Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.
Build to rent ni mikopo kwa wajasiliamali wa kupangisha nyumba. Hitaji la nyumba mijini ni kubwa sana. Chumba chenye ceiling board, ndani ya nyumba yenye umeme na maji kinafika 70-90,000 mjini Dar.
Kiwanja katika sehemu unayoweza kuoangisha chumba 80,000 kinaweza kukugharimu milioni 10-15...
Habarini!
Najua kuna kila aina ya wataalamu humu. Nauliza kuna uwezekano wa kuongeza makato yako benki ikiwa mdaiwa umeamua hivyo? Yaani labda ulikuwa unakatwa 200,000 kwa mwezi, sasa umepanda daraja labda na unataka kilichoongezeka kiende ktk makato yako ili umalize haraka deni (ukatwe...
Hakuna asiependa pesa (Hapo sasa nimekuwa semaji la binadamu wote), na kama yupo basi ana raha sana. Tutakubaliana pia, hakuna asiependa njia za mkato (shortcuts) za kurahisisha mambo. Njia mojawapo ya mkato ni kutumia uchawi kupata kile unachokitaka.... nimekua katika jamii ambayo inaamini ili...
The World Bank has approved financial support to Ukraine worth $1bn (£770m) to help keep critical services running as the country fights a fresh assault by Russia in Vladimir Putin’s ongoing war.
The bank said the funds would be used to support the continuation of key government services...
Serikali imeeleza kuwa ongezeko la matumizi ya miamla ya fedha kwa njia ya simu imewapa wazo la kutunga sheria kutambua njia hizo zitambulike ikiwezekana kwa kuangalia uchumi wa mtu na itumike kama dhamana wakati wa kukopa benki.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape...
Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa Instagram
PART 1. Chama changu pendwa, chama bora hakijapata tokea tangu dunia iumbwe. Naomba mnisaidie kwenye hii vita polisi waliyonayo na mimi.
Nimeona niwaombe msaada huku kwa social media maana sina namba zenu za kuwapata, otherwise...
Habari!
Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct.
Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva.
Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
Habari JF?
Naomba tufahamishane kuhusu hili suala?
Mfano nimekopa Sh laki 5 pale NMB branch Ya Igoma, baadae nikashindwa kurejesha mkopo wao wakaja wakabeba dhamana.
Je, Taarifa zangu za kushindwa kurejesha mkopo zitapelekwa kwenye system za benki nyingine za Biashara Tanzania ili nikienda...
Hii ni baada ya wafanyi kazi wake Warusi kutishiwa waondoke kwenye mataifa yote ya Uropa, na pia kususiwa kwa biashara zote zenye asili ya Urusi.
Putin alikua amesubiriwa muda mrefu aingie kwenye kumi nane, Warusi wanateseka kote nje na ndani kwa ajili yake na muda usio mrefu watamgeukia, Urusi...
Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa wakishindana kudhibiti vikwazo kutoka kwa vikwazo vya Magharibi.
Moscow pia imeamuru makampuni...
Habari wakuu naweza kupata mkopo bank dhamana ikiwa pesa zilizokuwepo kwenye account yangu?
Mfano, kwenye account Nina million 40 nataka kununua Guta nifanyie biashara hivyo sitaki kushusha salio la balance yangu iliyokuwepo kwenye account hivyo Sasa nataka kukopa milion 4. Je inawezekana?
Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.
Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;
AWAMU YA 6 KAZINI
Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma (KM 112.3)
Benki kufadhili zaidi ya miradi 11 ya sekta...
Tunaziomba Benki kuweka utaratibu uliokuwa bora na sahihi kwenye ATM asa kwa watu ambao watasaidia kuwaelekeza watu ambao hawana uelewa mpana wa matumizi ya ATM.
Nayasema haya kwa maana juzi juzi tu hapa kuna mzee aliingia ATM kutoa ela ila baada ya kuchelewa kutoka kuna kijana alijitokeza...
Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha.
Sasa yale yalioisha hayana wateja kabisa, yale yaliyokuwa...
Tulisha zoea kuwa mtu akiweka fedha bank zinawekewa Riba itokanayo na Bank kufanyia biashara hizo fedha kama kukopesha, bonds nk ambapo hiyo faida pia ndio hutumika kuendeshea Bank. Kwa maana hiyo fedha za mteja hubakia kama zilivyokuwa au pengine kuongezeka kidogo;
Kwa sasa naona hali ni...
Nimekuwa nikifuatilia hizi huduma
Ni ukweli kuwa, kuna watu wengi wamehamia kufanya huduma zao kwa wakala hasa walioko kwenye bank yetu pendwa na kuacha kabisa kwenda Bank na hata kama wakala yupo mlangoni mwa bank.
Nafikiri Bank inatakiwa KUJITADHMINI HUDUMA ZAKE na sio kuacha kutoa gawio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.