Baada ya muda mrefu nimepata bahati ya kuja mjini DAR ES SALAAM nikaona maji ya kunywa brand mbalimbali ikiwemo Uhai, Hill nk zikiuzwa 500-600.
Cha ajabu ujazo huohuo kwetu yanauzwa 1000 hii imekaaje wadau nikisema ninunue nipeleke kule kwetu kwenye Jambo, Sequa na Kilimanjaro itakuaje....