biashara

  1. JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia baadhi ya wachaga na wakinga wanaacha ajira nzuri wanaingia mazima biashara ambazo zina hatari ya hasara, huu ujasiri wanautoa wapi?

    Ni baadhi yao,,, sio wote Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki. Kuna makabila yenye wasomi kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika kwao upo sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Mgunda na Matola anzeni na Kimoja kati ya hiki ili tumalize Biashara mapema kwa 'Wanyasa' tumsubiri ajae mbeleni...

    1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Henock Inonga 5. Mohammed Outarra 6. Jonas Mkude 7. Kibu Denis 8. Sadio Kanoute 9. Moses Phiri 10. Football Genius Clatous Chama 11. Augustine Okra au 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4...
  3. JamiiForums Tanzania Shoppers Trading Ltd yadaiwa wameamua kufunga biashara Tanzania

    Wanadai sababu ni kukosa fedha za kujiendesha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Website and Database errors fix services

    Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi. Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo; Database 1. Database cleanup 2. Database optimisation 3. Database...
  5. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Biashara ya ajira

    ELIMU ni suala mtambuka lisilotenganishwa na AJIRA au KUJIAJIRI (Biashara). Hivyo suala la ELIMU linapaswa kutazamwa upya kama uwekezaji usasa ambao ni sharti ulete mafanikio kwenye jamii husika. Mfumo wa kutoa bidhaa pendwa za MUDA,PESA na USALAMA wa muhusika kwa lengo la kujizolea ujuzi na...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Biashara ya mtandaoni: Fursa yenye changamoto nyingi

    Biashara ya mtandaoni ni biashara yoyote inayotumia mtandao wa intaneti kuuza, kununua na kutangaza bidhaa au huduma.Kutokana na ongezeko la matumizi ya intaneti sasa hivi Duniani kote bidhaa mbalimbali zinauzwa, zinanunuliwa na kutangazwa kupitia mitandao ya kijamii na tovuti.Hapa nchini...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kufanya marekebisho Sheria ya Leseni za Biashara

    Kutokana na mabadiliko ya teknolojia, uchumi na mwenendo wa biashara, Serikali imeanza mchakato wa maboresho ya sheria ya leseni za biashara sura namba 208. Huu ni mwaka wa 50 tangu sheria hiyo itungwe mwaka 1972, hivyo maendeleo ya sekta ya biashara yamesababisha haja ya mabadiliko yake...
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi Nilivyotengeneza Soko Pekee (Lisiloingiliwa) la Bidhaa Zangu

    UTANGULIZI Watu walio wengi kwa sababu moja au nyingine huwa hawawezi kutengeneza fursa za biashara kutokana na kuanza kwa biashara moja kupitia Mnyororo wa Thamani. Fuatilia Makala hii kwa makini uone jinsi unavyoweza kufanya hivyo kwa biashara yoyote. Mnamo mwaka 2019 nilianzisha na kusajili...
  9. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati, tunaomba TPDC waajiri watu waliosoma fani za mafuta kwa usawa

    Kwako Wizara ya Nishati, Rejea Tangazo la ajira za shirika letu la mafuta, TPDC. AJIRA MPYA - Shirika limetoa ajira nyingi za kutosha lakini kuna baadhi ya fani za mafuta hazijatajwa kwenye Tangazo hilo ilihali watu wa fani hizo wanaweza fanya kazi hizo. Tunazo fani nyingi za mafuta na gesi...
  10. JamiiForums Tanzania naomba kujua namna ya kufanya biashara ya kuweka mashine ya kubetisha, kama gal sport

    za mda huu waku hapa, nimekuwa nikiona watu wanafungua office ya kubetisha kama gal sport na nyingine kama hizo, kama kuna mtu anajua taratibu zake za kufata na namna ya kupata faida naomba anielekeze hapa
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Hakuna biashara Serikali inaweza kufanya kwa ufanisi

    Nimepanda treni ya Kigoma - Dar mwaka 2021, na nilijisemea sitakuja kupanda tena kwa namna treni hii ilivyo na huduma mbovu na za aibu. Ninatumia usafiri wa ndege Air Tanzania mara kwa mara kwa safari zangu za ndani ya Tanzania. Kuna kipindi hata namba zao za huduma kwa mteja hazipatikani...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna wimbi la biashara ya ukahaba kwenye vyuo vikuu kupitia Instagram

