Naona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani.
Aidha itasaidia sana katika uandaaji wa mikataba kati ya Tanzania na DP world ili maslahi ya Taifa yaweze kuonekana wazi ikiwa ni pamoja na...
Habari za siku wadau wa JF,
Moja kwa moja kwenye mada,
Katika pita zangu huko mtandaoni katika masoko mtandao kama AliExpress na Alibaba nimekutana na hii bidhaa, bidhaa nauhitaji nayo lakini namna na taratibu za kuiagiza ndio naona kipengele ukizingatia ni mara ya kwanza kwenye hizi mambo za...
Wana jukwaa habari zenu!
Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho nimekiona ktk ka utafiti kangu kadogo kuhusu biashara nyingi za maduka ya nguo na saloon ama za kiume au za kike kufa kifo Cha mende.(hasa kwa maeneo ambayo yapo pembezoni mwa mji)
Nimekuja kugundua watanzania walio wengi...
Habari wana Jamii Forum,
Je, bado unarekodi taarifa za biashara kwenye daftari?
Mimi ni freelance Book-Keeper mwenye uzoefu wa Zaidi ya miaka 5 na mhitimu wa Chuo cha Ifm kwa degree ya Accounting. Ni binti mchapakazi na ninaethamini kazi za watu wengine.
Natoa huduma zifuatazo kwa biashara...
Biashara is a hard game, very risk. Kuanzia usimamizi unahitaji ulinzi, wafanyakazi wote wanahitaji ULINZI ili wafanye kazi.
Uli usiibiwe unahitaji ulinzi.
Mapato na matumizi unahitaji ulizni hasa. Al in all tafuta mfumo thabiti wa kulinda biashara ikue na ikuletee faida.
Habarini Wana JF,,
Kama kichwa kunavyosem natak niwekeze io sekta nitafute vijana wapige kazi. je faida yake ipoje na changamoto zake. nahitaj ushaur kwa wenye kuijua hii biashara.
@everyone
Biashara maana yake muuzaji anafurahi kuuza bidhaa yake huku akiweka kibindoni faida yake, while mteja akifurahia bidhaa ya thamani halisi.
Kama mbele ya safari mteja akigundua kuwa ameuziwa bidhaa bandia au isiyo thamani halisi ya pesa yake hali hiyo tutaiita utapeli. Na huo utapeli ndio...
Habari! Ndugu wana JamiiForums, ni matumaini yangu kuwa sote tu bukheri wa afya. Leo hii ninapenda kuwashirikisha katika uzi huu unaoangazia tathimini yenye madhumuni ya kuibua njia madhubuti ambazo zinaweza kuchochea matokeo chanya katika shughuli mbalimbali za biashara kwa maendeleo ya taifa...
Habari za Muda huu wakuu,
Wengi wameandika kuhusu AI, ila na mimi ningependa kutia neno kidogo lakini katika angle ya baishara, kama title inavosema "Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide, kwa tafsi isiyo rasmi sana "Kufungua Uwezo wa Biashara...
Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga...
Salaam wadau.
Leo ningependa kuelezea jinsi gani uchumi wa nchi unavyo/takavyoathiriwa na biashara ya bodaboda.
Biashara hii inayokua kwa kasi kila uchao imekua ni kimbilio la vijana wengi wanaotafuta maisha hasa kutokana na ukweli kua ni biashara rahisi isiyohitaji mtaji na nguvu kazi kubwa...
Habari wakuu, naombeni ushauri, mawazo na msaada wa kupata soko kwenye biashara ya mchele. Natoa mchele wilaya mpya ya songwe, mchele ni mzuri sana.
Aliye na uhitaji nao tufanye biashara wakuu tuinuane.
Ahsanteni na Karibuni.
Mkurugenzi Mkuu wa kituo Kituo Cha Kisasa Cha Biashara Afrika Mashariki Cathy Wang akizungumza kwenye maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam amesema kituo hicho kinatarajiwa kufunguliwa mwezi June mwakani...
Rafiki yangu, kama ulikuwa hujui, au ulikuwa unajifanya hujui basi wacha nikujuze. Hii Ndio Biashara sasa na huyu ndio mfanyabiashara wa kweli.
Kuhusu Faida
Biashara ya kweli ni biashara inayokupa faida ya kutosha kumudu maisha yako, kukuza biashara na kuweka akiba. Kama Biashara yako...
Specification ya lenovo Laptop
Window 10 pro,
Processor core i5,
Hard disk,
Storage 300GB,
Ram 8GB
Hali yake ni imara na charger inadumu kwa masaa mengi nicheck 0624000771
Wakuu salaam
Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha biashara ya kununua FUSO zima la viazi vya chips / viazi ulaya/ viazi mviringo, Njombe na kuja kuuza Dodoma
Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu au amewahi kufanya hii biashara atoe uzoefu wake
Hasa kwenye mambo ya soko kwenye kununua na kuuza
Wadau,
Nahitaji sehemu/kiwanja kilichotizamana na barabara kwaajili ya kuweka kontainer la biashara.
Iwe Bagamoyo road kuanzia Tegeta mpaka Mapinga Bagamoyo. Iwe na mkusanyiko wa watu na huduma ya maji na umeme viwe karibu.