biashara

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa DP World ni biashara za wachache CCM, ushahidi huu hapa

    Mpaka sasa ukiusoma mchezo unagundua suala la DP World ni la Chongolo na baadhi ya watu wake na sio dili la CCM kwa ujumla wake, mfano mdogo ni ziara ya Kinana tangu ameanza mikutano Rufiji, akaenda Kondoa na sasa yuko Manyara sijamsikia akipigia debe suala la mkataba wa bandari. Ndani ya CCM...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu

    Elimu Biashara: Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu Kwasasa kuajiriwa kwa wahitimu wa kozi za ualimu ni changamoto iliyo kosa dawa katika maeneo mengi ulimwenguni. Hali hii imenifanya niandike huu uzi kwaajili ya wahitimu wa kozi za ualimu ili kupata njia mbadala za kujiajiri ili...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya usafirishaji makaa ya mawe

    Habari wakuu, naombeni msaada na ushauri juu ya biashara ya kusafirisha makaa ya mawe. Nataka kununua gari ili nianze usafirishaji wa makaa ya mawe. Natanguliza shukrani kwa wote watakao changia mada hii.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara Kariakoo

    Wakuu kwema? Poleni na majukumu leo Mimi nilienda Kariakoo japo mimi ni mgeni hapa dar nazunguka hivyo hivyo kwa kuulizia. Nilikuwa naomba ushauri nilikuwa Nina wazo la kuuza mayai ya chemsha kariakoo kwa kuzungusha je Kuna kibali cha kuniruhusu au naweza fanya bila shida Kama hao wanaouza...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaofanya Biashara ya Manukato (Perfumes) za Kupima...

    Naamini humu sitokosa mtu anaefanya hii biashara kama si mfanya hii biashara ila ana idea na elimu au taarifa kuhusu hii biashara. Ni moja ya biashara ambayo nimechagua kuifanya kwa ukubwa sana huu mwaka Ndani ya biashara yangu Flani hivi. Naombeni muongozo wa namna naweza ianzisha sijui...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania

    Mada: Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania Mwandishi: MwlRCT Utangulizi Biashara za mtandaoni ni biashara zinazotumia intaneti kuuza au kununua bidhaa au huduma. Biashara hizi zinaweza kuwa za aina mbalimbali, kama vile: Kuuza bidhaa za kimwili au za kidijitali...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya Majeneza na kutosha maiti

    Ndugu wateja tumefungua BRIGHT CANDLES FUNERAL SERVICES Sinza karibu na Kitambaa cheupe bar. Gari kali Mercedes Benz c200, 220, Jeep Grand Cherokee, Land rover Discovery 4, Alphard, Noah na Coaster full AC kwa ajili ya waombolezaji (Kwa idadi yao). 1. Jeneza la kisasa (pamoja na suti ya...
  8. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Tsh. Million 15, nahitaji muongozo

    Mimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme. Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo mazuri ya kuchukulia mzigo Kwa dar, na location ya office za usafirishaji). Kwa anaye jua A to Z juu...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kupata Leseni ya Biashara Manispaa ya Temeke ni Biashara pia ya watu, lazima utoe rushwa ndio upate huduma

    Upatikanaji wa leseni za biashara katika manispaa ya Temeke umekuwa ni biashara kwa waliopewa majukumu hayo. Kumekuwa na utengenezaji mkubwa wa mazingira ya rushwa ambao upo wazi kabisa na bila kutoa rushwa huwezi kupata leseni ya biashara bila kujali ni kuomba kwa mara ya kwanza au kurenew...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa

    Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo Chini ya Umri wa miaka 25 Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri ...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa logo ya jina la biashara

    Salamu wakuu, Najikongoja kuamka baada ya kupata anguko na ajali pia,nimeregister jina la baishara BRELA (wazawa general supplies limited). Naomba msaada kwa mdau yoyote kunisaidia kutengeneza logo wakuu. WhatsApp number 0742666736 kwa mawasialiano zaidi. Shukrani sana, Mungu awabariki!
  12. JamiiForums Tanzania Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

    Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana. Mfano ukifungua duka la accecories za simu Dodoma/Arusha, kukua kibiashara ni rahisi kuliko kufungua duka kama hilo Dar es Salam. Watu wengi kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Delivery

    Changamoto za biashara ya Delivery Ni zipi?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye kuanzia leo july,august,september,november ,december na january?

    Kutokana na kuwa na wimbi la kila organisation kuweka system zao ONLINE. Je kwa uhitaji huu wa mambo ya online mfano kuhakiki vyeti,passport,vyeti,leseni,police fine, na mambo mengi tu. Unanishairi nifanye kitu gani na miki niingize mia miambili? Nifanye biashara gani? Itakayo nilipa? Niko mbagala
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya movies na jinsi ya kufuatilia

    Habari wadau, Nimuda sasa nimekua na wazo la kuanzisha biashara ya kuuza movies mbalimbali ambazo nitakua nimeserve kwenye server fulani. Tatizo mimi ni muajiliwa na sintokua na muda wa kuifuatilia kwamba kwa siku zimezwa movies ngapi kwa kunyonywa kutoka kwenye computer Naomba wadau kama kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani?

    Mtaji wa milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani kwa mji wa Dodoma. Naombeni mawazo yenu wakuu.
  18. JamiiForums Tanzania Mwajiriwa nataka nifungue biashara ya ps, mchanganuo wangu huu hapa, naombani mnirekebishe na kunipa ushauri

    Habari zenu, Nimechoka kusubiri mshahara wa kila mwezi nimeona nijiongeze, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya Ps nipo Mbeya. naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine MCHANGANUO WANGU MTAJI WA KUANZIA PS4 nne zenye games 2,500,000 tv nne 1,500,000 pad...
  19. JamiiForums Tanzania Kununua shati Kariakoo kidogo nigeuzwe mwizi

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Wiki iliyoisha nilikuwa na mtoko wa kuelekea mahali fulani,nikasema siwezi kwenda huko bila kutupia mitupio ya Ki-Jentromeni,nikaona isiwe tabu nielekee Kariakoo ambako ningepata mavazi mazuri kwa bei nzuri iliyoendana na bajeti yangu. Sasa nilipofika...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa

    Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa Kwa duka la vyakula Yaan vitu vya nyumban na mitandao Ya Pesa Frames Location mkoani ,Mtaji 3.5M Nipate Picha wa mchanganuo wa bidhaa Kwa Mtaji huo wa 3.5M ukiondoa shelfu Zipo,mizani ,meza,kiti na Frizer ziko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…