Wanajamvi wenzangu mie hapa Jijini DSM nilihamishiwa kikazi nikitokea mkoani. Siku za mwanzoni nilikuwa napata shida barabarani. Kila msichana ninayekutana nae namuona mrembo, haswa nikifika maeneo ya Posta Mpya kule.
Basi Asubuhi kabla sijatoka Home nikawa ninatumia dakika takribani 5 za...
HATIMAYE KABURI KATIKATI YA BARABARA BARIADI LAONDOLEWA.. FAMILIA YARIDHIA YAKUBALI YAISHE
Zoezi la kuhamisha kaburi likiendelea
===
WIKI Moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kuagiza kuondolowa kwa Kaburi lililokuwa katikati ya Barabara ya Nkindwabiye-Halawa, Familia ya Saguda...
Kwa wadau wote ebu tuanzishe kampeni ukiona tangazo tangazo la mganga bandua na ulitupe hii itatupeleka kupunguza shiriki kwa binadamu na hawa waganga matapeli wanawaibia watu au kuwatuma watu vitu hatarishi katika maisha mfano ulale na mama yako mzazi sijui au umuingilie mtoto mdogo asiye...
Hasa Dar imekuwa kero sana hivi halmashauri inakuwaje mnatoa ujenzi wa majumba katikati ya Mji mahoteli na ya biashara bila majengo hayo kuonesha wapi magari yatakuwa yanapaki?
Watu wakipaki magari yao barabarani inakuwa finyu watu tunashindwa kupita kwa amani na magari yetu ya kifahari
Wanachelewa kulala lakini wanawahi kuamka, ni kina mama wauza maziwa katika Kituo cha Nyichoka Kata ya Kyambahi Wilaya ya Serengeti ili kuwahi wateja kwenye mabasi yanayopita saa 12 kuelekea Musoma,Bunda na Mwanza.
Kwa kuwa wengi wao hukamua wenyewe ,huwalazimu kuanza saa 10 alfajiri muda...
Sasa ni dhahiri, wale wanachadema na wanaharakati kama,Lema Martin Maranja Masese, Maria Sarungi wanaotegemea Siasa za mitafaruku na vurugu ili kujipatia mkate wa Kila siku, siku zao zinahesabika, na watafute kazi nyingine.
Wale waliokuwa wanatishia kuingia barabarani, haitawezekana tena. Mbowe...
Kamanda Mbowe amekuwa na hulka tofauti sana tangu aanze safari za ikulu.
Anawapa makavu vijana wanaojifanya wana uchungu na chama chake.
Je, nini kimembadilisha?
Ni muda ndio utasema.
Nazungumzia hizi busy roads za mijini na sub urban.
kuna watoto wa.mjini wanajikuta wao na simu ni Alpha Na Omega. Hawatenganishwi na Tecno zao.
Nawaasa sana unapokuwa katika movement barabarani, kama una sms ama simu muhimu sana ya kujibu, simama pembeni kwenye usalama malizana na mtu kwenye...
Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao wamechora picha ya ndege, katuni na mandhari kwa rangi inayong’ara kwenye madawati, vyungu vya miche na...
Nipo kwenye bus la ABC, kimsingi mabasi ni mazuri, huduma ni nzuri mwendo ni mzuri. Ila changamoto niliyoona ni upande wa choo ambapo bus likifika kwenye matuta mambo yanakuwa siyo shwari ukizingatia matuta nayo hayafanani, usipofanya timing vizuri uka synchronise mwendo wako na mwendo wa dereva...
Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani.
Na tunawaona kila siku jijini Dar.
Picha hii ni leo Mwenge DSM.
Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini.
Picha ya close-in kuna...
Habarini Wadau!!
Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani.
Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya kukusimamisha then anakuandikia faini bila ridhaa yako.
Sometimes ukigoma anakutisha aukwa baadhi...
Nimeona jambo lisilo la kawaida katika eneo la Temboni, gari la mwendo Kasi linapakia abiria kupitia milango inayotazama katikati ya barabara. Kibaya Zaidi wakati wanapakia Kuna gari zinapita kwa Kasi huku abiria nao wakikimbia Kwa Kasi Jambo ambalo kiusalama siyo SAHIHI. Wakati haya yanafanyika...
Karibu MUDU COMPANY LTD tunauza Nyumba na viwanja maeneo mabalimbali dar kwa mnada.#contact 07676055856.mfano tuna huu Uwanja upo BUNJU B BEI 30M 1529 Square meter
Kuna video imekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana wa kiume aliyevalia mavazi ya spider Man akikata mauno barabarani kwenye zebra akicheza taarabu.
Mamlaka husika yapaswa imchukulie hatua kwa tabia mbaya alionesha akiwa kwenye zebra ya kuhamasisha ushoga.
Kijana huyu...
Kuna hali ngumu ya maisha itokanayo na mfumuko mkubwa wa bei ambao serikali imechagua kujiweka pembeni kiaina:
Kama vile haitoshi kuna usumbufu mkubwa barabarani. Zinatakiwa pesa, mengine kama kawaida yetu ni usumbufu tu.
Bahati mbaya ni kuwa ajali zinazotokea wala hazisababishwi na...
Jeshi la Polisi limekamata Watuhumiwa 1,251 wa Makosa ya Usalama barabarani na baadhi yao wamefikishwa Makahamani na wengine kutozwa faini katika oparesheni maalum iliyofanyika kwa wiki tatu.
Makosa mengi katika orodha hiyo ni ‘Kuendesha magari mabavu’ ambayo ni 840, ambapo ilifanyika mikoa ya...
Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.
Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?
Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
---------------------
Ikumbukwe:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.