Habari za wakati huu,
Najua andiko langu linaweza kuwa na utata na kwa wale wanaopenda vya bure wakafikri sasa wamepata cha bure na kwa wale ambao huamini wakiitiwa fursa basi wao ni fursa wakajikuta wana sita kuitikia mwaliko.Hata hivyo kwa hili niko serious.Nimekualika nikufungulie biashara...