barcelona

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Makonda na Lamine Yamal uso kwa uso Jijini Barcelona

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye, Paul Makonda, amefanya ziara ya kikazi nchini Hispania ambapo ametembelea Jiji la Barcelona na kukutana ana kwa ana na nyota kijana wa mpira wa miguu duniani na klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal. Ziara hiyo ya kiserikali imefanyika wiki...
  2. JamiiForums Tanzania Makonda afika Barcelona, akabidhi jezi yenye jina la SAMIA na lake

    Ila TANZANIA
  3. JamiiForums Tanzania Jezi ya Barcelona imeandikwa Samia badala ya Serengeti, Ngorongoro nk. CCM kifo cha Mende

    Jezi ya Barcelona imeandikwa Samia 10 badala ya Serengeti, Ngorongoro nk. CCM wametepeta. Hajali Nchi tena. Halafu tunaionea wivu vist Rwanda
  4. JamiiForums Tanzania Barcelona usajili wa Gabriel Jesus mbovu

    Gabriel Jesus kacheza Arsenal misimu minne. Mechi-84 Magoli-21 Japo majeruhi yanamkosesha muda wa kucheza hususani misimu uliopita akiwa na arsenal lakini haibadili kuwa ni mchezaji wa kawaida. Baada ya dili la Alvarez kuwa gumu kutoka atletico Madrid,kumekuwa na washambuliaji kama victor...
  5. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Barcelona ndio mashabiki wenye furaha zaidi kwenye fainali hizi za kombe la dunia

    Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali. Furaha iliyoje. Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali. Furaha iliyoje. Ureno yenye goti wa kuvundika out tushasahau kama walishiriki hizi fainali za kombe la dunia. Furaha...
  6. JamiiForums Tanzania Sir. Lewis Hamilton ameshinda Barcelona Grand Prix leo baada ya kupitisha races 45 bila kua kinara!

    Zimepita siku 708, au Grand Prix 45 tokea Sir Lewis Hamilton ashinde Grand Prix (P1). Ilikua ni Sikukuu ya 7, 7 2024 (British GP), akiwa na Mercedes Benz. Ila leo tarehe 14, June, 2026 amevunja mkosi kwa kushinda Barcelona GP. Hongereni team Ferrari.
  7. JamiiForums Tanzania Mtanzania Barka Seif ajiunga na Academy ya Barcelona (La Masia)

    Kinda wa Kitanzania Barka Seif Mpanda amejiunga rasmi na academy ya klabu ya Fc Barcelona ya nchini Hispania akitokea Fc Damm ya nchini humo Kiwango bora alchokionesha akiwa fc Damm ambapo kwa msimu uliopita aliibuka mfungaji bora kwa kufunga magoli 41 katika michezo 28 ya ligi za vijana...
  8. JamiiForums Tanzania Robo Fainali UEFA: Liverpool na Barcelona kufanya 'Comeback' dhidi ya PSG na Atletico leo?

    Liverpool na Barcelona usiku wa leo zinakabiliwa na kibarua kigumu cha kujaribu kufanya mapinduzi (comeback) katika michezo yao ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA). Timu zote mbili zinaingia uwanjani zikiwa na deni la mabao mawili, hali inayozilazimu kushinda kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Klabu bingwa Ulaya: Robo fainali Barcelona Vs Atletico Madrid, PSG Vs Liverpool

    Usiku wa leo, Aprili 8, burudani kutoka UEFA Champions League inaendelea 🔥 Mashabiki wa soka duniani wanasubiri kwa hamu mechi hizi kali: FC Barcelona 🆚 Atlético Madrid Paris Saint-Germain 🆚 Liverpool FC Ni vita ya vigogo, mbinu kali na presha ya hatua za mwisho! Je, ni nani kuibuka mbabe...
  10. JamiiForums Tanzania PASTA HANANJA MASHABIK WA BARCELONA NA ARSENAL TUNAOMBA MAOMBI YAKO USIKU HUU WENGINE KITANDA HAKILALIKI

    BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU AMEN KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA BARCELONA NA ARSENAL WANAOMBA MAOMBI YAKO WAPATE AMANI NA FURAHA MAISHAN MWAOO AMEN
  11. JamiiForums Tanzania Barcelona kala 4 tayari huko msilale dk ya 52 kha

    HAKIKA WEMA NA FADHILI ZITANIFWATA....AMEN SHIKAMOO MHINDI
  12. JamiiForums Tanzania Barcelona 1 - 2 PSG kuna watu wanasema goli la pili ni offside

    Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nchi za wazungu ngumu: Dani Alves ameachiliwa kutoka gerezani baada ya kubainika alisingiziwa, mwanamke aliyemshitaki yupo huru

    Dani Alves alihukumiwa kwa kosa la KUBAKA (RAPE). Kapoteza zaidi ya siku 800 jela Mke alimkimbia Kapoteza deals za udhamini na endorsement kapoteza heshima yake alipoteza kazi yake Mwanamke aliyemsingizia hatakabiliwa na adhabu yoyote na sheria inamlinda asijulikane hadharani. Hio ndio...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni sawa na Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza

    Uchaguzi wa mwaka huu ni sawa na mechi kati ya Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza
  15. JamiiForums Tanzania Meli za misaada kutoka maeneo mbalimbali za flotilla zinaanza safari Barcelona kuelekea Gaza.

    Wanaukumbi. Flotilla iliyobeba misaada ya kibinadamu na wanaharakati, ikiwa ni pamoja na mwanaharakati wa hali ya hewa wa Uswidi Greta Thunberg, wanatarajiwa kuondoka kutoka Barcelona Jumapili kujaribu "kuvunja kuzingirwa haramu kwa Gaza", waandaaji walisema. Meli hizo zitaondoka katika mji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Klabu ya YF JUVENTUS yavaa jezi za BARCELONA

    Mashabiki walishangaa ikiwa ni baada ya YF Juventus, klabu ya mjini Zurich inayocheza katika Swiss 1. Liga Classic, kuingia uwanjani wakiwa wamevaa jezi zinazofanana kabisa na zile za FC Barcelona msimu wa 2022/23 (jezi ya tatu). Ndiyo, umesoma vizuri—muundo ule ule wa samawati wa jezi ambazo...
  17. JamiiForums Tanzania Mchezaji mwenye kipaji kikubwa sana pale Barcelona (most talented Barcelona player)

    huyu ataimbwa sana next season
  18. JamiiForums Tanzania BARCELONA : Ter Stegen refused to terminate his contract .

    Ter Stegen have not been a positive for the team since he came back from the injury, he forcing flick to play in UCL semi final even though he was injured whole season and szczęsny was doing better. Even after la liga win the players and captain needs to talk with press and Ter Stegen being the...
  19. JamiiForums Tanzania Barcelona ndiyo Mabingwa Wa Ligi kuu ya Hispania 2024/2025

    #LaLigaEASports Barcelona ndiyo mabingwa qa ligi kuu ya Hispania 2024/25. Hili ni taji lao 28. FT': Espanyol 0-2 Barcelona
  20. JamiiForums Tanzania Kipa wa Barcelona, Wojciech Szczesny asema anasubiri jibu la mkewe kama asaini mkataba mpya au aachane na soka

    Kipa wa FC Barcelona, Wojciech Szczesny, amesema anasubiri mwongozo wa Mkewe na Familia yake kabla ya kusaini Mkataba mpya wa kuendelea kubaki Klabuni hapo au kuondoka. Kipa huyo wa zamani wa Arsenal, alisajiliwa Oktoba 2024 ikiwa ni Mwezi mmoja tangu atangaze kustaafu akitokea Juventus...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…