biashara

  1. JamiiForums Tanzania Nifanye nini kuokoa biashara yangu?

    Nipo kwa hard time sana my business is about to die loooh[emoji22] Biashara ilikuwa poa tu ila kuna namna ilizidiwa na matumizi (kuna kipindi cha uhitaji mkubwa nilipitia) the same time ina mkopo nimerejeresha miezi saba kila mwezi narejesha 450k Tatizo kubwa nimeishiwa bidhaa nyingi, hii...
  2. JamiiForums Tanzania ๐™†๐™–๐™ฏ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™œ๐™ค๐™ฃ๐™ค ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ฅ๐™–๐™จ๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™ช๐™– ๐™๐™–๐™ก๐™–๐™ก๐™ž

    Matukio ni mengi sana ya wanaume kubaka au ngono isiyo salama kwa siku za hivi karibuni. Je Hizi hisia za kupiga haya matukio zina mwarobaini wake? Unaweza kukubali kwa maoni yako au ukikataa kwa kukosoa ni sawa. Mimi maoni yangu naona ni vizuri kazi ya ngono kuwa halali kupitia taasisi au...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini kampuni au biashara yako lazima inahitaji uwe na website(Tovuti)?

    Karne hii kumekuwa na watu wengi wanao shauri kuwa na tovuti/website kwa ajili ya kampuni au biashara. Sa nyingine wamekuwa wakitangaza ivo, kwa ajili ya manufaa yao binafsi. Ikiwemo kujipatia kipato kwa kupitia kutengeneza website. Lakini wanao pokea izo kazi za website wamebaki na swali...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza mboga ya kisamvu

    Habari Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k nitashukuru sana kwa mawazo yenu Asanteni
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Mafunzo ya Biashara

    Bwana Yesu Asifiwe! Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!! Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu. Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi...
  6. JamiiForums Tanzania Madanguro yaliyoboreshwa: Biashara inayokua kwa kasi

    MADANGURO YALIYOBORESHWA; BIASHARA INAYOKUA KWA KASI Anaandika, Robert Heriel Wanasema mjini mipango, hesabu akilini jasho peleka shambani. Mjini kuna biashara nyingi Sana, biashara ya umalaya, ushoga na usagaji ikiwa ni miongoni mwa kazi za Mijini. Licha ya kuwa Dini imekataza mambo hayo na...
  7. JamiiForums Tanzania Hii biashara kuuza mwili mpaka vijijini kweli maendeleo yanakuja kwa kasi

    Nimestaajabu sana nimekutana na hii hali ambayo nilikuwa naamini ni kwa ajili ya mijini. Tu aisee hii kitu kumbe mpk vijijini swekini ndani ipo watu wanauza na wapo watu wananunua kama kawaida.ila wanawake kwanini wanaaamini kuwa hili nacho bi chanzo cha mapato yao hii dhana kubadilisha inabidi...
  8. JamiiForums Tanzania Unapotaka kufanya biashara epuka kabisa madalali wa uswahilini. Kilichonikuta kimenipa funzo

    Nipo kwenye mkoa mmoja kwa muda sasa kikazi. Baada ya kukaa kufikiria kwa muda mrefu sana, nikaona ni vema nikijenga ka kibanda cha kujisitiri. Basi katika kuulizia ulizia kuna mtu mmoja alifanikisha kuniunganisha na madalali na akaniahidi kuwa ni wa uhakika katika biashara za viwanja...
  9. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya Binadamu: Raia 22 wa Kenya waokolewa Barani Asia

    Mamlaka zinasema kuwa raia 22 wameokolewa kutoka kwa Mashirika ya #BiasharaYaBinadamu huko Laos Kusini-Mashariki mwa Asia pamoja na Raia wa Uganda na Burundi katika operesheni ya kudhibiti biashara hiyo Haya yanajiri wiki kadhaa baada ya kundi jingine la Wakenya kuokolewa kutoka kwa walanguzi...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  12. JamiiForums Tanzania Biashara na mahusiano kati ya Kenya na Tanzania zimeimarika mara mbili zaidi kutoka 2020

