Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umakamo wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.
Barua FEKI, haina hata sifa za kuitwa ni barua ya Makamu wa rais
Nimedokezwa mbinu yao ni ile ile waliyotumia kwa Ndugai. Wamewatumia akina Ayo, Kitenge, na wote wanaosambaza habari kwa malipo ili ionekane ni barua halali. Wanachohakikisha ni kwamba Nchimbi hapati nafasi ya kuzungumza jukwaani...
Nadhani kuisambaza barua ambayo Haina baraka za serikali au ushahidi wa matamshi wa mhusika (aliyejuhudhuru) ni kosa kisheria.
Mambo serikalini hayaendi kwa kukurupuka juzi tu hapa tulisikia account ya VP ime - hacked zaidi ya mara 50 halafu Leo hii mtu anaamini upesi kiasi hiki, lazima watu...
Huko ndani kuko kimyaaa, licha ya kwamba kuna chemka.
Rais hajaandika chichote kwenye kurasa zake rasmi mtandaoni.
Website ya Ikulu haijatangaza kuhusu kupokea kwa barua ya kujiuzulu ndugu john nchimbi.
Msemaji Mkuu wa serikali naye yuko kimyaaaaa.
Je ndugu john nchimbi ameamua kutuandikia...
Utake usitake barua yako ya kujiuzulu itakuwa hadharani.
Hayati Spika Ndugai, Makamu wa Rais mstaafu Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu wa CCM mstaafu Daniel Chongolo wote walijiuzulu kwa barua.
Anayefata atakuwa nani?
Ikiwa ni kweli kuhusiana na hizi taarifa kuhusu kujiuzulu kwa makamu wa Rais Dkt. Nchimbi, mtu anayefaa kwa uzoefu na uwezo alionao kupewa nafasi hiyo naona Dkt. Migiro, katibu Mkuu wa CCM kwa maslahi mapana ya Taifa.
Watanzania tuache tabia ya kusoma vichwa vya habari tu tuwe tunasoma kilichomo ndani huu uvivu wa kutokusoma in detail ndo kunasababisha uwepo wa upotoshaji mkubwa kama huu unaoendelea mitandaoni kwa sasa.
Ukiisoma barua kwa ndani unaona kabisa inajikanyagakanyaga sana haipo straight forward...
Miaka kadhaa wakati nikiwa kijana kuna mambo ambayo kwa kweli yalinitatiza sana , rafiki yangu mmoja ambaye ni rafikk zangu sana alikuwa na kitabu nilikipenda sana kile kitabu
Nikamwomba kitabu hicho, kile kitabu nilisoma na kukimaliza kwa kweli kilinifanya kufikiri sana juu ya maisha yangu...
Mfumo wa anuani za makazi (NaPA) una changamoto katika mchakato wa kuomba barua ya utambulisho. Tangu wiki iliyopita mfumo huo haujafanya kazi; kila unapojaza taarifa unaambiwa kuwa kuna hitilafu imetokea.
Pia, namba za msaada zinazotolewa hazipatikani, hali inayowafanya waombaji kushindwa...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA DKT. NASRA NASSOR
Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Yah: Ombi la Kupata Ufafanuzi Kuhusu Maendeleo ya Utekelezaji wa Sheria ya Baraza la Wataalamu wa Kemia (Chemist Professionals Council)
Mheshimiwa Dkt. Nasra Nassor,
Kwa heshima, naomba nianze kwa...
Habar za mda huu wadau,
Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa,
Ikawa kimya miezi nikaamua kwenda halmashaur kuulizia chenga zikawa nyingi saana hatimaye mwsho wa siku ps...
Barua ya wazi kwa Sheikh Walid
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh,
Sheikh Walid, kwanza napenda kukufikishia pole zangu za dhati kwa mitihani na changamoto ambazo umekutana nazo katika kipindi hiki. Tunamuomba Mwenyezi Mungu akupe subira, nguvu na hekima katika kukabiliana na kila...
Nyie vijana mtambue kuwa hakuna umri wa mafanikio, mimi ni kati ya vijana nilianza kufanikiwa nikiwa na miaka 33 , yani hapo kwa umri huo buku sina , nilichokua nacho ni mind setting na akili ya pesa tu .
Leo hii nikifilisika kabisa nikawa na 50 elfu tu , nitampita ambae anajiona yupo...
Toka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty...
Kumbe I was wrong, sikujua how maandishi ya mtu hurelfect maisha halisi ya mtu husika hasa subconsciously... Ndipo nilipo kuja...
National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao walizoweka hazipatikani, kuna moja inapatikana mara moja moja na ikipatikana haipokelewi.
Anonymous
Thread
baruabarua ya utambulisho
heslb
inagoma
kuendelea
kutafuta
makazi
maombi
mfumo
mkopo
utambulisho
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amethibitisha kuwa ujio wa ofisi hiyo katika Makao Makuu ya CHADEMA leo Jumatatu, Juni 1, 2026, ulikuwa na agenda moja tu ya kisheria inayohusu uundaji wa sera na madawati ya jinsia, huku akigoma katakata kujibu maswali ya wanahabari kuhusu...
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amewataka Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi kuacha kuzuia barua za uhamisho wa watumishi wa umma, akieleza kuwa kufanya hivyo ni kosa linalokiuka taratibu za utumishi wa umma, amesungumza hayo Mei 26, 2026...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao.
Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao.
Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
Anonymous
Thread
barua
binafsi
chuki
kuficha
kuhamisha
mabaya
manispaa
matumizi
matumizi mabaya
mkurugenzi
ofisi
ofisi ya rais
ofisi ya rais utumishi
or tamisemi
rais
shinyanga
tamisemi
uhamisho
utumishi
zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.