bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    Hivi kwa bajeti ya laki 7 naweza pata gari gani hata kama kuu kuu

    Naombeni mawazo nataka kumiliki ndinga nina laki 7.
  2. Mad Max

    Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

    Nadhani tumesikia bajeti mpya ilivyoongeza kodi kwenye magari yaliyotumika nje. Focus kubwa ikiwa kwenye umri wa gari na ukubwa wa engine. Ila kwa upande wa pili, ni furaha kwa wenye mpango wa kuingiza magari ya umeme. Excise Duty kwa magari ya umeme (EV) imeondolewa kabisa. (Ila Excise Duty...
  3. G

    Bajeti ya 2026/2027 mkopo trillion 15 na riba italipwa trillion 6 na deni litapunguzwa trillion 7 hujajumlisha trillion 114, tutoe maoni yetu hapa

    KWA LEO TUANGAZIE BAJETI YA NCHI KWA UPANDE WA MADENI 2026/2027 Pamoja na changamoto lukuki zilizopo kwenye nchi yetu tutoe maoni yetu kuhusu Hili haya madeni yanaonyesha kuongezeka bila kupungua Hizi ni Kodi zetu tuna haki ya kutoa maoni na pengine kushauri Nini kifanyike kuiweka nchi rehani...
  4. tutafikatu

    Wazabuni wanalalamika kutolipwa; tatizo ni bajeti au mfumo wa manunuzi?

    Kwa nini taasisi na mashirika ya serikali hutangaza tenders na kuingia mikataba ya manunuzi wakati fedha za kulipia bidhaa au huduma husika hazipo au cash flow yake haina uhakika? Mwisho wa siku suppliers wanapeleka bidhaa au kutoa huduma, lakini malipo yanachelewa kwa muda mrefu. Je, hali hii...
  5. A

    Mheshimiwa Shabiby Aifagilia Bajeti Kuu, ampa tano Waziri wa Fedha, Akiwatetea Bodaboda

    Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia. Mbunge huyo...
  6. britanicca

    Bajeti ya Tanzania (Raia 65M) ni Trilion 31, ya Zanzibar ni 8.5Trilion (Raia 1.3M) wakati huo huo wa Zanzibar wanahesabika tena kwenye Tanzania

    Bajeti ya Tanzania Mzima ni 31 Trilion means kila mtanzania Ana ratio ya 460,000. Na wazanzibari ni 8.5 Trilion Means kwa ratio mzanzibari Ana 6,580,000 (Plus 460,000 zile za watanzania maana nao wamehesabiwa) Kwakweli ni maajabu Na bajet ya Zanzibar kuanzia tulipokosa mtu wa kumonitor...
  7. ChoiceVariable

    Wanaripoti Bloomberg Business : Tanzania Yaongeza Bajeti ya Miundombinu na Huduma za jamii Licha ya Kunyimwa Misaada

    Katika Hali ya kushangaza,Jarida Maarufu la Biashara kutoka kubwa la Mabeberu USA limeripoti taarifa ya kushangaza kwamba Licha ya Tanzania Kunyimwa misaada ila Serikali ya Tanzania imeongeza Bajeti Kwa asilimia 10% huku ikipeleka pesa nyingi kwenye miradi ya miundombinu na Huduma za jamii...
  8. Waufukweni

    Waziri wa Fedha: Magari yaliyotumika yanayoingizwa Nchini kutozwa Ushuru wa 50%

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni Juni 11, 2026, ametangaza kupandishwa kwa viwango vya ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini, huku kigezo cha umri wa gari kikichukua nafasi...
  9. ChoiceVariable

    Ethiopia & Tanzania Zina Uchumi Mkubwa(GDP) Kuliko Uganda Lakini Bajeti Zake ni Ndogo Kuliko ya Uganda.Hii Inatokana na Nini Kiuchumi?

