barcelona

  1. JamiiForums Tanzania TFF na CAF waipe adhabu Yanga kwa kumchezesha Mayele ambaye kiwango chake ni cha kuchezea timu kama PSG, Barcelona, Real Madrid, Manchester

    Huu mpira anaoupiga Mayele sio wa Afrika hii. Kuna namna Yanga wamefanya. Haiwezekani mchezaji hatari kama Mayele achezee timu hizi za Kitanzania. CAF na TFF waimulike Yanga na ikiwezekana waiadhibu . Mayele analeta imbalance uwanjani.
  2. JamiiForums Tanzania Timu ya Barcelona yaelekea Marekani, Xavi azuiwa Uwanja wa Ndege

    Kocha wa Barcelona, Xavi Hernandez ameshindwa kusafiri na timu yake kwenda Marekani kutoka Hispania kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya kutokana na sababu za kiutawala. Xavi amezuiwa kwa kuwa ameonekana na rekodi ya kuingia zaidi ya mara tatu Nchini Iran (alifanya hivyo wakati akiitumikia...
  3. JamiiForums Tanzania Hatimaye Barcelona yakubaliwa kumsajili Robert Lewandowski

    Klabu ya Barcelona hatimaye imekubaliwa dili la kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski kwa ada ya Pauni Milioni 42.5. Kilichobaki ni kukamilisha mchakato wa usajili, akitarajiwa kusafiri leo Julai 16, 2022 kutoka Ujerumani kuelekea Hispania baada ya makubaliano ya klabu...
  4. JamiiForums Tanzania Inasadikika Mkahawa huu upo Barcelona, Spain

    Welcome my fucking customers and see the new fucking menu 😅
  5. JamiiForums Tanzania Yanga hii naifananisha Barcelona ya 2008-2011

    Tunamfunga yoyote huku tukicheza sex football Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11 Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol. Sasa ukija kwa huyu Aucho ni Xavi kabisaaa huku Feitoto akirandana kabisa na Iniesta. Yanga hii ni bora na...
  6. JamiiForums Tanzania Barcelona and Boca Juniors Live

    Leo ni leo, Barcelona na miamba ya amerika ya kusini Boca Juniors. 🇪🇦Barcelona - Boca Juniors 🇦🇷 Wanakipiga saa mbili kamili za ucku katika uwanja wa King Saud University stadium, Ar-Riyad (Riyadh) nchini saudia Arabia.
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Xavi ni mtu sahihi ataipa mafanikio Barcelona

    Kwanza kwa kuanzia tu, ni kwamba tukija upande wa "kiufundi" ningesema sifa tatu muhimu kwenye mpira ni: intelligence, communication, and discipline. Inafahamika kuwa Xavi ni mchezaji mwenye akili, bila shaka ni mmoja wa wachezaji wenye akili sana ndani ya uwanja. Yeye si mchezaji mwenye kipawa...
  8. JamiiForums Tanzania Ngoja niwaambie ni Nini kimeiangusha Barcelona ungana nami niwajuze

    Barcelona ilikuwa klabu ya kwanza katika mchezo wowote kuingiza $1bn katika mapato ya kila mwaka lakin kwa sasa ina deni karibu $ 1.4bn na hii katika miaka ya karibuni. Barcelona imekuwa katika misimu yote mibaya baada ya usiku wa Berlin mnamo Juni 2015 iliposhinda fainali yake ya nne ya Ligi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Yule kocha wa yanga kutoka barcelona aliishia wapi?

    Imekuwa kurwa na dotto, Kipindi hiki Simba SC wamepoteana sasa katika kuwaweka sawa mashabiki wanadai kwamba wamechukua kocha wa REAL MADRID kocha wa RONALDO. Nakumbuka mwaka jana kipindi Yanga wamepoteana ikabidi wadai kwamba wana chukua kocha wa Barcelona Cedric 'Carzelona' Kaze Pia mwaka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ruvu Shooting ni Barcelona ya Bongo

    Kwa kweli Ruvu Shooting mlionyesha kiwango cha juu sana kimchezo katika mechi yenu na UTO ila tu bahati mbaya ile red card iliwatoa mchezoni. Na baada hapo ndipo UTO waka-take advantage ya number na matokeo ndio yakawa hivyo. Asanteni kwa kumbikiri Diara na sasa asubiri tu mimba za mapacha. I...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Barcelona na Sevilla kuhairishwa kuna kubwa la kujifunza

