A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.
Usafiri kwenye Barabara kuu ya Nairobi-Garissa umekatizwa kufuatia mafuriko makubwa katika eneo la Daraja la Baharini (Mbakini), Mwingi, Kaunti ya Kitui.
Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha maji kufurika na kufanya barabara hiyo kutopitika, huku magari yakikwama na kusababisha foleni...
Nimekuwa mtumiaji wa Barabara ya Bagamoyo nikiwa naelekea kwenye majukumu yangu ya kila siku. Leo imebidi niandike jambo ambalo nadhani wengi wanaotumia njia hiyo watakuwa wameliona au wanaweza kulifuatilia. Mkandarasi anayejenga barabara hiyo kuanzia Mwenge hadi Tegeta Dawasa ana wafanyakazi...
Anonymous
Thread
bagamoyo
barabarabarabara ya bagamoyo
dawasa
lini
mwenge
tegeta
ujenzi
ujenzi wa barabara
TANROADS ikamilishe usanifu na maandalizi ya kitaalamu ya barabara za kipaumbele Msalala, Ushetu na Kishapu. Serikali itakapoanza kupokea miradi mipya, maandalizi ya barabara hizi yawe yamekamilika. Kipaumbele chetu ni barabara zinazofungua maeneo ya uzalishaji.
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚
𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶...
Kama kuna mtu mwenye kampuni ambayo haitoi 10%. Nasikia kampuni za kichina ndiyo kabisa ndiyo maana wanashinda kila tender
Kama kuna kampuni haitoi 10% na ina mradi mkubwa iseme hapa tuna data zote
Barabara ya mbezi makonde kupitia mbezi garden kuelekea baraza la mitihani pamoja na njia ya kutokea viwandani hazifai wakati wa mvua.
Je, hizi elnino zinapo anza kutakua na hali gani? Diwani na mbunge wetu hawajawahi kufika huku toka uchaguzi.
Hii njia inapita kwa waziri mkuu mstaaru mzee...
Serikali imesema imeanza maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda kwa kiwango cha lami, huku kipande cha kwanza cha Likuyufusi–Mukuru chenye urefu wa kilomita 60 kikitarajiwa kuanza kujengwa baada ya kukamilika kwa taratibu za malipo ya awali kwa mkandarasi.
Hatua hiyo inafuatia...
Bila Magufuli hata hapo mbezi kibaha ingebaki ndoto tu. sasa inajengwa kimara kuja ubungo aisee kila siku wanachimba hata.kinachochimbwa hakieleweki.
Ila Tanzania nyoko.sana wanawaza kunyonga wapinzani tu pumbavu kabisa. kwa barabara kama hii hata kama serikali ikawabana wapinzani ina haki...
Nadhani wengi wetu badala ya kuwaza kwenda mahakamani 06/11 siku ya kutajwa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, ambapo idadi inayoruhusiwa kuingia mahakamani ni ndogo na ili kuepusha rabsha, wengi tujiandae kusimama pembezoni mwa barabara.
Kuna ruti ya kwanza ambayo huwa inatumika kumpeleka Tundu...
Huwa ni ajabu sana kumaliza wiki hujasikia ajali Tanzania. Tofauti na chi nyingine ambazo vifo vya ajali ni vichache sana Madereva wa Tanzania mna matatizo gani ? Unakuta dereva anaendesha huku anaongea na Simu, au amelewa au ana ovoer take sehemu isiyo sahihi au hafuati sheria za barabarani Je...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya umeanza kutekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, kwa kufungua maeneo na njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi, hatua inayolenga...
Natoa wito kwa Wizara ya Ujenzi, TANROADS, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na mamlaka nyingine zinazohusika kuchukua hatua za haraka kuimarisha usalama wa watumiaji wa barabara ya Kimara–Kibaha.
Licha ya barabara hii kuwa ya kisasa yenye njia sita, hali ya usalama kwa watumiaji...
Ndugu wanajukwaa,
Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam.
Mwaka jana 2025, tulikutana na...
Anonymous
Thread
barabara
biashara
haki
kando
kando ya barabara
kuvunjwa
malalamiko
ndani
siku
siku tatu
ufafanuzi
wafanyabiashara
Habari ya kuyimuka Wadau,
Humu ndani ya jukwaa mwanzoni tulikuwa na mijadala mizuri na yenye tija Kwa nchi yetu kwasasa haionekani.
Kuna changamoto nyingi kwenye maneo ya miundo mbinu yetu hasa Barabara. Barabara zetu nyingi ni mbovu zina mashimo yayosababisha uharibifu WA magari na wakati...
Wakuu, ninauza kiwanja changu mwenyewe (mimi ni mmiliki, hakuna dalali) kilichopo mkoani Pwani, Wilaya ya Rufiji. Eneo linafaa sana kwa makazi au uwekezaji wa kibiashara kwa sababu ya ukaribu wake na barabara kuu na stendi.
Sifa na Maelezo ya Kiwanja:
Mahali kilipo: Mkoa wa Pwani, Wilaya ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi bilioni 31.41 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa matengenezo ya kilomita 66.5 za Barabara Kuu ya Gehandu–Babati, yenye urefu wa jumla wa kilomita 105.5. Barabara hiyo ni kiungo muhimu cha usafiri kati ya Mkoa wa...
Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amemtaka mkandarasi anayejenga barabara ya Kahama–Bulyanhulu JCT–Kakola yenye urefu wa kilomita 73, kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami ifikapo Desemba 2026, kama ilivyoainishwa katika mkataba wa mradi huo.
Kadogosa ametoa...
Wakati ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi jijini Mbeya ukiendelea, wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kando kando ya barabara hiyo wanaendelea kukabiliwa na vumbi, foleni na changamoto nyingine za usafiri.
Sehemu ya kwanza ~ Miradi ya Barabara kutokamilika...
Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara
Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya...