForums Tanzania Nina sh. 20,000 naomba mnishauri biashara ya kufanya

    Naomba ushauri nini nifanye nina mtaji wa tsh.20000 nifanye biashara gani? Kwa kipindi hiki cha mvua (kifuku) nipo Nachingwea kijiji cha Mbondo natumaini nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu.
  4. JamiiForums Tanzania Hatma ya biashara za mtandaoni kwa Mtanzania

    Habarini za asubuhi wanajamvi, Kama tunavyojua, maisha baada ya Korona imekuwa remote. Sites kama vile upwork, fiverr na PeoplePerHour zimeshika kasi katika kuajiri "digital nomads", na waajiri wengi wamechukua njia hiyo kuhakikisha kazi zao zinaenda. Sasa naangalia maisha yangu kama Mbongo...
  5. JamiiForums Tanzania Hatua kwa hatua-Jinsi ya Kutengeneza website ya Biashara

    Habari za wakati huu; Leo nataka nilete darasa fupi la jinsi ya kutengeneza website (Tovuti ) kwa ajili ya biashara yako kwa gharama nafuu kabisa.Nitaanza kwa kuelezea kidgo tovuti ni nini na kazi yake ni nini? Tovuti ni nini? Tovuti ni anuani ya mtandaoni.Ni sehemu katika mtandao ambamo...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hatua za kufungua biashara

    Wakuu nitaenda haraka kwenye point Nilikua nahitaji kujua hatua za kufungua biashara ndogo tu ya ujasiriamali, nimepata kaeneo kando kando ya barabara. kuna mtu anaweza kunipa hatua zote za kufata mpaka kupata kubali? Nilikua naomba kama mtu akieleza hatua basi aeleze in detail kidogo ili niweze...
  7. F

    JamiiForums Tanzania BRELA ( Business Registration and Licensing Agency) kuna matatizo makubwa! Waziri wa Viwanda na Biashara tunakuomba uingilie kati haraka!

    Matumizi ya teknolojia yanapochukua nafasi kila mtu anategemea ufanisi kuongezeka! Hii imekuwa kinyume kabisa kwa BRELA, inaumiza, kuleta hasira na hasara sana kwa Wafanyabiashara. Mwaka jana mwezi wa nne 2020 nilianza mchakato wa kuhuisha taarifa za kampuni yangu ili kuomba leseni za...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Linahitajika Guta au Suzuki Carry kunusuru biashara yangu

    Rejea hiyo Subject hapo juu. Sina nguvu yakununua vipya, hivyo nataka used chenye afya. Natambua na kuheshimu Madalali ila kwenye hili ninahitaji wamiliki. Juzi dalali kaniambia Carry mil3.7. Nikachukua namba za usajili nikaomba Query zakikodi au Customs (If any), huko nikapata namba ya...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tambua Siri za mafanikio ya biashara za Wahindi

    For keen observers, the Indian community is fast rising to be a business behemoth in Kenya and East Africa take out Indian families from any major town and the economy of that particular region will probably tumble. The same case can also be said in countries like South Africa, Ghana, Ivory...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kufanya biashara bila mke kujua?

    Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo. Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda...
  11. JamiiForums Tanzania Kodi za mabango ya biashara zikoje?

    Miye ni mjasirialmali mwenye hamu ya kujikwamua kiuchumi. Naomba kujua yafuatayo kuhusu kodi ya mabango ya matangazo ya biashara: 1. Ukiweka bango kwenye Barababa, kwa mfano ya Sirari - Mwanza linatozwa kodi na TARURA au na TANROADS? Nauliza kuhusu hizi taasisi mbili kwa vile inavyoelekea hili...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Biashara za magendo zinaongezeka kwa kasi nchini kwa sababu ya mfumo wa kijeshi wa kukusanya Kodi

    Serikali inarealize upotevu mkubwa wa mapato kwa sababu yakutumia mkono wa chuma kukusanya Kodi. Kodi nzuri Ni ile inayokusanywa kwa mujibu wa sheria, kwa masikilizano na kwa gharama ndogo. Leo hii nguvu inayotumiwa kukusanya Kodi ni kubwa sana, wafanya biashara wamegeuzwa wahalifu na...
  13. JamiiForums Tanzania Wenye connection biashara ya dhahabu wadau

    Wadau Jf habari za mihangaiko wakuu mimi nipo Dar kwa sasa ila natembelea sana Geita nimekuwa interested sana na biashara ya dhahabu sasa natamani sana kupata connection ya hizi biashara.
  14. JamiiForums Tanzania Tengeneza website kwa dakika Dk 40 tu

    Kama umekuwa ukiumiza kichwa, namna ambavyo utaweza kutengeneza website ya kisasa ya biashara yako, basi leo kupitia nakala hii ntakuonesha hatua kwa hatua jinsi ambavyo utaweza kutengeneza website kamili, nzuri, nadhifu na ya kisasa, kwa ajili ya biashara yako ndani ya muda mfupi sana...
  15. JamiiForums Tanzania Ni utaratibu gani wa kufuata kufungua biashara ya uwakala wa huduma za kifedha kwa simu?

    Wadau nataka kufungua ofisi ya uwakala wa huduma za kifedha za simu. Sasa sijui utaratibu unakuwaje ili kufanikisha jambo langu. Mwenye ujuzi naomba msaada hapo
  16. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbuzi na masoko

    Habarini ndugu zangu, Nataka kufanya biashara ya mbuzi. Ninaomba yeyote mwenye uzoefu na biashara hii anifunulie fursa za masoko na changamoto zake.
  17. JamiiForums Tanzania Kiwanja cha biashara kinapangishwa

    Kiwanja kinapangishwa barabarani eneo la buyuni kuelekea Chanika ukubwa wa sqm 1300 bei 400,000 kwa mwezi. Mawasiliano 0784336063
  18. JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  19. JamiiForums Tanzania BBC Swahili: Tanzania yapiga marufuku biashara ya Nguruwe! Huu ndio weledi wa habari wa BBC au Kuna kitu wanalenga?

    Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi? Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo. Hii itatufanya hata...
  20. JamiiForums Tanzania Biashara: Milioni 10 inatosha kuanzisha biashara gani kwa Dar?

    Habari wakuu. Nimeona nilete hapa hili swala ili kupata mawazo tofauti tofauti juu ya business Ideas ambazo zinaweza kuwekezwa kiasi cha Tshs 10M. Kuna jamaa yangu ana kiasi hicho cha fedha, anaishi Jijini Dar es Salaam, anataka kuiingiza katika mzunguko wa biashara lakini hajui ni biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…