biashara

  1. JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele na maharage ;

    Habari, Mimi ni mfanyabiashara , nina duka la rejareja( fremu) na store, nipo mabibo Dar Nahitaji kununua Mchele na maharage kutoka mbeya, au tunaweza kufanya makubaliano ya kukuuzia maharage ,mchele n.k dukani kwangu Uaminifu 100% , Njoo DM Namba yangu 0788768480 Piga au tuma meseji. Asanteni
  2. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuanzisha/ kuendeleza/ kuimarisha biashara ya mikopo (kukopesha fedha) waangalie Bodaboda, ni chimbo la uhakika

    Habari JF, Nawaleteeni hii Fursa muitazame kiundani ikiwezekana ichukue ifanyie kazi. Kama una mtaji unaojitosheleza, anzisha biashara ya Microfinance (mikopo ya kifedha) Baada ya hapo anza na hili kundi la Bodaboda ambao ni wepesi sana kuleta marejesho kwa wakati. iko hivi, boda boda are...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Serikali kuanzisha Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Wataanzani wanaharibu dhana nzima ya "digital marketing"

    Leo nimesikia kitu kilichonifurahisha sana kutoka wa waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/2024 nalo ni kuja na mpango wa kuanza kukusanya Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Sijajua kwa upande wa Serikali ukiachana na kukusanya Kodi kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kuanzia tarehe 1/07/2023 hakuna kufunga biashara kwa kigezo cha mtu kukiuka taratibu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kwamba kuanzia July 01, 2023, iwe ni marufuku kwa Taasisi yoyote ya Serikali...
  5. JamiiForums Tanzania DP World yazindua jukwaa la E-commerce Tanzania na tayari wametoa fursa za kipekee za Biashara kwa wote. Tuchangamkie fursa

    Tunaposema mama anaupiga mwingi huwa hatukisii au kumsifia ili mradi tu. Mama anaupiga mwingi kweli kweli. Wewe unaelalamika, wacha ulalamishi changamkia fursa hizi. Sehemu ya watoa huduma wa kimataifa wa DP World, DUBUY.com inafungua ukanda mpya wa biashara ya kidijitali kwa Tanzania na ukanda...
  6. L

    JamiiForums Tanzania “Kuondoa hatari” ni hila ya Marekani ya kutenganisha China katika mambo ya uchumi na biashara

    Hivi karibuni, “kuondoa hatari” kumechukua nafasi ya “kutenganisha” kama neno jipya linalotumiwa zaidi na wanasiasa wa Marekani kuhusu China. Mkutano wa kilele wa Kundi la Nchi 7 (G7) uliofanyika mwezi uliopita ulitoa taarifa ikisema kuwa, nchi hizo 7 zinazoongozwa na Marekani zitajitahidi...
  7. JamiiForums Tanzania Somo kutoka Uchina, namna walivyoweza kuendeleza biashara ya Bandari

    Tusilaumiane bali tujifunze na tutoe mustakabali wa Taifa letu kwa upendo tu, naweka document ili tuendelee kujifunza.
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: Naacha chuo nijikite biashara ya sarafu mtandaoni FOREX

    Habar wakuu Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kuanzia biashara ya mabango ya 3D na 2D

  10. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu inapojitapa haifanyi biashara.. huku ikiuza Bandari zetu kwenye kampuni inayomilikiwa na serikali, hii ni sawa na kusemaje?

    DP, ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Dubai! Wakati sisi serikali yetu ikituaminisha kwamba, ni ujinga kwa serikali kujihusisha na biashara na wakati huohuo inaipa kampuni ya DP bandari zetu, ambapo ni kampuni ya kiserikali huko Dubai, Hapa imeshajulikana nani ni nani Msemo huu ndio...
  11. JamiiForums Tanzania Kifuatacho ni Kubinafsisha usafiri wa treni. Biashara za walioko Ikulu

    Tulishafahamu mapema pale yule jamaa wa National housing alipopelekwa kuwa msajili wa hazina. Eti Mchechu ndiye msajili wa hazina! Mtu asiye na ethics. Mtu aliyewekwa na Luhanjo. Luhanjo aliyemleta Katibu mkuu kiongozi mpya toka Iringa. Sasa kila mtu anahaha. Tukisema Iringa wengine...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi ni muhimu katika kukuza uchumi wa nchi yetu

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Kikwete - Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni, 2023. Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Kama...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kumbe kuna watu wanafanya biashara Dar es salaam kwa mtaji wa elfu 50 tu🙌🙌

    Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu. Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai haitoshi wanaishia kuidumbukiza kwenye starehe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wanashindwa kuendesha biashara zao pindi tu wanapoziansha?

    Kwanini vijana wengi wanashindwa kuendesha biashara zao pindi tu wanapoziansha? Ni lipi tatizo?
  15. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara

    Unapoanza biashara, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuongeza uwezekano wa mafanikio. Kuanzisha biashara ni hatua kubwa na yenye changamoto, lakini pia inaweza kuwa fursa nzuri ya kufanikiwa na kufikia malengo yako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia wakati unapoanza biashara: 1...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana tujitafute kwa kujitofautisha na wengine

    Vijana wenzangu ifike wakati sasa tuwekane wazi ya kuwa, hatuna tena mtu wa kumtegemea; sio wazazi, sio ndugu, hivyo vijana wenzangu tuamke na tukajipambanie wenyewe. Maisha ni mafupi sana kusubiri kile tunachokitaka kitufuate tulipo, tena kwa muda muafaka. Najua wengi tunatafuta ajira pia...
  17. JamiiForums Tanzania Bagamoyo sugar project ilkua biashara ya kitapeli

    Haina ubishi lile eneo ambalo Zanzibar wanadai nilao lilisharudishwa mikononi mwa Tanganyika sababu Rais wa nchi ndiye mwenye mamlaka ya ardhi ya Tanzania labda huyu waleo ajichanganye tena awape hilo eneo na zaid kwa Mara nyingine. Bagamoyo sugar project ilkua n biashara ya kijanja mbele ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kagera ni Mkoa masikini zaidi nchini Tanzania; tutaugeuza kituo cha biashara EAC

    - 51% ya wakazi wake wanatumia chini ya TZS 1,644 kwa siku ( mstari wa umasikini Tanzania ni TZS 49,320 kwa Mwezi ). - Pato la Wastani la Mtu wa Kagera ni TZS 1.2M kwa Mwaka. Mtu wa Ruvuma na Iringa ana Pato la Wastani mara 3 zaidi ya mtu wa Kagera. - Mwaka 1994 Kagera ilishika nafasi ya 12...
  19. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Afrika wakubaliana kupiga marufuku biashara ya Nguo za Mtumba

    Uamuzi huo umefikiwa na Mawaziri wa Nchi za Afrika, baada ya Mkutano wa pili uliofanyika jijini Nairobi ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA). Katibu Mkuu wa AfCFTA, Wamkele Mene, amesema uamuzi wa kuzuia biashara ya mitumba ni hatua muhimu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini biashara yako haikui? Jifunze Jinsi kampuni hii ilivyokuza mtaji kufikia mabilioni ya pesa

    Habari wana jamii forum, ni matumaini yangu mnaendelea salama baada ya mda mrefu kupita bila kushusha thread ya moto.... Leo nimependa kuzungumzia swala zima la mauzo (sales) na jinsi ya kuongeza wateja kwenye biashara, kuna msemo unasema "kufungua biashara na kuuza ni vitu viwili tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…