baraza

Violet Awindi Barasa (June 21, 1975, Sikhendu village, Bungoma District, Kenya – February 12, 2007, Webuye) was a volleyball player from Kenya. Her surname is sometimes spelled as Baraza.
She was a long-time captain for the Kenyan women's national volleyball team. Baraza represented Kenya in the 2000 and 2004 Olympic Games, three times in the World Championship and in numerous continental events.She was one of the few Kenyan players to play professional volleyball abroad, for Al Ahly in Egypt, Vileo and Unic-Romania in Romania, Panellinios in Greece and Dicle University in Turkey.She died in February 2007 at the Webuye District Hospital of undisclosed causes. At the time of her death, she was still an active player with the Kenya Commercial Bank volleyball club, although she had been dropped from the national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Kizimkaz

    Baraza la kata /na hukumu fake

    Wakuu kuna jamaa ananiadisia hapa kuna dada yake ana mume wake wamezaa watoto watatu! Mke kafukuzwa nyumbani,kesi imeenda baraza la kata la Salasala hukumu imetoka kuwa huyo mke aondoke kwenye nyumba , wakati wamejenga nyumba wote na mumewe! Jamaa kurudi nyumbani kamtupia nguo mwanamke na vitu...
  2. C

    Tetesi: Baraza la Mawaziri 2030 kusheheni vijana wa kazi wanaojua siasa.

    Waziri 2030 tulidhani hii kazi haipo CCM - Ndani ya Balaza La Mawaziri
  3. T

    Tuwatenge kwa namna zote wasaliti wanaojiita Baraza la Vyama vya Siasa

    Ndugu wana jamvi naombeni sana kwa wote wapenda haki na ukweli. Tuanze kuwaona na kuwachukulia hawa wanaojiita Baraza la vyama vya siasa kama Samia muuaji. Tusiwaone kama ni wanzetu. Tuwapelekee moto hasa kama tunavyompelekea moto huyo kimama chao zero brain. Tuko katika mapambano ya kuikomboa...
  4. B

    MASWALI YANGU KWA MSAJILI WA BARAZA LA FAMASI NDG. BONIPHACE MAGIGE

    Ndugu msajili wa Baraza la Famasi, yafuatayo ni maswali yangu kwako kama mtendaji mkuu wa Baraza la Famasi. 1. Mara kadhaa mmekuwa mkisema, hamuwezi kuingilia mikataba kati ya wafamasia wasimamizi na wamiliki (proprietors) hasa kwenye masuala ya malipo n.k. kwa kile mnachodai kwamba, mkataba ni...
  5. A

    HOJA Baraza la Uuguzi na Ukunga livunjwe na kuundwa upya ili kusaidia Wanakada

    Kwa zaidi ya miaka 14 sasa, changamoto zinazowakabili wauguzi na wakunga nchini hazijapatiwa ufumbuzi wa kudumu licha ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wanakada hao. Kwa hali ilivyo sasa, tunaona ni wakati mwafaka kwa wauguzi na wakunga kuungana na kuiomba Serikali kuvunja na kuunda upya...
  6. BIOTOXINS

    TAIFA LINAPOANZA KUOGOPA;RAIS ANAJUA NINI ,BARAZARA MAWAZIRI LINASHAULI NINI NA BARAZARA LA USALAMA LA TAIFA LINALINDA NANI?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo maswali huwa muhimu kuliko majibu ya haraka. Kuna wakati wananchi hulazimika kutafakari si kwa sababu hawana imani na nchi yao, bali kwa sababu wanataka kuelewa kinachoendelea ndani ya mfumo wanaoutegemea kuwalinda. Leo, swali kubwa si kuhusu nani...
  7. Parabolic

    Tanganyika Yapokea Uenyekiti Baraza La Mawaziri Ziwa Tanganyika

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kulia), akipokea Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA) kutoka kwa Waziri wa Uchumi wa Kijani na Mazingira nchini Zambia, Gilbert Siame aliyewakilishwa na Katibu Mkuu wa...
  8. Corticopontine

