barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia Atoa Shilingi Bilioni 31.4 Kukarabati Barabara Ya Gehandu – Babati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi bilioni 31.41 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa matengenezo ya kilomita 66.5 za Barabara Kuu ya Gehandu–Babati, yenye urefu wa jumla wa kilomita 105.5. Barabara hiyo ni kiungo muhimu cha usafiri kati ya Mkoa wa...
  2. Kadogosa amwambia Mkandarasi wa Barabara ya Kahama–Bulyanhulu JCT - Kakola kuwa hataongezewa muda, mradi ukamilike Desemba 2026

    Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amemtaka mkandarasi anayejenga barabara ya Kahama–Bulyanhulu JCT–Kakola yenye urefu wa kilomita 73, kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami ifikapo Desemba 2026, kama ilivyoainishwa katika mkataba wa mradi huo. Kadogosa ametoa...
  3. KERO Vumbi linalotokana na Ujenzi wa Barabara ya Nsalaga - Ifisi, Mbeya limekuwa na athari kubwa kwa Watu

    Wakati ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi jijini Mbeya ukiendelea, wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kando kando ya barabara hiyo wanaendelea kukabiliwa na vumbi, foleni na changamoto nyingine za usafiri. Sehemu ya kwanza ~ Miradi ya Barabara kutokamilika...
  4. Kujengwe barabara ya njia sita kuanzia chalinze mpaka kibiti na kisarawe

    Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya...
  5. L

    Barabara zilizojengwa na China magharibi mwa Kenya zaleta mageuzi kwenye eneo hilo la kilimo

    Kwa miongo kadhaa, maisha katika Kaunti ya Uasin Gishu, kitovu cha kilimo magharibi mwa Kenya, yalitambuliwa kwa maziwa na mahindi, na wakati mashamba yake yakilisha taifa la Kenya, wakulima wa huko walikabiliwa na changamoto ya kila mara ya kusubiri malipo ya kupakia mahindi, na hii ilitokana...
  6. A

    KERO Mtaro uliopo Arusha - Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero na hatarishi kwa afya

    Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa. Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
  7. A

    KERO Ulyankulu - Tabora panakua lakini huduma ya barabara na maji bado ni changamoto

    UJUMBE KWA VIONGOZI WETU — ULYANKULU INAHITAJI MAENDELEO YA KWELI Kwa heshima kubwa kwa viongozi wetu wa Serikali, Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Uyui, tunaomba suala la barabara ya Ulyankulu na upatikanaji wa maji lipewe kipaumbele. Ulyankulu inaendelea kukua na kuwa eneo muhimu kwa shughuli za...
  8. Hongereni Tanga, Bandari imefunguka. Ila kwa haya maroli, TANROAD fanyeni kuiandaa hii barabara Segera - TA.

    Hii barabara ya Segera - TA ilikua calm, rahisi kuendesha, maroli ya hapa na pale, ila sahivi, tofauti yake na ya Morogoro-Dar ni idadi ya vilaka tu. Wahusika wasiposhtuka mapema, itakua mbovu haijawahi kutokea. Ngoja tuipe mwaka.
  9. SUMA JKT watengeneze drone, missile, bunduki, Armoured vehicles n.k na sio kujenga barabara au majengo

    Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2 Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye...
  10. T

    Barabara ya kibaha chalinze haitapitika kabisa miaka mitatu ijayo serikali imelala usingizi wa pono!!

    Siku ukipata nafasi kwa wale mliomikoa jirani hebu nenda katulie pale mlandizi alafu uangalie trend ya gari zinazotumia Ile barabara. Idadi ya gari ilishaizidi barabara kwa mbali sana kwa jinsi ambayo ilipaswa njia mbadala iwe inakamilishwa sasa hivi. Kwa bahati mbaya hata kuanza haijaanza...
  11. SINOHYDRO wa Barabara za Iringa na CHICO wa Barabara za Mbeya ni Kampuni dada na hamsemi?

    Sinohydro Corporation Limited na China Henan International Cooperation Group Co., Ltd(CHICO) ni Kampuni dada. Yaani zote zinamilikiwa na Serikali ya china. Zote zinafanya kazi chini ya SASAC taasisi ya Baraza la Serikali la China inayosimamia mali za serikali katika makampuni husika. Na hizi...
  12. Responded TANROADS: Tunaendelea na matengenezo barabara ya Singida–Gehandu pamoja na Singida - Manyara

    Wakati kukiwa na madai kuhusu hali ya barabara ya Singida – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu, hatua za matengenezo zinaendelea katika sehemu mbalimbali za barabara hii muhimu yenye urefu wa kilomita 223.5, inayounganisha mikoa ya Singida na Manyara pamoja na kurahisisha safari na usafirishaji...
  13. M

    KERO Bodaboda na bajaji standi mpya ya Kigoma zinatumia njia za waenda kwa miguu, jambo hatari hili

    Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali. Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda...
  14. Hii barabara ya Singida - Babati ni takataka.

    Aisee, Hakuna haja ya kuweka vibao vya 50.
  15. A

    HOJA Serikali inashangaza sana katika ujenzi wa barabara Dar es Salaam, ni nyembamba na haziendani na kasi ya maendeleo ya Jiji

    Ninashangaa kuona kuwa hadi mwaka 2026, Serikali bado inajenga barabara zenye njia mbili tu kwa magari ya kawaida, licha ya changamoto kubwa ya foleni jijini Dar es Salaam. Kwa mfano, eneo la barabara ya Airport lina nafasi kubwa ambayo ingeweza kutumika kujenga njia nne za magari ya kawaida na...
  16. A

    KERO ICD ya Bravo Mabibo imegeuza barabara kuwa maegesho ya malori; TASAC, Halmashauri ya Ubungo mpo?

    Bandari Kavu (ICD) ya Bravo Ubungo, inayotumika kama kituo cha kuhudumia mizigo ya makontena, iliyopo Mabibo Kisiwani, katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, nyuma ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara zilizopo pembezoni mwa eneo hilo. Kwa sasa...
  17. R

    KERO Angalia Barabara toka Dodoma kwenda Iringa. Serikali ijitafakari

    Clip inatosha bila maelezo
  18. Heche aendelea kumkomalia Gerson Msigwa ubovu wa barabara

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amemjibu Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu hali ya miundombinu ya barabara nchini, akisema bado kuna changamoto ya ubovu wa barabara katika maeneo mbalimbali. Hoja hiyo imekuja baada ya Heche...
  19. Tanzania tuwe na barabara za lami za aina mbili.

    Ingefaa Tanzania tuwe na barabara za lami za aina mbili au madaraja mawili. Aina ya kwanza iwe na barabara za lami za kudumu na aina ya pili iwe barabara za lami za muda. Barabara za lami za kudumu iwe ni zile zinazokaa hadi miaka 15 bila kuharibika. Barabara za lami za muda iwe ni zile...
  20. K

    KERO Je, kweli nchi yetu imeshindwa kujenga barabara za njia nne katika barabara kuu?

    Naomba nitoe kero yangu. Tumeona ajali iliyotokea Morogoro iliyosababisha vifo vya ndugu zetu. Hii ni mojawapo tu ya ajali nyingi zinazotokea mara kwa mara katika maeneo mbalimbali nchini, lakini hali hii inaendelea kujirudia bila mabadiliko makubwa. Kero yangu kubwa ni hii: Je, kweli nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…