biashara

  1. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Biashara ya China na Afrika yaimarisha uhusiano wa kibiashara na kujenga siku njema za baadaye

    Maonyesho ya Tatu ya Biashara ya China na Afrika yamemalizika hivi karibuni hapa China, ambapo bidhaa mbalimbali kutoka nchi za Afrika ikiwemo kahawa kutoka Ethiopia, maua kutoka Kenya, na bidhaa nyingine nyingi zimeendelea kupata umaarufu kwenye soko la China. Maonesho hayo yalianza mjini...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara. --- PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Business Partners wanahitajika: Biashara ya Maziwa Fresh & Mtindi

    Wanahitajika business partners wawili hadi watatu. Biashara ya kuuza Maziwa Fresh na Mtindi. Biashara itakuwa jumla na reja reja. Vyema ukiwa unaishi Dar es salaam. Mimi nitasimama upande wa upatikanaji wa mzigo hadi kuufikia mzigo Dar. Partners watasimamia usambazwaji wa mzigo Dar es salaam...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Ngoja Mimi Leo nitoe njia ambazo Mtu anaweza kupata mtaji Kwa ajili ya Kuanzisha biashara ambayo anatarajia kuifanya. wote bila Shaka Tunakubaliana kuwa watu Wengi wapo na ideas nzuri Sana za biashara ambazo kama wakiweza kuzi-finance basi baada ya miaka Kumi tungeweza kuwaita mabilionaire,Ila...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Majukwaa zaidi ya ushirikiano kati ya China na Afrika yasaidia kuongeza thamani ya biashara kati ya pande mbili

    Wakati wa maonyesho ya 3 ya kimataifa ya Uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika kati ya Juni 29 na Julai 2 mjini Changsha China, wataalamu wa uchumi walipitia takwimu za thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili, ambayo imeonekana kuongezeka kutoka Yuan Bilioni 100 kwa mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Software ya kuendesha biashara ya kukopesha pesa (Micro-credit system)

    Habari, mimi ni kijana ninaye jihusisha na kuunda software mbalimbali ikiwemo za simu(mobile apps) na webstite. Katika kazi zangu zilizopita, nilipata fursa ya kufanya kazi katika kampuni ya kuunda software mablimbali, ikiwemo sotware ya micro-credit. Katika kufanya kazi kwangu, niliona...
  7. JamiiForums Tanzania Ijue biashara ya vitenge kutoka Kigoma. Fahamu namna ya kutambua Java na Wax feki utajirike

    Watu wengi hawajui kwanini biashara ya vitenge hutokea Kigoma, pia wengi hawafahamu wapi watapata Vitenge halisi na original, post hii yenye urefu itakufungua zaidi ili uweze kufahamu kwanini sisi watu wa Kigoma tunahusishwa na biashara ya vazi la Vitenge. Nifuate kwa umakini mimi mkali wako...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni ubunifu. Mafundi wa kazi kama hii wanapatikana Dar es salaam?

    Habari zenu ndugu zangu. NATAFUTA FUNDI ! Nimepata bahati ya kusafiri Asia na nikakutana na ubunifu huu (picha hapo chini). Wenzetu bajaji zao sio za kusafirishia abiria tu, ila wana zi design kitofauti na kufanya nazo biashara zingine. Mtu anachukua bajaji ya kawaida, anaondoa siti za nyuma...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Ashiriki Kongamano la Uhamasishaji Biashara Kati ya China & Afrika Nchini China

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI KATIKA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI BIASHARA KATI YA CHINA & AFRIKA AMBALO LIMEFANYIKA NCHINI CHINA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu K. Kijaji (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Bi. Rossella Lyu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Greenchain ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuishtaki kampuni iliyotoa tangazo la biashara ukiwamo na wewe bila ridhaa yako?

    Salamu wana jamvi! Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana? Natanguliza shukrani!
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya Utumwa:Mfalme wa Udachi aomba radhi.

    Mfalme wa Udachi (Netherlands) ameomba radhi kutokana na nchi hiyo kupata faida kubwa iliyotokana na biashara ya kuuza watu mnamo karne ya 17. Katika hotuba yake kwa taifa kuadhimisha miaka 160 tangu kupigwa marufuku kwa biashara hiyo, mfalme Willem-Alexander akiambatana na mkewe bi Maxima...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta frem nzuri iliyo eneo zuri kwa biashara ya juisi za matunda

    Habari wakuu,natafuta frem kwaajili ya kuweka biashara ya juisi ya matunda ,na location ikiwa nzuri kwa uuzaji wa juisi ya matunda itakuwa vizuri zaidi. pm kwa mawasiliano zaidi
  13. C

    JamiiForums Tanzania Milioni tano naweza pata wazo gani la kufungua biashara

    Habari za Leo ndugu zangu, vijana wenzangu? Natumaini Mungu anaendelea kutupigania katika mapito yetu ya kila siku. Nimekaa natafakari sana Hili wazo: Kwamba Kwa umoja wetu, kupitia mikakati sahihi, tunaweza kabisa kuondokana na Hali ya UMASIKINI, utegemezi na janga la ukosefu wa ajira...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tangaza biashara yako kwenye mji wako kwa sauti (audio advertising) kwa shilingi mia tano tu

    Tangaza biashara au tangazo lolote halali la sauti lisilozidi dakika moja kwa shilingi 500 tu. Rekodi tangazo lako kwa simu au njia nyingine na uweke namba za mawasiliano kwa kuzirudia mara tatu. Taja mji unapotaka tangazo lisikike. Tunatumia mobile loud speakers kutangaza. Pm au tuma ujumbe...
  15. JamiiForums Tanzania Maboresho Mwongozo biashara ya Kaboni yaiva

    Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imeanza kufanyia maboresho Kanuni na Mwongozo wa Biashara ya Kaboni za mwaka 2022 ili ziweze kuwatambua na kuwanufaisha wakulima na wafugaji nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (...
  16. JamiiForums Tanzania Game station business: Naomba taarifa kuhusu hii biashara

    Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara. Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo magame ambao ni vijana (toto za kishua na waliorizika flani) Kwa circle yangu ya maisha Sina mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Siku tukiacha kuchagua Wabunge Wafanyabiashara tutaona Mapinduzi Makubwa ya Bunge

    Amini usiamini hili bunge letu ni la Wafanya Biashara siyo Bunge la wananchi. Asilimia 80 ni Wafanya Biashara wakubwa and not start ups. Mfanya Biashara ni mtu ambaye all the time anawaza cash flow kwenye business zake. Always thinking ways to maintain his/her wealth... At the same time mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania tumekopa kwa shughuli binafsi zaidi kuliko kwa ajili ya biashara na kilimo

  19. JamiiForums Tanzania Kwa waliofanikiwa kutembea, mji upi kati ya ifuatayo ina fursa mbalimbali za biashara?

    Huu uzi ni kwa ajili ya waliofika na kutembea miji Ifuatayo, je ni mji upi unafaa kwa ajili ya kuishi na kufanya maisha? Kigoma manispaa, Kilwa-Lindi, Rufiji-Pwani, Chemba-Dodoma, Meru-Arusha kwa waliofika Maeneo hayo je ni mji upi una fursa ya kufanya maisha kwa mtaji wa kuanzia million 10?
  20. JamiiForums Tanzania Maafisa Biashara Nchini watakiwa kuonesha matokeo chanya

    Ujumbe huo umetolewa alisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka wakati akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mara kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya Maafisa Biashara kutoka mikoa 10. Maafisa walioshiriki katika mafunzo hayo ni kutoka mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…