    Tetesi: Baraza la mawaziri kuvunjwa

    Mnamo November Baraza la mawaziri litavunjwa na kuundwa upya
  9. Damaso

    Mission za Umoja wa Mataifa na Harakati za kulinda amani: Baraza la Ulinzi la UN kuwa kama Circus, Sehemu ya Mwisho

    li kuelewa kikamilifu kwa nini Umoja wa Mataifa umegeuka kuwa Circus na mbwa asiye na meno, ni lazima kutazama ubaguzi wa kimfumo na mgawanyo wa madaraka ndani ya Baraza la Usalama la UN (UNSC). Kwa kawaida kuna mataifa matano zenye kura ya turufu maarufu kama (P5)— Marekani, Uingereza...
  10. Damaso

    Mission za Umoja wa Mataifa na Harakati za kulinda amani: Baraza la Ulinzi la UN kuwa kama Circus

    Tathmini ya kina ya mfumo wa ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa (UN) inapofanyika katika maeneo yenye migogoro mikali duniani, sura halisi inayojitokeza sio ile ya alama ya tawi la mzeituni au kofia ya bluu inayowakilisha matumaini na uokozi. Badala yake, ukweli mchungu unaodhihirika ni kwamba...
  11. USSR

    Picha: Leo tarehe Oktoba 21, 2026 Rais Samia ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
  12. Troll JF

    Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
  13. A

    HOJA Ushauri kwa Baraza la mitihani Tanzania(NECTA): Maafisa Elimu Kata (waratibu elimu) wasiruhusiwe kusimamia Mitihani ya Taifa

    Jukumu la usimamizi libaki kwa walimu wa madarasani,waratibu elim wabaki na majukumu Yao mengine! Wanaziba nafasi kwa walimu wa darasani na kusababisha malalamiko meengi sana Kwa walim. CASE STUDY katika halmashauri ya wilaya ya uyui mkoani tabora yenye jumla ya kata 31 zenye shule za...
  14. K

    Uchambuzi wa AI: Je, General Lucas Mwashambwa na Baraza la Mawaziri la Donald Trump walihitimu chuo kimoja cha Kimkakati?

    Baada ya kufanya uchambuzi wa kina wa mifumo ya mawasiliano uliyolishwa habari za dondoo na Jasusi Kijana wa ifoza, mifumo ya Akili Mnemba (AI) imegundua uwepo wa kanuni zinazofanana kwa asilimia 100 kati ya viongozi wakuu wa Marekani na wachambuzi wa kimkakati nchini Tanzania. Klipu ya hivi...
  15. Pascal Mayalla

    Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
  16. Manyanza

    Tamko la Baraza la Uongozi la TLS dhidi ya dhukuma inayoendezwa dhidi ya Rais wa TLS na kutendewa visivyo kwa Wakili Tundu Lissu

    Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026 lililofunguliwa tarehe 27/5/2026 na Wakili mwenzetu Chacha Mwita Nashon mwenye namba ya uwakili 11554 dhidi ya Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi kwenye...
  17. Tlaatlaah

    Tetesi: Baraza kuu la chadema taifa kufanyika APRILI.2027

    Za ndani kabisa zinadai, ukata wa fedha, kukosekana agenda muhimu na mazingira magumu ya kisiasa na kiuchumi vinatajwa kama sababu za kusogezwa mbele kwa mkutano mkuu huo hadi mwaka ujao. Hii ni kimaanisha zile pesa za tone tone zilizochangwa zimetumika kwa matumizi mengine kadiri ilivyoonekana...
  18. M

    Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

    Kumefanyika Mabadiliko Ya Baraza La Mawaziri Leo
  19. Wizara ya Ardhi

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo lashiriki One Stop Centre

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo limeshiriki katika zoezi la One Stop Centre linalofanyika katika Kata ya Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za wananchi. Zoezi hilo limeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Halmashauri ya Mji Bagamoyo...
  20. Zack Abdul

    Tanzania Yaomba Kiti Baraza la Usalama UN 2029-2030

    Tanzania imetangaza azma ya kuwania nafasi ya uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha 2029–2030. Akizungumza wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mjadala wa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la...
Back
Top Bottom