Ninaiweka barua hii hapa nikiamini itamfikia mlengwa, Nabii David Richard anayehudumu hapa Dar es Salaam katika huduma ya The Angels of God Ministry au itawafikia wasaidizi wake wa karibu.
Ninaandika haya si kwa nia ya kushambulia huduma yake, chuki, wala dharau. Ama kumshambulia yeye mwenyewe...
Habari za uzee wako:
Nakuandikia ujumbe huu nikikusihi ufanye kila linalowezekana ukishawishi chama chako,umshawishi aliye kitini kufanya kila linalowezekana kutengeneza kijitabu ambacho kitawaongoza wananchi wadanganyika kwa kipindi kingine cha miaka 50 ijayo.
Kwa sasa hali ni mbaya ingawa...
MADEREVA WA PIKIPIKI NA BAJAJI – MBEYA
Barabara ya Mbeya–Tunduma
12 Agosti 2026
Kwa:
Afisa Mkuu wa Usalama Barabarani
S.L.P 260
Mbeya
YAH: OMBI LA HATUA DHIDI YA UENDESHAJI HATARISHI KWENYE BARABARA YA MBEYA–TUNDUMA
Ndugu Afisa Mkuu wa Usalama Barabarani,
Sisi, waendesha pikipiki na bajaji...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA DKT. NASRA NASSOR
Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Yah: Ombi la Kupata Ufafanuzi Kuhusu Maendeleo ya Utekelezaji wa Sheria ya Baraza la Wataalamu wa Kemia (Chemist Professionals Council)
Mheshimiwa Dkt. Nasra Nassor,
Kwa heshima, naomba nianze kwa...
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Sheikh Mwaipopo.
Kwanza napenda kukusalimu kwa heshima na upendo wa Kiislamu. Nakuandikia barua hii si kwa chuki wala nia ya kukushusha hadhi, bali kwa sababu katika Uislamu wetu tunafundishwa kukumbushana katika haki na mema.
Sheikh, historia...
Barua ya wazi kwa Sheikh Walid
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh,
Sheikh Walid, kwanza napenda kukufikishia pole zangu za dhati kwa mitihani na changamoto ambazo umekutana nazo katika kipindi hiki. Tunamuomba Mwenyezi Mungu akupe subira, nguvu na hekima katika kukabiliana na kila...
Nyie vijana mtambue kuwa hakuna umri wa mafanikio, mimi ni kati ya vijana nilianza kufanikiwa nikiwa na miaka 33 , yani hapo kwa umri huo buku sina , nilichokua nacho ni mind setting na akili ya pesa tu .
Leo hii nikifilisika kabisa nikawa na 50 elfu tu , nitampita ambae anajiona yupo...
Toka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty...
Kumbe I was wrong, sikujua how maandishi ya mtu hurelfect maisha halisi ya mtu husika hasa subconsciously... Ndipo nilipo kuja...
Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania
Na: Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
SOMO: WITO WA KUDHIBITI TABIA YA KUTUKANANA NA KUDHALILISHANA MITANDAONI KWA BAADHI YA MASHEIKH.
Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh,
Nawasilisha barua hii nikiwa kama mmoja wa Waislamu anayejali kwa dhati heshima ya...
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima kubwa tunakuandikia barua hii kuomba msaada wako katika kutatua mgogoro unaotukabili sisi wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika leseni za NICO RAYMOND NYEMELE (PML 1794/1795 GTA) na MHELLA NATHANIEL (PML 1797 GTA) zilizopo Kijiji cha Nyaruyeye, Kata ya...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, anapaswa kusimama imara na kulinda misingi ya soka la kitaalamu kwa kukataa katakata kuingiza ushawishi wa kisiasa kwenye kanuni za usajili na upangaji wa vikosi vya vilabu vya Ligi Kuu. Shinikizo la kutaka kutengeneza mazingira...
KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika.
KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa.
Waheshimiwa Viongozi,
Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
Mpendwa Rio,
Kuwasili kwako nchini Tanzania kumeleta msisimko mkubwa sana miongoni mwa mashabiki wa mpira wa miguu kote barani Afrika. Kama nguzo ya michezo duniani, sauti na uwepo wako vina uzito mkubwa sana. Kuona ukishirikiana na vijana na kujionea miundombinu ya hapa nchini kunaonyesha...
vitu vingi namwambia yeye pekeyake lakini leo naomba nimuandikie barua ya wazi mbele ya wote
kwako ShesRise_1
“Tabasamu lako linaangaza moyo wangu kama alfajiri inavyoifungua bahari baada ya usiku mrefu.”
“Macho yako yana utulivu wa mwezi kamili juu ya maji yaliyotulia, mtu akiangalia...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
KUHUSU MALALAMIKO YA NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UMAHIRI (MASTERS) – CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
YAH: MALALAMIKO KUHUSU NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA...
Anonymous
Thread
baruayawazi
elimu
malalamiko
nyongeza
sayansi na teknolojia
vyuo vikuu
waziri wa elimu
BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA
Kwenda kwa:
Capital Markets and Securities Authority (CMSA)
Dar es Salaam Stock Exchange (DSE)
Wizara ya Fedha Tanzania
YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA
Kwenda kwa:
Capital Markets and Securities Authority (CMSA)
Dar es Salaam Stock Exchange (DSE)
Wizara ya Fedha Tanzania
YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
BARUA YA WAZI KWA JAJI MKUU WA TANZANIA KUHUSU KUHARAKISHA KESI YA TUNDU LISSU
Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania,
Ninakusalimu kwa heshima kubwa, nikitambua nafasi yako muhimu katika kusimamia utoaji wa haki nchini. Lengo la barua hii ya wazi ni kuwasilisha ombi la msingi na la haki kuhusu...
BARUA YA WAZI KWA MANGE KIMAMBI KUHUSU UVALIAJI WA HIJAB
Ndugu Mange Kimambi,
Assalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatuh,
Natumai uko salama na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Ninakuandikia barua hii ya wazi kwa heshima na nia njema, nikizingatia kauli zako za mara kwa mara...
Mheshimiwa Rais,
Awali ya yote, tunakupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya katika kuijenga nchi yetu, hususan katika kuboresha sekta ya afya. Sisi kama watumishi na wadau wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), tumeona ni wajibu wetu kukuandikia taarifa hii kwa uzalendo na kwa maslahi mapana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.