Hafla ya kuanzisha basi No.8 linaloonyesha Opera ya Guangdong ilifanyika tarehe 8 Juni kwenye jumba la makumbusho ya sanaa ya Opera ya Guangdong mjini Guangzhou, China.
Kwenye hafla hiyo, basi No.8 lenye historia ya miaka 70 limepambwa upya na kuwa jukwaa linalohamahama la kuonyesha Opera ya...