barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Wakazi wa Kipunguni Hali ya Hewa (Banana) hatujamaliziwa kulipwa fidia ya kupisha Barabara

    Wakazi wa eneo la Kipunguni Hali ya Hewa (Banana), Wilaya ya Ilala, Jimbo la Segerea, Dar es Salaam, tulioathiriwa na zoezi la kupisha makazi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara. Eneo letu lilikuwa sehemu ya mradi unaohusiana na viwanja vya ndege, ambapo baadhi ya wakazi walipewa viwanja...
  2. A

    KERO Morogoro Mjini: Barabara ya kuelekea Kididimo iboreshwe wakati wa mvua itasumbua

    Wananchi wa Morogoro Mjini, Kata ya Magadu, tunaomba kupaza sauti kuhusu hali mbaya ya barabara inayoelekea kwenye Kota za SUA zilizopo Kididimo. Barabara hiyo imekuwa mbovu kwa muda mrefu, licha ya SUA kuwa na magari na uwezo wa kufanya matengenezo ili ipitike vizuri. Hali hii imekuwa kero...
  3. Jicho la Tai

    Uchafu wa Bajaji barabara Kuu, Wakati wa Kuziondoa ni sasa! Anza na Dodoma.

    Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika. Ikiwa kila baada ya umbali mfupi kuna chombo kinachosimama ghafla kumchukua au kumshusha abiria...
  4. kavulata

    Baba Levo kavuka mipaka yake, barabara za jimboni kwake zinategemea makusanyo ya kodi.

    kaingili mhimili mwingine wa serikali unaokusanya kodi ili izipeleke jimboni kwake zikajenge barabara zake. Nguvu ya yeye kuzuia TRA wasikusanye kodi kaitoa wapi? Ametumia vibaya nafasi ya ubungo. Yeye baada ya kujiridhisha kuwa yule alikuwa afisa wa TRA kazi yake ilipaswa kuishia hapo...
  5. A

    KERO Barabara ya Kibada-Mwasonga ina ajali nyingi, iwekwe matuta, wanakimbia kama kwenye mashindano

    Barabara ya Kibada-Mwasonga imekuwa na ajali nyingi na ndugu zetu wengi wamepoteza maisha, iwekwe matuta. Hii ni wiki ya pili ilitokea ajali asubuhi Mwasonga karibu na Kituo cha Mafuta cha Asam Oil, Dar es Salaam, Kigamboni
  6. peno hasegawa

    Barabara mbovu si mali ya CCM

    .
  7. W

    KERO "Wagumu" wadaiwa kutupa taka za mlimani katika barabara ya Mweka

    MOSHI, KILIMANJARO. Ni majira ya saa moja na nusu usiku wa Ijumaa. Katika utulivu wa usiku, eneo la barabara ya Mweka lilikuwa likipokea wageni ambao wananchi hawakuwatarajia — si watu, bali marundo ya taka. Kwa mujibu wa mashuhuda, watu wanaotajwa kuwa ni wapagazi wanaoshuka kutoka katika...
  8. A

    KERO Wananchi Halmashauri ya Biharamulo tunalazimishwa kufanya usafi huku tukilipa fedha za usafi kila mwezi

    Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kusafisha mifereji ya maji na maeneo mengine...
  9. A

    KERO Kwanini Dampo la takataka liwekwe kwenye njia ya Watembea kwa miguu katika daraja la Mirongo, Mwanza

    Naomba kuwasilisha kero kuhusu uwekaji wa dampo la takataka kwenye njia ya watembea kwa miguu katika barabara ya kuelekea U-turn ya Daraja la Mirongo, Jiji la Mwanza. Uamuzi huu umeleta usumbufu mkubwa kwa watembea kwa miguu, kwani njia hiyo sasa imezibwa na kuwalazimisha baadhi ya watu...
  10. 888I

