Kipa wa FC Barcelona, Wojciech Szczesny, amesema anasubiri mwongozo wa Mkewe na Familia yake kabla ya kusaini Mkataba mpya wa kuendelea kubaki Klabuni hapo au kuondoka.
Kipa huyo wa zamani wa Arsenal, alisajiliwa Oktoba 2024 ikiwa ni Mwezi mmoja tangu atangaze kustaafu akitokea Juventus...
Aisee hizi timu zinatisha maana Kwa boli linalopigwa na usajili wao mbingu na ardhi aisee mungu anipe nini mimi maana msimu huu Kila mwisho wa wiki mama watoto namuambia apike pilau Ili tujiburudishe natafuta fundi anaeweza kuchora nembo ya Barcelona na Liverpool kwenye nyumba yangu forca barca...
Muda mchache ujao, El Clasico inapigwa.
Ni Barcelona Vs Real Madrid katika mchezo muhimu wa La liga ambao utatoa picha ya mbio za ubingwa.
Ikumbukwe ni El Clasico ya mwisho kwa Carlo Ancelloti kabla ya ujio wa Xabi Alonso pale Real Madrid.
Ancelloti amefungwa mechi zote alizokutana na...
1. Kama hukuangalia gemu ya jana baina ya Inter Milan vs Barcelona basi umekosa raha ya dunia, it was a real outstanding kama alivyokuwa akisema commentator.Gemu ya kasi sana, uwezo, ufundi, ujuzi na mbinu za hali ya juu zilizopelekea gemu kwenda extra time.
2.Nimejifunza kuwa timu hata...
Barcelona wamepanga kuweka dau kubwa la kutaka kumnunua tena Lionel Messi kabla ya msimu wa 2026/27, kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Argentina.
Messi alihudumu Barcelona kwa zaidi ya miongo miwili huko Catalonia kuanzia mwaka 2000 mpaka msimu wa joto wa 2021, akijiunga na Paris Saint-Germain...
Kitendo hicho kimetokea Huko nchini Marekani 🇺🇸 jijini Atlanta katika mchezo wa ligi nchini humo kati ya Atlanta united dhidi ya Inter Miami
Messi Ameonekana akiikanyaga jezi ya Barcelona iliyorushwa na Shabiki wa Atlanta united kabla ya mchezo huo kuanza.
Baadhi ya vyombo vya soka vimeripoti...
Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Higuain, Ronaldinho Gaucho, Steve MacManaman, Michael Owen, Patrick Cluvert, Rivaldo, Ricardo Kaka na wengineo wengi, watu kama hawa huwa makocha wanawafundisha nini??
Kocha kama wa Ihefu au Ken Gold at least utasema kocha ana...
Katika dunia ya soka, hakuna mechi inayosikika sana, kuvutia mashabiki wengi, na kuwa na mvuto mkubwa kama El Clásico, mechi kati ya FC Barcelona na Real Madrid. El Clásico ni moja ya michezo inayohusisha siyo tu timu mbili kubwa za Hispania, bali pia ni tukio la kihistoria, lenye mvuto mkubwa...
Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je?
Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
Siku zote falsafa yangu ni akili ikishindwa kutatua jambo fulani basi ujinga au wendawazimu utumike kubuni njia mpya ya kutatua changamoto
OFFSIDE TRAP NI NINI?
Hii ni mbinu mpya inayotumiwa na FC BARCELONA kuharibu shambukizi la wapinzani na kuwapunguza makali washambuliaji hatari duniani kama...
Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico.
Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu,
Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto.
Ni El clasico nzuri baada ya miaka mingi sana kuwa mechi ya kawaida.
Nini kitatokea? Nani atafungwa?
Huku kuna Mbappe, Vini Jr...
Siku ya 1: Mechi dhidi ya Espanyol
Siku ya 198: Anafunga goli lake la kwanza
Siku ya 876: Hat Trick ya kwanza dhidi ya Real Madrid
Siku ya 915: Anafunga Goli ‘kali’ dhidi ya Getafe
Siku ya 1,873: Ashinda Ballon d'Or ya kwanza
Siku ya 1,999: Anaifunga Arsenal Magoli Manne
Siku ya 2,700...
Wojciech Szczęsny, mlinda lango wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Poland, amesajiliwa rasmi na FC Barcelona. Barcelona ilimchukua Szczęsny kama suluhisho la dharura baada ya Marc-André ter Stegen kuumia na kutarajiwa kukosa msimu wote uliosalia.
Szczęsny, ambaye alikuwa amestaafu...
Anyway Jana osasuna kaonesha panapovuja japo Kila mtu analia na Torres ila mi nasema wote wamefungwa
4 goals sio joke hapa nangoja Leo atletico azingue tuanze kupumulia unyayo wa mtu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.