biashara

  1. JamiiForums Tanzania Biashara ni second chance?

    Kwanini biashara inakuwa nafasi ya pili? Baada ya mtu kufeli katika kazi au chochote ndo anafikiria kufanya biashara, nahisi ndomaana wengi pia wakiingia kwenye biashara wakikutana na changamoto wanakuwa wadhaifu na wepesi kukata tamaa, au kwanini labda baada ya kufeli ndotunawaza biashara?
  2. JamiiForums Tanzania Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer Swali

    Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer. Mimi; unafanya biashara gani teacher...?? Lecturer; Hahaahahhaaaaa sina biashara. Mimi; Kwanini...?? Lecturer; Unajua ukifungua biashara ukimuweka mtu mara akuibie mara ufilisike mara hivi mara vile. Mimi; Sindo...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara na TRA

    Kuna kitu sijakielewa hapa, au hakipo sawaaa, ukitaka kuanzisha biashara lazima ufuate utaratibu wa kisheria mfano lazima uwe na tin na lesseni ya biashara husika, embu fikiria unataka kuanzisha biashara ya miamala ya kipesa imezoeleka kama tigopesa ili upate line za kazi hiyo lazima uwe na...
  4. JamiiForums Tanzania Ni biashara gani naweza kufanya shuleni?

    Wakuu nafikiria ni biashara gani unaweza ifanya shuleni yaani ikawa inajulikana na wanafunzi na walimu wao Mfano sku hz wanafunz wanapewa uji shulen kuna mama mmoja nlimuona shule moja ya secondary akaomba oda ya kupeleka maandaz kwamba masufuria ya uji yakipangwa naye kaweka pemben sufuria la...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Law School of Tanzania: Imeondoka kwenye lengo la msingi na kuingia kwenye biashara /upigaji, kilichotokea ni mwangwi wa mhamo huo!

    Kimsingi Law School of Tanzania inapaswa kushughulika na kuwawezesha wanafunzi kupata ujuzi kwa vitendo ndiyo maana inaitwa LEGAL PRACTICAL TRAINING! Inalenga kuwapatia wanafunzi weledi katika utekelezaji wa majukumu yao kwa vitendo zaidi. Hawajaenda pale kushindiliwa tena elimu ya sheria kwa...
  6. JamiiForums Tanzania BRELA: Kalynda ilipewa leseni ya kuuza vifaa vya kielektroniki

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imesema leseni ya kampuni iitwayo Kalynda E-Commerce Limited iliyotolewa Juni 21, 2022 ni kwa ajili ya uuzaji wa jumla wa vifaa vya kielektroniki na mawasiliano pamoja na ufanyaji wa biashara ya kiteknolojia ya kimataifa mtandaoni. BRELA imesema...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania

    Rais wa Kenya Dkt. Ruto amesema ukweli ni kwamba Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania Hivyo tutaondoa vikwazo ili biashara ifanyike kwa uzuri zaidi Chanzo: TBC
  8. JamiiForums Tanzania Biashara ni wazo.

    Biashara bwana, najua kuna watu wanatamani mafanikio ya bakhresa au Mo au GSM au mafanikio ya tajiri yoyote yule, Husitamani mafanikio ya bakhresa, mo, gsm au yoyote aliyefanikiwa. Unajua chakutamani ni nini....?? Binafsi natamani ningekuwa na ujuzi kama MO, natamani ningekuwa na uzoefu katika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiko la gesi la biashara na mtungu wake-100,000 tu

    Linauzwa: jiko la gesi la biashara na mtungu wake-100,000 tu. Liko bunju b piga 0767 72 73 88
  10. C

    JamiiForums Tanzania Michezo inaendeleza biashara ya watu na utumwa mambo leo

    Michezo inaendeleza Biashara ya watu Kwenye michezo sahivi ni pesa kwanza, maana yake biashara, watu wanauzwa na kununuliwa kama bidhaa mithili ya ilivyokuwa kwenye zama za utumwa miaka ile. Timu zinakaa mezani kupitia viongozi wao na kujadili bei ya wachezaji kisha kulipana pesa. Hii ni...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini. #CCMImara #KaziIendelee
  12. JamiiForums Tanzania Kukuza mtaji wa biashara ya kompyuta

    Habari wakuu, Hongereni kwa majukumu ya hapa na pale nimekuja kwenu kupata mawazo na ushauri hasa katika kukuza mtaji. Biashara yangu Ni uuzaji wa laptop, desktop and accessories. Nilianza biashara hii mtandaoni kwa kuwa napost bidhaa ambazo sina mteja akihitaji naenda kumchukulia changamoto ya...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara siyo rahisi

    Nimeamini ndiyo maana wafanyabiashara huwa ninawaona wachoyo hawatoi kumi yao. Biashara ina tuvimambo fulani fulani huwezi kuvikuta kwenye kuajiriwa. Aisee,biashara si jambo jepesi, yaani kujiajiri kwa kifupi fikiria kuamka saa 9 usiku kufata samaki Feri. Halafu kupeleka uji usiku wa manane...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vitu used

    Wakuu Nina goli ninauza vitu used mfano majembe, nyundo, nyaya za umeme used, swichi used, pasi za mkaa used Na makorokoro mengine wapendwa nahitaji sapoti yenu ya hali na mali Nimeyumba kimtaji kidogo pia kama kuna mtu ana bidhaa tajwa hapo juu anaweza niuzia kwa bei nzuri pia, kama...
  15. JamiiForums Tanzania Vituo vya kujaza CNG kwenye magari vinavyotembea vitasaidia kujaza CNG kwenye magari kwenye mikoa mbalimbali

    Tahadhari ndugu msomaji andiko hili linaandikwa namimi mwenyewe ili kuwaonyesha kwamba vituo vya CNG vinavyotembea unaweza kuwa uwekezaji wa haraka sana utakao saidia watanzania kunufaika na CNG kwa katika mikoa yetu yote Tanzania. Vituo vya kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa kwenye magari...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania na Qatar watia saini hati za makubaliano kuimarisha biashara na uwekezaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Chemba ya Biashara ya Tanzania, Zanzibar na Chemba ya Biashara ya Qatar. Kwa upande wa Chemba ya Biashara ya Tanzania, mkataba ulisainiwa na Rais wa Chemba hiyo Paul...
  17. JamiiForums Tanzania Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

    Ni ukweli usiopingika kwamba sekta ya mafuta na gesi imefungua fursa kwa wawekezaji wakubwa na wadogo katika taifa letu, na kutoa mwanya kwa wale wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta hii. Sekta hii imendelea kutengeneza utajiri kwa wawekezaji mbalimbali waliojizatiti kuwekeza hasa...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kujua mawili matatu kuhusu biashara ya nafaka mpakani sirali (mpaka wa mara na kenya)

    Habari za muda huu wakuu, Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF "Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari" Mwisho wa nukuu
  20. JamiiForums Tanzania Ushawahi kufeli katika biashara?

    Watu wengi wanaanzisha biashara lakini wengi pia wanafunga biashara, sababu na shauku ya kuanzisha biashara mara nyingi ndio hiyohiyo ya kufunga biashara ila nina wazo au kanjia kadogo ambacho labda kanaweza kukusaidia. Kama umefeli katika biashara yako, swali la msingi kujiuliza nimefeli mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…