Kuna ka namna unajifungia unasoma , unatafuta hela kwa fujo , ila kuna kitu unakikosa kama haunywi pombe😅
Hapa nimetoka kusoma kwa fujo siku tatu mfululizo , ila now nimeona nichomoe pombe kenye friji najiona sasa nimeitawala dunia yote🤣
Katika maisha yako wewe kama ni kiumbe mwenye akili...