    Jana nilikuwa nasubiri game ya Barcelona na Sevilla nikaona imehairishwa nikataka kujua kumetokea nini? Katika kusoma sababu nikaona kwamba La liga waliomba chama cha mpira Spain ambao ndio kama TFF huku kufuta wiki hii ratiba ya game ya Barca na Sevilla sababu wachezaji wengi wamechelewa...
  12. JamiiForums Tanzania Utata dili la Messi kwenda PSG, Perez adaiwa kutia mkono wake ili ampate Mbappe

    Punde baada ya Lionel Messi kutangaza kuondoka Barcelona, baadhi ya Wajumbe walianza kujiuzulu nyadhfa zao ndani ya klabu wakilalamika kusalitiwa na Rais Laporta Wengi wanadai dili la Messi kwenda PSG ni Rais Perez wa Real Madrid anahusika, wakiamini ndie aliemshauri Rais Laporta kwakuwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Utata wagubika soka ya Hispania. Real Madrid na Barcelona watishia kugoma mechi zao kuoneshwa

    Soka la Hispania lipo chini ya Shirikisho lao la soka RFEF, ambao wao wana LA LIGA kama chombo huru kinachosimamia Ligi kuu na Daraja la kwanza Sasa kutokana na uhuru huo LA LIGA chini ya Javier Tebas wana mambo mengi wanafanya kinyume na mitazamo ya wengi, huku wakisema ni kibiashara zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Barcelona yaishitaki PSG usajili wa Messi

    Barcelona yafungua kesi Mahakami kupinga usajili wa Lionel Messi kujiunga na PSG, wakidai klabu hiyo haiwezi kumsajili mchezaji huyo kutokana na rekodi mbaya ya mapata na matumizi ya klabu hiyo, ambapo wanaamini wakifanya hivyo watavunja kanuni ya Financial Fair Play. Mawakili wa Barcelona...
  15. JamiiForums Tanzania Rasmi: Barcelona yatangaza Messi kuondoka Klabuni hapo baada ya kushindwa kuongeza Mkataba

    Barcelona imethibitisha kuwa Mchezaji wao mahiri, Lionel Messi ataondoka Klabuni hapo kutokana na vikwazo vya kimfumo na kifedha (Sheria za Ligi ya Uhispania) Klabu imesema yenyewe pamoja na Messi wamesikitishwa na hatua hiyo kwani awali pande zote mbili ziliridhia kuongeza mkataba wa Mchezaji...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Dortmund watengeneza zaidi ya €200m kwa mauzo ya wachezaji hawa

    Rejea kichwa cha habari Ousmane Dembele bought for €35 From STADE DÊ RENNES Sold For €135 to BARCELONA, PROFIT €100 Jadon Sancho bought for €7.8M from MANCHESTER CITY YOUTH ACADEMY Sold For €85M to MANCHESTER UNITED, PROFIT €77.2M Christian Pulisic from BORRUSIA DORTMUND YOUTH ACADEMY, Sold...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Ronaldo and Messi is it coincidence?

    ▪️Cristiano Ronaldo is 869 days older than Lionel Messi ▪️ Cristiano Ronaldo Jr is 869 days older than Thiago Messi ▪️Cristiano Ronaldo’ second son is named Mateo ▪️Lionel Messi’s second son is named Mateo ▪️Cristiano Ronaldo won his first international trophy on July 10 ▪️Lionel Messi won his...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Sijapendezwa kabisa na kufurahishwa na Jezi mpya za Barcelona

    Mimi ni mpenzi na mshabiki mkubwa wa Barcelona toka 1993 enzi za Hristo Stoichkov, Romario na kocha wa sasa hivi Muholanzi Koeman. Sijafurahishwa kabisa na muonekano wa Jersey ya Msimu wa 2021/22 kwasababu ya msalaba kifuani upande wa kulia. Barcelona itambue ina mashabiki wengi wa imani...
  19. JamiiForums Tanzania Barcelona working on deal to unite Cristiano Ronaldo & Lionel Messi

    With Barcelona now confident Lionel Messi will stay at Camp Nou, president Joan Laporta is understood to be focusing on how to build a new super-team - and is working on a deal to bring Juventus forward Cristiano Ronaldo to the club. © Provided by 90min Ronaldo and Messi met in last season's...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga waigeni Barcelona na Real Madrid katika mapato

    Hapa nchini timu mbili tu ndizo zinazowapa jeuri Azam tv,TFF. Yaani Simba fc na Young Africans (Yanga). Kwa kuwa viongozi wa timu hizi mbili wanachaguliwa na wanachama ni sawa na Barcelona na Real Madrid. Sasa ushauri kwangu kama ilivyo Hispania,viongozi wa timu mbili hizi wadai kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…