biashara

  1. JamiiForums Tanzania Nauza Banda la biashara pamoja na bidhaa

    Ni banda la chuma ambalo lina ukubwa wa futi 8 kwa 6. Unaweza kuendelea kufanya biashara hapohapo au uhamishe, kwasasa ni duka/kibanda cha bidhaa za nyumbani pamoja na genge(meza za genge zipo) Mali zilipo ndani Mizani Bidhaa Kreti za soda Location: Ubungo Tanesco Bei 1.65mil WhatsApp/Call...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu

    Rais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu, lazima tuiendeleze Mwanza iwe kitovu majirani wasitupite. Yale yote yaliyopangwa na serikali ya Mkoa wafuateni nayo, Serikali kuu tuko nyuma yenu tunakwenda kumaliza shida zilizobakia. Najua kuna ahadi ya mpendwa wetu...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Watatu wakamatwa kwa kufanya Biashara ya kusafirisha Watoto wakafanye kazi za Majumbani

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuwasafirisha watoto wenye umri wa miaka 10 na kuwapeleka kutumikishwa kazi majumbani, kilimo na ufugaji katika maeneo mbalimbali. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Urlich Matei amesema leo Septemba 7, 2021 wakati akizungumza...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu siri kubwa na faida ya DIGITAL MARKETING katika biashara yako

    MASOKO YA KIDIGITAL I(digital marketing) ni nini? MASOKO KWA NJIA YA KIDIGITALI ni matumizi ya mtandao yaliyoanza kuibuka kuanzia miaka ya 90 mpaka 2000 yaliyokuwa na lengo la kuendeleza shughuli za kunadi masoko kwa uuzaji bidhaa mitandaoni/ na services (shughuli) kwa kutumia vifaa vya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya Biashara ya Vitunguu

    Habari za asubuhi ndugu zangu. Kutokana na kukosekana kwa ajira. Nataka kujikita katika biashara ya Vitunguu Sokoni. Nataka kununua kutoka mkoani na kuja kuuza Dar es salaam sokoni. Naomba kuelimishwa utaratibu wa kuuza bidhaa sokoni kwa wale waliowahi kufanya biashara sokoni. Lakini pia...
  6. JamiiForums Tanzania Nawaza kufanya Biashara ya maziwa kutoka Kenya (Brookside)

    Hapa majuzi nilirudi Tanzania (huwa nakaa Nairobi Utawala) nilienda Arusha pamoja Singida, sasa nilivyofika sehemu hizo nikawa natafuta maziwa fresh madukani, nilizunguka sana hadi kuyapata na niliyapata kwa bei kubwa sana nikilinganisha price ya Nairobi So nikaja kugundua Nairobi wana maziwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika katika biashara

    Habari wapendwa, Mimi ni mwanamke ambaye natafuta mshirika katika biashara ya mgahawa wa chakula na vinywaji, anaweza kuwa wa kike au kiume ila awe anajitambua na kuelewa maisha yanvyokwenda. Pia awe mwaminifu na mchapakazi anaeishi Dar-es-salaam.Eneo la biashara ni mikocheni. Nina masters in...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani naweza kupata mkopo wa biashara?

    Naomba mwenye ufafanuzi wa namna ya kupata mkopo kuanzia kiwango cha 10m na kuendelea wa biashara na riba yake per one year anisaidie au anipe ufafanuzi ili niweze angalia kama naweza kufanikiwa kuongeza mtaji
  9. JamiiForums Tanzania Utalii kitaifa hauhitaji vivutio vingi na matangazo; unahitaji historia, siasa, muingiliano, biashara na miondombinu

    Mataifa yanayofanya vizuri na kuongoza katika utalii duniani ni pamoja na; Ufaransa, Hispania, Marekani, China, Italia, Uturuki, Mexico, Ujerumani, Uingereza. Kwa Africa ni South Africa, Misri, Morocco, Algeria, Zimbabwe, Mozambique, Ivory Coast, Kenya na Botswana. Ukiyatazama mataifa haya kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wabunge tusaidieni kuiuliza serikali ni lini itaruhusu mfumo wa kupokea pesa wa biashara za mitandaoni wa Paypal?

    Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka Waweza uza chochote mitandaoni Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
  11. M

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Tumia Mfumo(System/Erp) moja kuendesha Biashara yako(Odoo Erp)

    Hapo zamani, TAASISI au COMPANY zilikuwa zinatumia mifumo(systems) nyingi (zaidi ya mmoja) katika kuratibu shughuli za kila siku. Kwa Mfano Taasisi au Kampuni moja yenye departments tano(5) (Finance, Human resources, Sales, Marketing, Procurement e.t.c) lazima iwe na mifumo(systems) tano(5)...
  12. JamiiForums Tanzania Hawa watu wana majukumu gani?

    Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
  13. JamiiForums Tanzania Changamoto katika biashara ya nyumba ya wageni (Guest House)

    Nyumba ya wageni ikiwa kwenye location nzuri, penye shughuli za kibiashara, ni biashara iitakayo kuingizia pesa ya kula hata na ya ada ya watoto. Sikuhizi watu wanapenda vyumba ensuite, hivyo uwe na uhakika wa kupata maji. Maji yakikosekana fanya jitihada ya kujaza matank ya akiba. Kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapokula Pweza na Ngisi njiani

    Leo muda wa jioni nilikuwa maeneo ya Mbezi ya Kimara nilikuwa nimesimama namsubiri rafiki yangu pembeni kwa mbele kulikuwa na mtu anauza supu ya pweza na vipande vyake na ngisi na kachori.Nikiwa pale walikuja watu kadhaa kununua nilichokiona. Mteja alikuwa anachukua kijiti cha kuchomea anatoboa...
  15. JamiiForums Tanzania Hapa DSTV wanapoteza wateja na mvuto wa biashara

    .
  16. JamiiForums Tanzania Komaa na kinachotoka zaidi kwenye biashara yako

    Biashara ni mchezo wa kubahatisha ni mchezo ambao hauna Ninja, yeyote bahati itaemdondokea ndio mshindi,Hiyo ndio biashara sasa. Watu wengi tunapofungua biashara tunakua na idea zetu vichwani tunazotamani ziende kwa namna tumeziwaza na kutaka iwe, lakini katika waanzilishi wabiashara 100...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iunde chombo cha kusimamia biashara za mitandaoni ili kuziboresha na kupanua wigo wa walipa kodi pamoja na kuboresha huduma za posta

    Napenda kuishauri serikali iunde chombo cha kusimamia biashara za mtandaoni ili kuziboresha na kupanua wigo wa walipa kodi. Binafsi mimi ni mfanyabiashara wa online, kwa uzoefu wangu kufanya biashara online naweza kusema ni sehemu nzuri ya kufanyia biashara na inafanya iwe rahisi sana kwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yajishushia hadhi kwa kutoa “Ripoti ya Biashara ya Magendo ya Watu”

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani hivi karibuni ilitoa Ripoti yake ya mwaka 2021 ya Biashara ya Magendo ya Watu, na kwa mara nyingine tena, ilitumia mbinu yake ya kawaida ya kuweka vigezo viwili. Wakati inakosoa na kukashifu nchi nyingine ikiwemo China katika suala hilo, nchi hiyo inadai kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Ukweli mchungu juu ya Nukta 3 za Kiuchambuzi kuhusu Mapinduzi ya Viwanda Tanzania

    UTANGULIZI Kila sifa njema anastahiki Mwenyezi. Ama baada, ningependa kuzibainisha nukta 03 zitakazo chambuliwa katika mnakasha huu. 01) Mapinduzi ya Viwanda kwa ujumla wake. 02) Hali ya Mapinduzi ya Viwanda Nchini Tanzania. 03) Mtazamo Juu ya Nini Kifanyike. 01) MAPINDUZI YA VIWANDA KWA...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wenu kuhusu biashara ya uwakala wa mitungi ya gesi za kuchomelea, acetylene n.k

    Mimi ni muuza Gesi za majumbani LPG Nilikuwa napenda kufahamu namna ya kupata Uwakala wa gesi za kuchomelea (nazikuta sana Gereji za magari) na nyinginezo kama zile (yani Acetlyene, oxygen) na mwenendo mzima wa biashara hyo. Katika kuangalia nimeona kuna kampuni kama tatu yani TOL, SALAMA na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…