bei ya mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    “Leo Imepanda, Kesho Imeshuka, Kesho Kutwa Imepanda Tena” — Serikali Inachezea Akili ya Mwanaichi Kwa Bei ya Mafuta?

    Mwanaichi wa kawaida Kenya amebaki confused na hii mchezo ya fuel prices. Last month tu serikali ilitangaza bei ya mafuta imepanda vibaya, wananchi wakalalamika, pressure ikaongezeka online na kwa ground, then ghafla prices zikashushwa kidogo kama “relief.” Sasa barely a month later, boom...
  2. Stuxnet

    EWURA hawazalishi chochote ila kazi yao kupanga bei ya mafuta. Ifutwe kama tulivyofuta SSRA

    NB: Table hii haihusiani na bei mpya iliyotangazwa leo. Imetumika tu kujenga hoja. Jumla ya tozo ambazo zipo kwenye bidhaa ya mafuta ya Petrol na Dizeli kwa kila lita moja ni kama 30% ya bei. Serikali iiangalie namna ya kupunguza tozo hizi hata kwa 50%. Nchi kadhaa za Afrika kama Namibia...
  3. K

    Njia rahisi ya Kupunguza bei ya mafuta

    Njia rahisi sana ya kupunguza bei ya mafuta kwa wenye akili watanielewa Mfano Kodi zote ni 31% ya bei ya mafuta Ths 3500 kwa lita kodi zote ni Tsh 1,085 Mfano sasa bei ni Tsh 4500 kodi ni Tsh 1,395 Serikali ikisema tu kwamba badala ya kukusanya kodi kwa 31% tukusanye kwa kiasi kabla ya vita...
  4. C

    Bei ya Mafuta kupanda kuanzia 05. Mei 26 (5,000@litre-Petrol)

    Wenye vituo vya mafuta wanachekea chooni. Kila mtu ashinde mechi zake.
  5. Mad Max

    Bei ya Mafuta Nchi Mbalimbali Mwezi April: Libya Tsh 61/= wakati Malawi Tsh 9,995=

    Kuna list ya bei mbalimbali za Petrol Duniani. Kuanzia bei ndogo kabisa hadi bei kubwa. Unaweza kuangalia hapa baadhi:
  6. O

    Fuel Prices Drop , Relief ama Serikali PR Tu?

    Wakenya wamepata good news kidogo baada ya Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) kutangaza kushuka kwa bei ya mafuta kuanzia April 16 hadi May 14, 2026. Kulingana na taarifa, bei ya Super Petrol imeshuka kwa KSh 9.37 per litre na Diesel kwa KSh 10.21 per litre ndani ya Nairobi. Hii...
  7. R

    Rais wa Nigeria, Bola Tinubu: Bei ya mafuta inaumiza sana, tushukuru Mungu tuna nafuu kuliko wenzetu Kenya na nchi zingine Afrika

    Wakuu, Naona sasa ni mwendo wa kumuonea mnyonge, yaani viongozi wa Afrika sasa wameona hii ndo njia ya kujitetea kwa wananchi wao kwa kushindwa kuwajibika kwenye hili janga la mafuta Juzi tu Kizimkazi alitoka kulinganisha Tanzania na bei ya mafuta Marekani na Ulaya hadi akapenyezewa --------...
  8. R

    Nchi ya Rushwa hii, Nchi ya kitu kidogo hii, hata Hormuz ikifunguliwa mafuta yaka flow kawaida bei ya Mafuta hapa Tz haitashuka

    Mtakuja kuniambia. Time will tell! Nchi hii ya kijambazi, majizi , wala Rushwa hata Hormuz ikifunguliwa to 100 % functional to let tankers sail through, na bei ya dunia ikashukakuwa kama mwanzo, HAPA BEI YA MAFUTA HAITASHUKA. Akina Msoga and Co. Ltd, ndipo sasa wanakuwa trillionaires!
  9. Dalton Elijah

    TASAC yaanza tathmini ya athari za bei ya mafuta kwa nauli za usafiri wa majini

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetangaza kuanza kwa tathmini ya athari za ongezeko la bei ya mafuta katika sekta ya usafiri wa majini, hatua inayolenga kubaini kama kuna haja ya kurekebisha nauli za abiria. Tathmini hii imechochewa na mabadiliko ya bei elekezi za mafuta yaliyoanza...
  10. K