    Wakuu, naamini mmeakuwa na weekend njema, na mmeianza Jumatatu vyema. Back to me it was boring baada ya kukutana na hiki kisanga. For the last six months nimekuwa mtu wa kusafiri safiri kidogo ndani ya hii Tz. Napenda sana kampani hasa maeneo ninayotembelea, hii imenifanya kujuana na watu...
  13. JamiiForums Tanzania Oparesheni uhalifu yanasa silaha 997

    JUMLA ya silaha 997 zimekamatwa kutokana na oparesheni mbalimbali za kuzuia na kutanzua uhalifu mkoani Morogoro kuanzia Januari mwaka 2019 hadi Juni mwaka huu. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu alisema hayo juzi katika taarifa yake kwa mkuu wa mkoa huo, Fatma Mwasa...
  14. JamiiForums Tanzania Siku isiyokuwa na Biashara wala Urafiki

    Ningependa Leo nizungumzie maswala ya kiroho na walengwa ambao Nataka niwakumbushe neno la Mungu ni Wale wanao mwamini Mwenyezi Mungu. Kama wewe humwamini Mwenyezi Mungu au unaamini Mungu hayupo basi huu Uzi haukufai. Mwenyezi Mungu anasema katika Kitabu chake katika Suratul Ibrahim Aya ya 31...
  15. JamiiForums Tanzania Kuwa Kinara Sokoni (Being The Market Leader) Bila Kufanya Matangazo

    Mara nyingi ninapokutana na wamiliki au wakurugenzi wa makampuni (Business Executives), huwa nawauliza ni njia ipi huwa wanatumia kujijenga sokoni "market leading branding" wengi wanasema kufanya matangazo (advertising) ndio njia muafaka, kwa sababu; matangazo hujenga uelewa wa huduma au...
  16. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kuomba wazo la biashara mtandaoni

    Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa? Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii. Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
  17. JamiiForums Tanzania Mashindano ya kimataifa yatumike kama jukwaa la biashara kwa vilabu vyetu

    MICHUANO YA KIMATAIFA KAMA JUKWAA LA FURSA YA KIBIASHARA KWA VILABU VYETU NCHINI Kuelekea kuanza kwa michuanao ya kimataifa ngazi ya vilabu barani Afrika mwishoni mwa juma hili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mashindano ya Klabu Bingwa tutakua tukiwakilishwa na vilabu vya Simba , Yanga na...
  18. JamiiForums Tanzania Ajira Ajira Ajira

    Habari! Nahitaji vijana 10 hadi 20 ambao wanajihusisha na kazi ndani ya kariakoo, kwa lugha nyepesi bila kumumunya maneno nahitaji winga wa kariakoo nifanye nao kazi ya kufanya utafiti wa bidhaa husikia ambazo mteja anahitaji kutoka kariakoo kwa bei ya jumla. Kila chimbo la bidhaa ambalo mteja...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Namna ya kukidhi matakwa ya wateja na kufanikiwa katika biashara

    Utangulizi Ili uweze kufanikiwa katika jambo lolote lile, ni lazima ufuate kanuni na taratibu zitakazokuwezesha kufika kwenye kilele cha mafanikio. Hakuna mafanikio yasiyokuwa na utaratibu au kanuni. Wafanyabiashara na wajasiriamali wengi mnaowaona wamefanikiwa katika biashara wamepitia njia...
  20. JamiiForums Tanzania AIBU: Google yawapa mitaji minono vijana wa Kenya, Rwanda, Uganda huku vijana wa Tanzania wakijadili Simba / Yanga, tunda na k vant

    Google wametoa misaada kupitia black founders programme kwa nchi za Africa kwa mitaji ya milioni 116 na milioni 230 kulingana na uhitaji wa biashara lengo likiwa ni kuzisapoti biashara zinazochipukia ili kutengeneza ajira na kuleta maendeleo. Wanufauka ni Nigeria - nafasi 23 Kenya - Nafasi 12...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…