    Sitaki kusema kuhusu Barabara LAKINI SIMANJIRO HAINA BARABARA 🙌

    https://www.instagram.com/reel/DdmI0Qxj1u4/?stkn=bm9ncGdxNDd2NW9u
  11. S

    Wana VIKINDU tunaiomba Serikali imruhusu RACHAZ atujengee barabara ya Kazole kutunusuru na El Ninô

    Assalam Alaykum ndugu zangu wanabodi. Kwa unyenyekevu mkubwa ninaiomba serikali imruhudu Rachaz anayetaka kujitolea kujenga barabara ya Kazole ila nia yake hiyo imegonga mwamba kwani inasemekana serikali imemkatalia. Sijui sheria inasemaje kuhusu mwananchi kujitolea ujenzi wa barabara ila kama...
  12. bakari khalidi

    House4Sale Nyumba yenye maduka 12 inauzwa Kinondoni Road, bei bilioni 3.5 (sqm 1,343)

    ARDHI YA THAMANI INAUZWA! 🏢🏠 Kiwanja chenye maduka 12 ya biashara, pamoja na nyumba ya kuishi, kikiwa kando ya barabara ya lami. Eneo bora kwa uwekezaji na biashara yenye kipato.
  13. chokambayaa

    KERO Ubovu wa barabara Iringa Dodoma

    Naomba kuwasihi mamlaka zinazohusika na marekebisho ya barabara kufanya matengenezo barabara ya Iringa Dodoma hasa kipande cha Chipogolo, Seluka hadi Fufu kuna mashimo makubwa, kwakweli ni kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo. nawasilisha
  14. A

    KERO Malalamiko kuhusu hali mbaya ya barabara ya Mbezi Makonde, bajeti zinatengwa ila haitengenezwi

    Barabara ya Mbezi Makonde kuelekea Baraza la Mitihani, kupitia eneo la kwa Mzee Warioba, Waziri Mkuu mstaafu, imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu bila kufanyiwa ukarabati wa kudumu. Kila tunapouliza kuhusu uboreshaji wa barabara hii, tunaambiwa wananchi tujichangie na kuitengeneza wenyewe...
  15. X-Agent

    Update: Foleni kubwa Barabara ya Mwai Kibaki

    Sasa hivi ni saa 18: 59 foleni ni kubwa sana gari za kutoka Morocco kuelekea kawe na kutoka kawe kuelekea Morocco hazitembei kabisa, Kama unaweza kutokupita barabara ya Mwai Kibaki usipite, tumia njia mbadala au subiri.
  16. Jaji Mfawidhi

    Chanzo cha ajali ni Ubovu wa Barabara!

    Haijawahi kutokea "mamlaka " ikasema chanzo cha ajali ni miundombinu ya barabara kuwa mibovu. Mitaani na barabara kuu, TANROAD wanapata hela kutoka mafuta tunayoweka kwenye magari, yet hawazibi mashimo. Mitaani wanaweka bumps, lakini hawaweki alama, ajali za kupinduka. Madaraja membamba na...
  17. G

    KERO Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, mifumo ya maji taka inasumbua sana

    Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa. Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
  18. Mad Max

    Highway 10, Saudi Arabia, ndio barabara ndefu bila Kona Duniani. Unaenda Kilometa 240 straight! RIP in Advance!

    Hii road naona kabisa ni death trap ingekuwepo Tanzania. Hamna kilima, hamna Kona kwa Kilometa 240? Karibia Dar - Mikumi.
  19. Kijakazi

    Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

    watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata...
  20. A

    KERO Watumiaji wa Vituo vya Mwendokasi Barabara ya Morogoro Wapo Hatarini Kugongwa Wanapovuka Barabara

    Ningependa kufikisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa wanayokutana nayo watumiaji wa vituo vya mabasi ya mwendokasi katika njia ya Kimara, hususan wanapovuka Barabara ya Morogoro kwenda au kutoka vituoni. Baada ya upanuzi wa barabara, umbali wa kuvuka umeongezeka, lakini katika baadhi ya...
Back
Top Bottom