    1.Kenya 2.Uganda 3.Tanzania 4.Ethiopia 5.Rwanda 6.Burundi. My Take Wachumi tusaidieni kudadavua.
  10. The Palm Beach

    Tetesi: JasusiTV: Hatimaye yamekuwa. Hoja ya kum - impeach VP Dr Emmanuel Nchimbi yaweza kusomwa wakati wowote katika bunge hili la bajeti!

    https://youtu.be/ZY0-McsJUgM?si=BKQSHy6agElfKKdu Eti na mwisho wake uwe hivi👉🏻: Kwamba, Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda ndiye achukue nafasi ya Dr Emmanuel Nchimbi - awe Makamu wa Rais🤔🤔 Acha ncheke 😁😁na kusikitika miye.. ======================= Ni patamu hasa. Ni mpambano mkali...
  11. Roving Journalist

    Waziri wa Fedha anasoma Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, leo Juni 11, 2026

    Serikali kupitia Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) inatarajia kuwasilisha Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2026/27 leo Alhamisi Juni 11, 2026 Bungeni Jijini Dodoma. Balozi Khamis Mussa Omar alinukuliwa akisema bajeti hiyo itatumika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa...
  12. Zack Abdul

    Bunge Limeombwa Kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Fedha ya Trilioni 21.5

    Bunge limeombwa kujadili na kuidhinisha makadirio ya mapato na matumizi ya Mafungu nane ya Wizara ya Fedha pamoja na Fungu 45 la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2026/27 yenye jumla ya shilingi trilioni 21.52. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 809.12 zimetengwa kwa mishahara...
  13. Mad Max

    Hivi ni mimi sijui Hesabu au Mabeberu Wana Hela? Apple Pekee ina Thamani Sawa na Bajeti ya Tanzania ya Miaka 200?

    Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe! Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea. Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion. Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
  14. L

    Bajeti ya Ulinzi ya Iran pamoja na bajeti ya Ulinzi ya Marekani kwa mwaka 2025

    Supapawa wa Dunia akishirikiana na supapawa wa Middle East Israel wakipigana na nchi iliyowekewa vikwazo na kutengwa na Dunia kwa miaka zaidi ya 40 Iran. Sasa tuangalie bajeti zao za ulinzi kwa mwaka 2025. Iran Iran's official military and security budget for the 2024–2025 period was set at...
  15. Parabolic

    Nape atishia kutoiunga mkono bajeti Wizara ya Ujenzi kisa barabara ya Kusini

    Akichanga mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma May 20, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, alisema amefika Bungeni akiwa na ujumbe mzito kutoka kwa wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara pamoja na maeneo mengine ya Kusini...
  16. M

    Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  17. M

    Ni kwanini Mwanza airport inapewa bajeti ndogo kana kwamba mchango wake hauna maana ?

  18. M

    Bajeti ya Wizara ya Ujenzi 2026/27: TZS 376 BILIONI HAZINA MAELEZO

    Leo Waziri wa Ujenzi ameliomba Bunge kupitisha TZS 2.564 trilioni kwa mwaka 2026/27. Lakini kabla Bunge halijapitisha, kuna tatizo moja la msingi linalohitaji ufafanuzi: 📍 Mei 2025, Wizara ililiomba Bunge kupitisha TZS 2.280 trilioni kwa mwaka 2025/26. 📍 Mei 2026 (leo), Wizara inasema bajeti...
  19. Kijakazi

    Hivi ni kwa nini oil rich gulf islamic states huwa hazichangii bajeti kama msaada?

    Labda nilipitwa lakini sijawahi kusikia hata siku moja wakichangia bajeti kama msaada kwa tanzagiza, ila nasikia USA au EU wakitishia kukata msaada kusaidia bajeti kwa nini oil rich gulf states huwa hazizibi pengo ukichukulia ni marafiki wazuri wa regime iliyopo? huwa nasikia wakitoa fedha kwa...
  20. mirindimo

    Picha: bajeti yabebwa na begi la 12mil huku mitaa inabadilishwa jina na kuitwa “kitunda matopeni” kwa ubovu wa barabara

    Begi la Louis Vuitton Shopper Tote Bei inakadiriwa kuwa $4,850 (sawa na TSh 12.5 milioni) zatumika kubeba bajeti za Wizara kwenda kusomwa Bungeni , bajeti ambayo inge enea vizuri tu kwenye begi la 35,000 na Kuokoa mamilioni. Kwao Viongozi hiyo sio shida yao, shida ni kwenu wananchi ambao sehemu...
Back
Top Bottom