biashara

  1. JamiiForums Tanzania Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

    Habarini wana jamvi, ninapenda kuwashirikisha jambo ambalo nililiona huko mkoani Iringa, wilaya ya Mufindi. Mwezi march mwaka huu 2021, nilienda kijijini kwetu huko mufindi, nikabahatika kumtembelea ndugu mmoja shambani kwake. Shamba lake la parachichi lenye ukubwa wa ekari 15, lakin sehemu...
  2. JamiiForums Tanzania Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

    Habari zenu ndugu wa Jamii Forums. Kama ni kweli Tanzania inataka kuandaa wachumi na wataalam wazuri wa kutunza hesabu, sasa wakati umefika kwa wataalam wa elimu kuruhusu wadogo zetu wanaochukua mchepuo wa biashara (ECA) kuanza kusoma somo la uchumi (Economics) kuanzia kidato cha kwanza kama...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kama kweli umedhamiria kuboresha mazingira ya biashara nchini futa utaratibu wa framework contracts kupitia GPSA

    Kumekuwa na utaratibu wa GPSA kutangaza framework contracts za kusupply bidhaa na huduma mbalimbali kwenye taasisi za umma kila mwaka. Kusema ukweli utaratibu huu hauna tija. Unaongeza ugumu na gharama katika kufanya biashara na serikali. Sisi wafanyabiashara tunapo fungua kampuni...
  4. JamiiForums Tanzania Ni muhimu shuleni likafundishwa somo la fedha na biashara kama hali ilivyo huku kitaa

    Uongo mbaya, shuleni mtu unaweza fika Form Six au chuo lakini kupambana na maisha mtaani mtu wa darasa la saba akakuacha mbali kabisa. Kama elimu haimfundishi mtu kupambana na maisha yake ina faida gani? Haiingii akilini mtu asome hadi form six miaka 13/14au hadi chuo miaka 16/17 halafu...
  5. JamiiForums Tanzania Nataka Nifanye hii Biashara, Wazoefu Tusaidiane

    Niaje wakuu.. Kuna Hii Biashara ya Vibanda vya Movie naona ina return nzuri asee.. 30K per Day kawaida sana. Nimeipenda kwani ina mtaji mdogo lakini pia ni ngumu kuleta Hasara na pia rahisi kufanya. Sasa mie nataka niweke Goli hilo liwe la kuuzia Movies, Miziki, vitu kama Flash na accessories...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Njoo tuwekeze kwenye biashara ya mkaa kijana mwenzenu sina mtaji

    Habari za kazi wakubwa Biashara ya mkaa Ni biashara ambayo inawez kukutoa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ,hivo kwa fursa hyo napenda yeyote ambaye atakuwa vizuri tuwekeze pamoja katika mchanganuo huu lakin kwa upande wangu nitawekeza nguvu zaidi (yaani Sina mtaji). Update: Biashara yetu...
  7. JamiiForums Tanzania Kabati la biashara la vioo nauza kwa laki moja

    Kabati zuri kabisa la kuuzia chipsi lina portion tatu na vioo safi naliuza kwa being ya laki moja tu. Limetumika wiki mbili tu. Nipo mbezi beach sala sala. Atakae hitaji anicheki 0679478758 au 0744069243. Karibuni.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu: Je, Masomo ya biashara hayafundishwi mashuleni?

    Ajira za Ualimu zimetangazwa na Vijana wengi wameanza kuchangamkia Ajira ili waende kulitumikia Taifa na kuendeleza taaluma zao, lakini Walimu waliopewa kipaumbele ni Walimu wa Sayansi, Hesabu na Mengine Kidogo. Ila Walimu wa Masomo ya biashara yaani Book Keeping na Commerce wametengwa kabisa...
  9. JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa Vitabu vya maendeleo binafsi (Personal Development)

    Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana. Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa mbalimbali. Lakini vitabu vya maendeleo binafsi (personal development) vinakupa maarifa, mbinu na hamasa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Tengeneza Urafiki na watu wanaofanya biashara unayoifanya au utakayotaka kuifanya "utafanikiwa"

