Hebu tuangalie kwa kina, ukoloni uliletwa na wazungu tu. Waarabu na wahindi walikuwa wafanyabishara tu.
Hoja, ninani mwenye afadhali kati ya mkoloni na mfanyabishara?
Japokuwa mkoloni alikuwa na mabaya yake kama kutesa, kushurutisha, kuaibisha na bogus treaty lakini kuna kitu cha maana aliacha...