Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania.
kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege.
Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
Ajali ni tukio la dharura linayotokea au kupata mtu bila kutalajia na ambalo linaweza kusababisha majeruhi na wakati mwingine watu kupoteza maisha(vifo).Ajali ya barabarani ni tukio la dharura ambalo linampata mtu bila yeye mwenyewe kutalajia barabarani na wakati mwingine kusababisha majeruhi...
Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za...
UTANGULIZI:
Kumekuwa na mtafaruku haswa inapotokea Ajali iwe barabarani au mtaani kutokana uzembe wa dereva na kusababisha madhara fulani, lakini kukawana uzito katika kutoa Adhabu kutokana na kutokuwa na ushahidi kamilifu kitendo kinachopelekea upendeleo kwa mtu aliehusika na uzembee huo
SERA...
Tanzania imekuwa ikikumbwa na changamoto ya ajali za barabarani ambazo zimechangia kwa kiasi kikubwa vifo, ulemavu na uharibifu wa Mali na vyombo vya usafiri. Katika taarifa zinazotolewa nyingi zimekuwa zikizungumzia idadi ya vifo na majeruhi, lakini wengi wa majeruhi wanakua wamepoteza viungo...
Habarini Wanajamvi wenzangu,
Gharama kubwa watanzania wanazolipa kila uchwao juu ya ajali za barabarani inaleta maswali lukuki. Pamoja na jitihafa za Jeshi la Polisi, bado kuna haja ya kama Taifa tukubali kufanya mageuzi makubwa katika matumizi ya teknolojia katika jeshi hili.
Takwimu...
Rushwa kwa askari wa usalama barabarani ni tatizo kubwa ambalo linaweza kuwa na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwazi na uhakika katika utekelezaji wa adhabu. Kuna mambo kadhaa yanayoweza kuchangia rushwa kwa askari wa usalama barabarani:
1. Adhabu Zisizoeleweka: Kama adhabu...
Ni baada ya kumwambia kwa sasa nitashindwa kulipa deni lake la laki tatu hali yangu bado sio nzuri ajabu hiyo kauli aliyonipa ni kuwa amenisamehe ila niwe makini barabarani hii kauli alikuwa na maana gani wadau?
Utangulizi
Kutokana na ongezeko kubwa la magari hasa katika maeneo ya mjini ni wakati sasa wa serikali kuchukua hatua madhubuti ili kuimarisha sekta ya usafirishaji nchini na kulinda miundombinu ya barabara.
Moja ya hatua zinazoweza kuchukuliwa ni pamoja na ujenzi wa barabara maalum kwa ajili...
Kuna Barabara ni tokea alivyojenga MWALIMU NYERERE, je mnategemea zitakuwa ni bora kwa maisha ya sasa?
Mfano barabara ya kutoka Morogoro mpaka dodoma yaan kila mita 100 kuna shimo! njia nzima ni mashimo tuuu je hizi ajali mnalaumu Askari wa usalama.barabarani?
nimeona barabara ya bagamoyo hasa...
Utangulizi
Dunia ya sasa teknolojia haikwepeki. Afrika ina watu wengi ila wenye weledi ni wachache, tuna watu wanaojiibia wenyewe kitu kinachopelekea sekta nyingi kuwa shagala bagala sababu ya utendaji mbovu.
Ni ngumu sana kupambana na rushwa kwa askari wa usalama barabarani kwa kutumia...
DODOMA: Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amelitaka Jeshi la Polisi kukamilisha mchakato wa matumizi ya Kamera zitakazokuwa zikivaliwa na Askari wakiwemo wa Usalama Barabarani kwa lengo la kudhibiti Vitendo vya Rushwa
Dkt. Mpango ameeleza hayo wakati akizindua Kituo cha Polisi Daraja A, Mtumba...
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.
Imefika pahala kila kona ukipita unasikia matangazo ya viwanja tena kwa sauti kubwa mpaka ukiondoka maeneo hayo bado unasikia...
Baa ya Lavipark – iliyopo Tegeta Jijiji Dar es Salaam chemba zake zinatiririsha maji machafu barabarani zaidi ya miezi mitano sasa lakini hatuoni hatua zikichukuliwa.
Tunaomba mamlaka zitusaidie zitusaidie kumuwajibisha mwekezaji wa baa hiyo ambayo ipo Tegeta kwa Ndevu kwenye njia inayoelekea...
Habari wana jukuwaa. Ni matumaini yangu unaendelea salama wewe kama mdau!
Leo niwape Tips kadhaa zitakazokusaidia Kujiupusha na Ajali unapoendesha chombo cha Moto Barabarani. Ajali nyingi zinaweza kutokea kipindi cha mvua nyingi kwasababu ya uoni hafifu wa madereva na vyombo vingine hivyo...
Kifo ni kifo lakini vifo vya wahanga wa ajali hii, looh! Mtu usemeje?
Watu wazima waliokuwa kwenye gari lile waliotoka salama, wanacho nini cha kumwambia nani leo?
"Kwa hakika mtu mzima aliyekufa na watoto wale akipambana kuwakoa alifanya yote yaliyokuwa sahihi."
Hawa watu ilikuwa muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.