barcelona

  1. JamiiForums Tanzania Barcelona ndiyo Mabingwa Wa Ligi kuu ya Hispania 2024/2025

    #LaLigaEASports Barcelona ndiyo mabingwa qa ligi kuu ya Hispania 2024/25. Hili ni taji lao 28. FT': Espanyol 0-2 Barcelona
  2. JamiiForums Tanzania Kipa wa Barcelona, Wojciech Szczesny asema anasubiri jibu la mkewe kama asaini mkataba mpya au aachane na soka

    Kipa wa FC Barcelona, Wojciech Szczesny, amesema anasubiri mwongozo wa Mkewe na Familia yake kabla ya kusaini Mkataba mpya wa kuendelea kubaki Klabuni hapo au kuondoka. Kipa huyo wa zamani wa Arsenal, alisajiliwa Oktoba 2024 ikiwa ni Mwezi mmoja tangu atangaze kustaafu akitokea Juventus...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna timu kubwa duniani kuzidi Barcelona na Liverpool natafuta fundi anaeweza kuchora nembo za hizi timu kwenye nyumba yangu

    Aisee hizi timu zinatisha maana Kwa boli linalopigwa na usajili wao mbingu na ardhi aisee mungu anipe nini mimi maana msimu huu Kila mwisho wa wiki mama watoto namuambia apike pilau Ili tujiburudishe natafuta fundi anaeweza kuchora nembo ya Barcelona na Liverpool kwenye nyumba yangu forca barca...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Barcelona 4-3 Real Madrid | Laliga | Estadio Olimpic Luis Companys | 11.05.2025

    Muda mchache ujao, El Clasico inapigwa. Ni Barcelona Vs Real Madrid katika mchezo muhimu wa La liga ambao utatoa picha ya mbio za ubingwa. Ikumbukwe ni El Clasico ya mwisho kwa Carlo Ancelloti kabla ya ujio wa Xabi Alonso pale Real Madrid. Ancelloti amefungwa mechi zote alizokutana na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Jana Nusu Fainali Inter Milan vs Barcelona pale Giussepe Meaza

    1. Kama hukuangalia gemu ya jana baina ya Inter Milan vs Barcelona basi umekosa raha ya dunia, it was a real outstanding kama alivyokuwa akisema commentator.Gemu ya kasi sana, uwezo, ufundi, ujuzi na mbinu za hali ya juu zilizopelekea gemu kwenda extra time. 2.Nimejifunza kuwa timu hata...
  6. JamiiForums Tanzania FT: Barcelona 3-2 Real Madrid | El Classico - the World Class Derby | 26.4.2025

    Ule mtanange wa kukata na shoka Real Madrid Vs Fc Barcelona
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Barcelona wamepanga kuweka dau kubwa la kutaka kumnunua tena Messi

    Barcelona wamepanga kuweka dau kubwa la kutaka kumnunua tena Lionel Messi kabla ya msimu wa 2026/27, kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Argentina. Messi alihudumu Barcelona kwa zaidi ya miongo miwili huko Catalonia kuanzia mwaka 2000 mpaka msimu wa joto wa 2021, akijiunga na Paris Saint-Germain...
  8. JamiiForums Tanzania Unachukuliaje kitendo cha Mess kukanyaga jezi ya Barcelona?

    Kitendo hicho kimetokea Huko nchini Marekani 🇺🇸 jijini Atlanta katika mchezo wa ligi nchini humo kati ya Atlanta united dhidi ya Inter Miami Messi Ameonekana akiikanyaga jezi ya Barcelona iliyorushwa na Shabiki wa Atlanta united kabla ya mchezo huo kuanza. Baadhi ya vyombo vya soka vimeripoti...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Makocha wa vilabu vikubwa (Barcelona, Real Madrid) huwa wanawafundisha nini wachezaji wao? Mbona kama wote wanajua?

    Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Higuain, Ronaldinho Gaucho, Steve MacManaman, Michael Owen, Patrick Cluvert, Rivaldo, Ricardo Kaka na wengineo wengi, watu kama hawa huwa makocha wanawafundisha nini?? Kocha kama wa Ihefu au Ken Gold at least utasema kocha ana...
  10. JamiiForums Tanzania El Clásico: The Ultimate Derby in the World of Football

    Katika dunia ya soka, hakuna mechi inayosikika sana, kuvutia mashabiki wengi, na kuwa na mvuto mkubwa kama El Clásico, mechi kati ya FC Barcelona na Real Madrid. El Clásico ni moja ya michezo inayohusisha siyo tu timu mbili kubwa za Hispania, bali pia ni tukio la kihistoria, lenye mvuto mkubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Chaneli gani inaonyeshwa fainali ya supercup Barcelona vs real Madrid

    Chaneli gani inaonyeshwa fainali ya supercup Barcelona vs real Madrid
  12. JamiiForums Tanzania Hii Yanga ya sasa ikikutana na Real Madrid, Barcelona, Liverpool isipozifunga hizo team nipigwe ban milele

    Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je? Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
  13. JamiiForums Tanzania "Offside trap" mbinu inayotumiwa na Barcelona Fc kudhibiti wachezaji tishio duniani, mpaka sasa hakuna kocha mwenye mwarobaini wa kuizuia

    Siku zote falsafa yangu ni akili ikishindwa kutatua jambo fulani basi ujinga au wendawazimu utumike kubuni njia mpya ya kutatua changamoto OFFSIDE TRAP NI NINI? Hii ni mbinu mpya inayotumiwa na FC BARCELONA kuharibu shambukizi la wapinzani na kuwapunguza makali washambuliaji hatari duniani kama...
  14. JamiiForums Tanzania Tangu juzi nipo mitaa ya Barcelona kashinda derby 4-0 lakini sijaona mabango ushamba mzigo

    Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
  15. JamiiForums Tanzania Vipigo vikubwa alivyowahi pokea Real Madrid dhidi ya FC Barcelona kwenye El Clasico

    Baada ya jana kuchapika bao 4-0 pale pale Bernabeu. Hivi hapa ndio vipigo vikubwa alivyowahi pokea Real Madrid dhidi ya FC Barcelona kwenye El Clasico
  16. JamiiForums Tanzania Full Time El clasico: Real Madrid 0-4 Barcelona | La Liga | Santiago Bernabeu | 26.10.2024

    Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico. Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu, Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto. Ni El clasico nzuri baada ya miaka mingi sana kuwa mechi ya kawaida. Nini kitatokea? Nani atafungwa? Huku kuna Mbappe, Vini Jr...
  17. JamiiForums Tanzania Miaka 20 tangu Lionel Messiacheze mechi ya kwanza Barcelona

    Siku ya 1: Mechi dhidi ya Espanyol Siku ya 198: Anafunga goli lake la kwanza Siku ya 876: Hat Trick ya kwanza dhidi ya Real Madrid Siku ya 915: Anafunga Goli ‘kali’ dhidi ya Getafe Siku ya 1,873: Ashinda Ballon d'Or ya kwanza Siku ya 1,999: Anaifunga Arsenal Magoli Manne Siku ya 2,700...
  18. JamiiForums Tanzania Barcelona FC yamsajili kipa Wojciech Szczęsny aliyetangaza kustaafu 27 Agosti 2024 kuwa mbadala ya Marc-André ter Stegen

    Wojciech Szczęsny, mlinda lango wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Poland, amesajiliwa rasmi na FC Barcelona. Barcelona ilimchukua Szczęsny kama suluhisho la dharura baada ya Marc-André ter Stegen kuumia na kutarajiwa kukosa msimu wote uliosalia. Szczęsny, ambaye alikuwa amestaafu...
  19. JamiiForums Tanzania Barcelona akifungwa huwa Kuna amani flani nakuwa nako

    Anyway Jana osasuna kaonesha panapovuja japo Kila mtu analia na Torres ila mi nasema wote wamefungwa 4 goals sio joke hapa nangoja Leo atletico azingue tuanze kupumulia unyayo wa mtu
  20. JamiiForums Tanzania Aisee Barcelona msimi huu hawataki mchezo azidi kutembeza vipigo

    Kama mshabiki wa R Madrid roho yangu ipo juu juu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…