    Kufanya biashara kila mtu anaweza ila shida inakuja kwenye kudumu katika biashara mtu anayofanya na si tu kudumu ila kufanikiwa katika biashara aliyodumu akiifanya. Watu wengi ni wafanyabiashara ila ni wale watu shika hiki acha shika kile acha (mapepe) kuna mtu anafungua biashara ila hana...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbegu, mayai ya uzazi biashara inayokua kwa kasi Kenya

    Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Kenya. Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Ila kwa sasa imekuwa biashara inayokua kwa kasi kwa wenza...
  12. JamiiForums Tanzania Mafanikio ndani ya biashara ya dhahabu

    Poleni na mfungo ndugu zangu waislam kaka zangu, dada zangu, na wengine wenye umri kama wangu yaani below 25 niulizeni ndugu yenu hapa kijana mwenzenu. Niulize chochote kuhusu hii biashara nitakujibu. Chochote kinachokutatiza nitakujibu. Karibuni kwenye uwanja wa madini msiogope niulize...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeamua rasmi kufunga biashara

    Yani nimepata kahela kidogo baada ya kuachishwa kazi nikasema ngoja nianzishe kibiashara tena cha mtaji wa million mbili leo hii watu wa wamanispaa wamenikamata wanataka nilipe faini ya laki nne na nusu na biashara yenyewe kila siku nalala tu ofisini. Kwa anayehitaji nimuuzie biashara ya...
  14. JamiiForums Tanzania Dhana ya Kuinuana Kiuchumi baina ya Wanafamilia; Kuna haja unapompa ndugu yako Mtaji wa biashara umtoze riba ili kuongeza uwajibikaji?

    Binafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Vitu muhimu zaidi unapaswa kuvifahamu Digital Marketing

    Habari wakuu, Natumai kila mmoja wetu yuko vizuri na tunaendelea kupambana katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Mada ya Leo inahusu kitu ambacho kina mchango mkubwa sana katika kuikuza biashara yako mwaka huu 2021. Haijalishi wewe ni mfanyabiashara mdogo, unauzia Insta tu au ni...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kupeleka mbele Ratiba ya Yanga vs Azam na Yanga vs Biashara United kulifuata kanuni!

    Kwanza nianze jambo moja... Kama utanisoma kwa kuongozwa na Think Tank wa Club ya Simba, yaani Haji Manara, katu hutanielewa! Ni bahati mbaya sana nimetafuta barua kutoka TFF au hata Yanga zinazotoa maelekezo ya kupeleka mbele mechi hizo hapo juu! Pamoja na yote hayo, kama utaweza ku-connect...
  17. JamiiForums Tanzania Wakati mzuri wa kumuandaa mwanao kuja kusimamia biashara zako

    Yaani ukimuandaa mtoto wako saizi unakuta huyo mtoto mpaka afike 25 anaexperience ya kutosha kwenye business kuliko walihitimu vyuo maana anajua ups and downs za business (mfano hai ni watoto wa waarabu) Pia, anajifunza namna ya kuinvest na risk zake hata anaweza foresee future ya business...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, zile pesa ulizoziita za dhulma walizopokwa wafanya biashara na TRA itapendeza kama mtawarudishia wenyewe

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wanajukwaa. Ndugu zangu kwanza nitaanza kwa ku declear interest kwamba mimi ni mwana CCM ambae nilikuwa simuungi na sikubaliani na hayati Magufuli bila kificho kwani matendendo yake na uongozi wake haukuwa mzuri kwa maono yangu. Kwa maono yangu...
  19. JamiiForums Tanzania Lugha ya kiswahili itakufa? Nasikia watoto wa english medium hawakijui

    Juzi nimeona mtandaoni mama mmija akilalamika kuwa mwanae wa miaka 8 hajui vizuri kiswahili. Mwingine anasema mwanae anaongea kiswahili kama cha wahindi. Hili ni jambo zuri au ni tatizo? Hii ipo kwa kiasi gani? Kiswahili kinaenda kufa?
  20. JamiiForums Tanzania App nzuri kwaajili ya Wafanyabiashara

    Kwa Anayehitaji App Nzuri kwa Ajili ya Kutunza Kumbukumbu za Mauzo ya Biashara. Inauzwa 20,000/= tu. Anicheck WhatsApp 0764181161 Nitamtumia Link ya Play Store, Pamoja na Video za Namna Inavyofanya Kazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…