    Napitia Takwimu kutoka kenya juu ya kuimarika kwa Biashara kati ya Tanzania na Kenya mara mbili zaidi kutoka Mwaka 2020. Takwimu kutoka nchini Kenya zinaonyesha Biashara kati ya Tanzania na Kenya zimeimarika zaidi. Thamani ya bidhaa zilizosafirishwa kutoka kenya kuja Tanzania zimepanda kwa...
  13. JamiiForums Tanzania TanTrade yajipanga zaidi maonyesho yajayo

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade Twilumba Mlelwa Amesema kuwa, maonyesho ya 46 ya Jukwaa la kimataifa la biashara Dar es Salaam DITF yalikuwa na mafanikio makubwa sana ikiwa na ongezeko la washiriki na watembeleaji ambapo jumla ya kampuni 3200 za...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kumfungulia biashara ya Salon

    Habari wana jukwaa wa jamii forums Niende kwenye mada moja kwa moja nina idea ya kumfungulia dogo salon, nina maana salon ya kiume simple tu wala sio ya gharama. Namchukulia vitu vya kawaida tu kama mashine za kunyolea mbili na vitu vidogo vidogo, kiti ataanza nacho kimoja na kochi la wateja...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Usithubutu kumpa mwanamke mtaji. Kama mke wako mpe biashara aisimamie na usimpeumiliki kwa 100%.

    Habari! Sasa tumechoka kusikia vilio vyenu enyi wanaume wenzetu. Nature ya mwanamke ni kutawaliwa, ndio maana mtawala akiwa mwanamke kwa level yoyote ile lazima ichukuliwe special issue. Binti ukimpa mtaji na akauukuza na akili yake ataikuza kuona vile ambavyo hajaviona kabla ya mtaji kukua na...
  16. JamiiForums Tanzania NHIF mmeacha lengo la msingi na kujiingiza kwenye biashara

    Mwanzoni wakati mfuko huu unaanzishwa ulikuwa unafanya vizuri sana kwasababu ulikuwa unachangiwa na Watumishi wa umma na kuwahudumia watumishi wa umma. Mfuko ulikuwa stable sana. Tatizo lilianza mlipoingiza tamaa za kuufanya kuwa mfuko wa biashara badala ya huduma. Haikupaswa taha kidogo...
  17. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watanzania wanatumia nguvu za giza katika Biashara, Ajira na Harakati za Maisha Kiujumla

    Kwenye siasa, uchawi 100% Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa. Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina na umeua...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wizara ya Kilimo-Fursa zinazotakiwa kufunguliwa ni za mazao ya biashara sio chakula

    Salamu! Mada inajieleza, Fursa zinazotakiwa kufunguliwa na ambazo nitaziona kama kipimo cha wizara ni zile za mazao ya biashara mfano pamba,kahawa,mwani na mazao ya wanyama kama ngozi ,pembe na kwato. Nadhani nimeeleweka!
  19. JamiiForums Tanzania Rostam kuingia kwenye biashara ya anga Shirika letu litapona?

    Kwa mjibu wa gazeti la The Citizen tajiri Rostam Aziz amenunua hisa nyingi za Coastal ambayo ni Kampuni inayojishughulisha na usafiri wa anga. Kwa umafia wa kibiashara wa Rostam Aziz Air Tanzania itapona kweli?! ====== Mfanyabiashara Rostam Aziz ameingia kwenye sekta ya usafiri wa anga baada...
  20. JamiiForums Tanzania Namna ya kuanzisha na kufanya biashara ya nafaka

    Ndugu zanguni naomba kueleweshwa na kupata uzoefu wa namna ya kuifanikisha biashara ya kuuza nafaka kwenye frem, mfano Michele, unga, marage, dengu nk. Naomba kuelewa 1. Risks zake 2. Faida yake 3. Mtaji wake 3. Mahali pazuri kokote tz 4. Masoko na mauzo jumla na rejareja That is all...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