biashara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, mauzo yanapungua kwenye duka langu

    Jamani kwema leo nikuja kitofauti kabisa. Mimi ninapenda kufanya biashara, sijaajiriwa ila nimejiajri kupitia taaluma yangu(...) Lakini pia nina biashara ndogo ya duka lengo nikubusti maisha. Sasa imekuwa mwanzoni nikifungua biashara mpya huwa inalipa sana yaani utauza juu kweli lakini baada...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani

    Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako. Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake. 1. TIN ya biashara 2...
  3. JamiiForums Tanzania Nini kinakuogopesha kufungua au kufanya biashara?

    Watu wengi wanatamani kufanya biashara wengine wana mitaji kabisa sababu unakuta yeye ni mtumishi hela sio swala la kuuliza ila when it comes to starting a business anajikuta anasita sita au kupatwa na uoga na jakamoyo! Ijapokuwa kujiajiri na biashara ndio kitu ambacho kinaaminika kuleta...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Spika usiruhusu wabunge waongo waongo kuchochea chuki, Mbowe alisema biashara zake zimefungwa na TRA

    Natoa tu ushauri kwa kiti cha Spika kwamba siyo vema wala haki kuruhusu wabunge kuchochea chuki na fitna kwa jamii tena kwa watu ambao hawako bungeni. Nilivyomsikia Mbowe ni kwamba biashara zake zimefungwa na TRA baada ya kushindwa kulipa kodi ya tsh 2 bilioni ambayo anaipinga. Mbowe aliongea...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
  6. JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa biashara ya kuingiza faida ya 150,000/= kwa siku/ 4,400,000 kwa mwezi

    Nawasalimu kwa jina la muungano wa Jamhuri ya Tanzania, Nimekua nikifatilia threads mbalimbali za biashara humu, Wengi naona wanasema ili kuingiza faida kubwa Kwa siku basi ni lazima Uwe na Mtaji Mkubwa, wengine walitoa mifano ya Anaemiliki duka la hardware ana mtaji nkubwa lakini hafikishi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Starehe na Biashara ya haraka Mkoani kwako

    Nataka kusafiri kidogo. Lakini nataka safari yangu iwe yenye manufaa. Ninataka niende Tanga but sitaki enda mikono mitupu. Nataka nije na mzigo wa biashara. Wa kawaida tu usiozidi Mil 1. Kama utafiti tu. Najiuliza nilete bidhaa gani Tanga ili niuze ndani ya siku 2-3 then nirudi zangu dar. But...
  8. JamiiForums Tanzania Nina 50,000 nifanye biashara gani?

    Habari wakuu Mimi ni mama wa nyumbani mkazi wa uswahilini huku asilimia kubwa wakazi wa huku wana vipato vya chini. Sasa mimi nina elfu 50 nataka kufanya huku kwetu naomba mnisaidie ushauri Ni biashara gani itafaa kutokana na mazingira niliyopo? Pia soma: Baadhi ya njia unazoweza kutumia...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    Habari wakuu. Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla? Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake. Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia. Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
  10. JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua korosho Kanda ya Kusini (Lindi & Mtwara)

    Habari za majukumu wakuu! Nadhani humu kuna watu wanaojihusisha na hii biashara ya kununua korosho(Almaarufu "Kangomba") kule mikoa ya Lindi & Mtwara. Naomba kwa wale wazoefu basi watoe uzoefu wao kuhusu hii business. •Wakati sahihi wa kuanza kununua mzigo. •Maeneo(vijiji) haswa...
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya

    Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya Na Kelvin Isenye Ogome Kutokana na ongezeko la matumizi ya simu tamba na za kisasa pamoja na kuimarishwa kwa mtandao, imekuwa rahisi kwa idadi kubwa ya Waafrika kutumia mtandao katika maisha yao ya kila siku, kama vile...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara gani naweza kufanya ikanipatia walau ada?

    Mimi ni mvulana wa miaka 23kwa ninaitwa, Johnson napatikana Dar es Salaam naombeni ushauri mimi nimesoma hadi form four lakini sikufanikiwa kwenda mbele zaidi na ni MTU anaependa kusoma hasa katika ngazi za IT. Je, ni biashara gani naweza Fanya ikanipatia walau ada kwasababu ada ni kuanzia laki...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Instagram account ya biashara inagoma

    Habarini ndugu zangu. Mwenye ujuzi naomba anisaidie, account yangu ya biashara ambayo nilikua na promote products zangu ghafla inakataa inanipa ujumbe huu.
  14. JamiiForums Tanzania Migogoro inayoendelea soko la Mawenzi mkoani Morogoro hakuna mtetezi wa kupaza sauti, wafanyabiashara wananyanyasika mkuu wa mkoa uko wapi?

    Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara wa soko la Mawenzi lipo Morogoro mjini kata ya uwanja wa Taifa ili soko lina miundombinu mibovu kume kuwa na migogoro baina ya Manispaa na wafanyabiashara wanataka kutuamisha pasipo kufuata taratibu Tumeshapeleka sana malalamiko kwa mbunge na mkuu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Partnership Biashara Pub/Bar

    Done..
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Habari, Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala. Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje? Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mambo ya kuzingatia kuanza biashara ya mpira

    Wana jukwaa mimi ni kijana mpambanaji nataka nianze biashara ya kuonyesha mpira. Naombeni msaada namna ya kuanza ikiwemo gharama za awali na kwa kuwa naweka kijana makadirio yake ya hesabu na monitoring iweje ili nipate faida. Ushauri wenu ni wa thamani sana kwangu wakuu. Nipo tayari kupokea...
  18. JamiiForums Tanzania Sms za USSD biashara yake inafanyikaje?

    Naomba kufahamu namna mtu anaweza kufanya investment ya meseji za USSD codes. Nani service provider hapa bongo? Charges zake zipoje? Wanaofanya wanapataje faida? Opportunities zake zipoje kwa sasa hapa Tanzania?
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ya viungo vya chakula

    Habari, Ninabiashara ya viungo vya chakula (spices) Iric, mdalasini, pilipili manga, karafuu , nauza kwa kilo nawezaje kupata soko lakuuza bidhaa hizi? Zaidi soma: Wateja wapo wengi, Ongeza thamani ya kitu unachotaka kukiuza kabla hujakitangaza kukiuza
  20. JamiiForums Tanzania Utapeli wa Biashara za online

    Wakuu habari... Siku hizi kama tunavojua kuna biashara nyingi sana za online huku ukifanyiwa delivery either free or malipo kidogo. Japo ni rahisi kushawishika kwa ubora wa bidhaa wanazouza kulingana na uhitaji wako, kuna wauzaji wengine si waaminifu ni matapeli watakuaminisha ulipie nusu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…