    Viongozi fake ! Hata bei ya mafuta ya Dunia hawajui eti Dr 🤦🏾‍♂️

    Tunakuwa na viongozi fake ambao hata bei ya mafuta hawawezi kupiga mahesabu madogo na kujua. Leo ndiyo watuwakilishe kwenye mikataba ya bandari na mafuta. Wamejaza machawa vilaza nchi nzima🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️ mapinduzi ni lazima hapa
  11. Waufukweni

    LATRA: Kupanda kwa bei ya Mafuta sasa, hakuathiri Nauli

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafirishaji Ardhini (LATRA), Habibu Suluo, amesema kuwa kupanda kwa bei ya Mafuta ya sasa haiathiri nauli hivyo nauli zitaendelea kubaki vile vile. Suluo ameongeza kuwa nauli zinaweza kupandishwa ikiwa bei ya Mafuta itapanda kwa kiwango kikubwa...
  12. R

    Rais Samia: Bei ya mafuta Marekani na Ulaya ni Dola 800 na Euro 400/600 lita 1, Sisi tuko vizuri, tuna uhakika wa miezi 3

    Akizungumza Aprili 8, 2026 katika hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, Rais Samia ametoa mchanganuo wa bei za mafuta kwa mataifa ya Ulaya na Marekani, akieleza kwa Tanzania ni nafuu na bado kuna uhakika wa Mafuta kwa miezi mitatu. Soma pia Rais Samia: Naanza...
  13. Waufukweni

    Rais Samia: Bei ya Mafuta nchini ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingine, Wananchi muwe watulivu

    Rais Samia amedai kuwa bei ya Mafuta nchini ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingine licha ya kupunguza ushuru, wananchi muwe watulivu hili jambo halijasababishwa na Serikali yetu.
  14. PAYE

    Bei ya mafuta duniani yashuka baada ya sitisho la Vita

    Bei ya mafuta duniani imepungua kwa kiasi kikubwa kufuatia tangazo la Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda wa wiki mbili. Mapema Jumanne, pipa moja la mafuta katika soko la kimataifa lilikuwa likiuzwa kwa dola 103.42, huku mafuta ya Marekani...
  15. R

    Heche: Ma-cartel wamejimilikisha uchumi wa nchi yetu, kampuni moja ina ubia na watu walioko serikalini ilipewa tenda kuagiza mafuta na kusimamia bei

    Akizungumza na Vyombo vy habari leo Aprili 6, 2026 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokraisa na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema kuna ma- caretel (Kundi la wafanyabiashara) ambao wanajimilikisha uchumi wa Tanzania, akidai kuna taarifa wanazofuatilia kuwepo kwa kampuni moja yenye ukaribu...
  16. MakinikiA

    Mbunge asiyejitambua anasimama ansema serikali imeongeza kidogo tu bei ya mafuta

    Habari wandugu, Hawa jamaa sijui upeo wao upoje,badala ya kukaa na kutafuta solution wanasema serikali imeongeza bei kidogo kuliko wengine ,nilitegemea watajadili inflation inayokuja au endapo mafuta yamekosekana kabisa watafanya nini,ni muda mchache tu utafika wimbo wa ukosefu wa mafuta utaanza...
  17. mrangi

    Mwamba anakokotoa bei ya mafuta

    Hebu tumsikilize Mshana Jr RRONDO Extrovert King Kong III Ova
  18. complex31

    Je ni kweli wamiliki wa Daladala/ Madereva “wamePaki” gari hizo kutokana na bei ya mafuta kuongezeka?

    Kwa takribani siku ya tatu leo Daladala kwa route ya Tegeta - Posta/ Kariakoo, Bunju - Morocco daladala zimezidi kua chache kulinganisha na siku za huko nyuma Abiria wamekua ni wengi kwenye vitu vya abiria njia ya Bunju - Posta/ Kariakoo. Mbali na hivo usafiri wa Bajaj pia umekua na ongezeko la...
  19. sitagliptin

    Je, ni kweli bei ya mafuta Zanzibar iko chini kuliko huku Bara?

    Naomba kujua sio kwa ubaya pia kwanini Tanzania bara na Zanzibar bei ya mafuta zinapishana sana? Bei ya Tanzania 4000 lakini Zanzibar ni 2900. Sisi ni nchi moja ila kwann tunatofaut kubwa sana hapa. Kwanini mamlaka zetu wajifunze kwa wenzetu?
  20. R

    Mbunge Jackson Kiswaga: Watanzania mkubali Serikali imeongeza bei za Mafuta kidogo. Punguzeni mambo ya Mitandao, hayana maana

    Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
Back
Top Bottom